Hapa yanaongolewa mamlaka, siyo jina. Kiongozi wa Zanzibar, anaitwa Rais kwa sababu tu wamependa kutumia hilo neno, japo kiuhalisia hana mamlaka ya ukuu wa dola. Anaongoza kanda, siyo nchi. Ndiyo maana huwezi kusikia Rais wa Zanzibar ameshiriki kikao chochote cha wakuu wa nchi kuiwakilisha hiyo kanda ya Zanzibar.Kiuhalisia yeye ni kama gavana wa County huko Kenya.Katika kikao cha Marais, Waziri Mkuu hanusi.
Wewe leta unachojua kadiri ya katiba, sio maoni Yako, ondoa ujinga wako, mada ni ngumu kwako , akili za KUJAA kisoda imeshindwa kutoa fact's.Hujui chochote
Baba halisi wa taifa la Zanzibar, mh JOHN GIDEON OKELLO aliyeongoza mapinduzi "matukufu" kuondoa utawala wa Sultani usiku wa tarehe 11/June/1964, alikuwa wapi muda huo?Na hapo Karume hakuungana na Nyerere ni kuwa aliwekwa na Nyerere kwani mavamizi yalifanywa na Nyerere kwa kusaidiwa na Waingereza
Enzi zile Cleopa alikuwa makamu wa rais na Waziri mkuu,hata Malecela ilikuwa hivyo hivyo.kuanzia Mkapa tukawa na Omari makamu 1 na Sumaye pm.pia kumbuka enzi zile za Nyerere Karume alikuwa makamu 1 na Rashidi makamu 11 na pm ,n.b Zanzibar ni Nchi1.Rais wa JMT
2.Makamu wa rais JMT
3.Rais wa Zanzibar
4.Waziri mkuu wa JMT
5.Makamu wa kwanza wa rais zanzibar
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
8.Katibu mkuu kiongoz JMT
Watu wengi wanaamin zanzibar si nchi mpaka itakapojimega. Kuna uzi mwembamba sana kati ya kutoamini zanzibar kama nchi na kutoamini katika muungano. Wengi wanaotokea upande mmoja wa hii imani, na upande mwingine wa iman hii hutokeaEnzi zile Cleopa alikuwa makamu wa rais na Waziri mkuu,hata Malecela ilikuwa hivyo hivyo.kuanzia Mkapa tukawa na Omari makamu 1 na Sumaye pm.pia kumbuka enzi zile za Nyerere Karume alikuwa makamu 1 na Rashidi makamu 11 na pm ,n.b Zanzibar ni Nchi
Urais wa Zanzibar ni sawa tu na Urais wa TFF. Anavishwa tu kilemba cha ukokaWaziri Mkuu kikatiba ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.
Hizo zinafanyikan zinafanyikan makusudi kabisa ku mo overate Rais wa Visiwabvya Zanzibar ambavyo sawa na wilaya Moja huku Bara.
Mamlaka ya Waziri Mkuu, kwenye Baraza la MAWAZIRI ,
Ibara ya 50, kifungu kidogo Cha (I) na Cha (ii) kinaonesha vizuri sana, kwamba KUTAKUWA NA BARAZA LA MAWAZIRI,
Linaundwa na Rais wa URT nayae atakuwa Mwenyekiti, asipokuwepo Makamu wa Rais.
Ikitokea Rais na makamu kwa pamoja hawapo,waziri Mkuu ataongoza kikao Cha Baraza la MAWAZIRI.
Wajumbe wanaounda Baraza la MAWAZIRI.
Mosi Rais, Mbili Makamu, tatu Waziri Mkuu.
Nne MAWAZIRI wote kamili sio manaibu,ni wajumbe, na Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu,akiwa anaingia baraza la mawaziri hadhi yake ni sawa na Innocent Bashungwa au Masauni.
Nyongeza ikitokea Rais hayupo nchini Rungu anashiklia Makamu wa Rais, asipokuwepo yeye pia, Rungu atashika waziri Mkuu, naye asipokuwepo atashika speaker wa Bunge, na ikitokea wote hao hawapo kwa pamoja nchi itakuwa chini ya jaji mkuu!
Hapo Rais wa Zanzibar hatajwi.
Kumruka waziri mkuu au waziri mkuu kutangulia kuingia kwenye sherehe za kitaifa katika accending order na descending order yaani order of seniority ni JANJAJANJA tu ya makusudi inayofanyika.
Lakini ni ukiukwaji wa katiba mchana kweupe.
Hayo yanatosha kuelewa hata kwa mwanafunzi wa elimu ya Uraia Civics kuelewa kuwa waziri mkuu ni Mtu Mkubwa sana katika nchi kimamlaka na protocal akiwa chini ya Makamu wa Rais.
Kwahiyo kumdogosha waziri mkuu ni mbwembwe na janjajanja flani ya makusudi.
π π€π
Katiba ndo kila kitu, mtu mwenye power protocal na hierarchy seniority order lazima imfuate.Kuna kitu kinaitwa the powers hierarchy and the protocol hierarchy.
