Rais Samia: Kilimanjaro Wakuu wa Wilaya walimsumbua sana RC Mghwira wakidai Rais amekosea kuteua

Mh.Rais amenena "makavu" HADHARANI.....

Eti unamkuta DC anamvimbia RC kwa maneno ya hovyo kama aliyofanyiwa mh.Anna Mghwira...khaaa ujinga gani huo....

Where is the chain of command?!!!

Asante sana mh.Rais SSH!

#KaziIendelee
 
hasa yule hayawani alikuwa akilindwa na mwendazake.
Aliumiza wengi mno na kwa namna mbalimbali, vilio vya walioumizwa vilimfikia Mungu wetu.
 
Kwa mitusi aliyomwaga kwa yule dereva bajaji sidhani kama atakuwepo kwenye pdf ya wakuu wa wilaya watakaotangazwa

Lazima awemo , yule ni mtoto wa Msoga!!! Mama na Msoga damu damu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…