Utajaji wa majina kwenye events unafuata the protocol hierarchy
1. Rais wa JMT
2. VP
3. Rais wa Zanzibar
4. Waziri Mkuu
5. VP 1 ZnZ
6. VP 2 ZnZ
7. Naibu PM
8. Spika
9. Jaji Mkuu
10. CDF
The Power hierarchy ni
1. Rais
2. VP
3. PM
4. Rais wa Zanzibar
5. Spika
6. Jaji Mkuu
7. VP 1 Zanzibar
8. VP 2 Zanzibar
9. DPM
10. CDF
P
6,7 ni vyeo vya uchawa1.Rais wa JMT
2.Makamu wa rais JMT
3.Rais wa Zanzibar
4.Waziri mkuu wa JMT
5.Makamu wa kwanza wa rais zanzibar
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
8.Katibu mkuu kiongoz JMT
Acha kunililia mtandaoni mimi sio babako.Hii ni sentesi ya watoto wasiojielewa
Ni kweli kabisa, Kuhani Mkuu!!Urais wa Zanzibar ni sawa tu na Urais wa TFF. Anavishwa tu kilemba cha ukoka
Rais wa Zanzibar mwisho wake wapi?Wazir mkuu huishi bara tu Hana mamlaka zanziba
Utoto Ukizidi Sana Ni Upumbavu na Upumbavu ukizidi Sana Unakuwa Ni Ulemavu wa Akili na Ulemavu wa Akili ukizidi sana Unakuwa Mfu wa Maarifa..Acha kunililia mtandaoni mimi sio babako.
Na hili ndilo jibu la katiba ya JMT kwasasa, wanapenda kuisigina Katiba katika baadhi ya mambo lakini walilalamika na kutetewa pale team Magu walipotaka kuisigina Katiba hiyo hiyo baada ya jiwe kufariki.Waziri Mkuu kikatiba ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.
Hizo zinafanyikan zinafanyikan makusudi kabisa ku mo overate Rais wa Visiwabvya Zanzibar ambavyo sawa na wilaya Moja huku Bara.
Mamlaka ya Waziri Mkuu, kwenye Baraza la MAWAZIRI ,
Ibara ya 50, kifungu kidogo Cha (I) na Cha (ii) kinaonesha vizuri sana, kwamba KUTAKUWA NA BARAZA LA MAWAZIRI,
Linaundwa na Rais wa URT nayae atakuwa Mwenyekiti, asipokuwepo Makamu wa Rais.
Ikitokea Rais na makamu kwa pamoja hawapo,waziri Mkuu ataongoza kikao Cha Baraza la MAWAZIRI.
Wajumbe wanaounda Baraza la MAWAZIRI.
Mosi Rais, Mbili Makamu, tatu Waziri Mkuu.
Nne MAWAZIRI wote kamili sio manaibu,ni wajumbe, na Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu,akiwa anaingia baraza la mawaziri hadhi yake ni sawa na Innocent Bashungwa au Masauni.
Nyongeza ikitokea Rais hayupo nchini Rungu anashiklia Makamu wa Rais, asipokuwepo yeye pia, Rungu atashika waziri Mkuu, naye asipokuwepo atashika speaker wa Bunge, na ikitokea wote hao hawapo kwa pamoja nchi itakuwa chini ya jaji mkuu!
Hapo Rais wa Zanzibar hatajwi.
Kumruka waziri mkuu au waziri mkuu kutangulia kuingia kwenye sherehe za kitaifa katika accending order na descending order yaani order of seniority ni JANJAJANJA tu ya makusudi inayofanyika.
Lakini ni ukiukwaji wa katiba mchana kweupe.
Hayo yanatosha kuelewa hata kwa mwanafunzi wa elimu ya Uraia Civics kuelewa kuwa waziri mkuu ni Mtu Mkubwa sana katika nchi kimamlaka na protocal akiwa chini ya Makamu wa Rais.
Kwahiyo kumdogosha waziri mkuu ni mbwembwe na janjajanja flani ya makusudi.
π π€π
John Okelo alikuwa hawashi wala hazimi, alitumiwa kuwarushia changa la macho, Aliyeongoza mapinduzi alikuwa ni Hanga ambaye alihadaliwa na Nyerere pamoja na Kambona mwisho wakampeleka kwa Karume kuuliwaBaba halisi wa taifa la Zanzibar, mh JOHN GIDEON OKELLO aliyeongoza mapinduzi "matukufu" kuondoa utawala wa Sultani usiku wa tarehe 11/June/1964, alikuwa wapi muda huo?
Kwenye kikao cha baraza la mawaziri ambapo rais wa Zanzibar huwa anahudhuria, protokali ikoje?Wazir mkuu huishi bara tu Hana mamlaka zanziba
Una maana kama Rais wa Young Africans angekuwepo kwenye mkutano huo angetajwa kabla ya PM?Kila anayetajwa kwa jina la Rais au ndani ya jina kuna neno Rais hutajwa kwanza.Anyway,itifaki nimezingatiwa.
Presidential protocol ilibadilishwa mwaka 2015. Kabla ya hapo waziri mkuu alikua anamtangulia Raisi wa Zanzibar. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa yalitokana na mkwara wa Waziri Mkuu bungeni kuhusu je, Zanzibar ni nchi au sio nchi. Pinda aliwapa jibu tamu sana.Katika kikao cha Marais, Waziri Mkuu hanusi.
Ni mjumbe kama wajumbe wengine. Anaapa Kwa Raisi wa Muungano. Kwenye kukaa kiti chake kinawekwa mkono wa kushoto mara baada ya Raisi wa Jamhuri. Kulia anatakiwa kukaa Makamu wa Raisi kisha anafuata Chief Secretary and the Cabinet Secretary.Kwenye kikao cha baraza la mawaziri ambapo rais wa Zanzibar huwa anahudhuria, protokali ikoje?
Sifahamu kuhusu hilo lakini nawashangaa wanaouliza. Hivi wanafikiri Rais anajipangia yeye protocol? Hawaelewi kuwa kuna Ofisi nzima ya Rais ina wataalam wa kila aina?Presidential protocol ilibadilishwa mwaka 2015. Kabla ya hapo waziri mkuu alikua anamtangulia Raisi wa Zanzibar. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa yalitokana na mkwara wa Waziri Mkuu bungeni kuhusu je, Zanzibar ni nchi au sio nchi. Pinda aliwapa jibu tamu sana.