antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Sivyo,John Okelo alikuwa hawashi wala hazimi, alitumiwa kuwarushia changa la macho, Aliyeongoza mapinduzi alikuwa ni Hanga ambaye alihadaliwa na Nyerere pamoja na Kambona mwisho wakampeleka kwa Karume kuuliwa
Tukumbushe jibu lipi?Presidential protocol ilibadilishwa mwaka 2015. Kabla ya hapo waziri mkuu alikua anamtangulia Raisi wa Zanzibar. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa yalitokana na mkwara wa Waziri Mkuu bungeni kuhusu je, Zanzibar ni nchi au sio nchi. Pinda aliwapa jibu tamu sana.
Sivyo,
Wakati Field Marshal John OKELLO akipambana visiwani kuikomboa Zenji kutoka mikononi mwa Sultani, Kassim Hanga na Sheikh Karume walikuwa wamekimbilia Dar kujificha
Order of precedence inaandikwa kila Raisi akiingia madarakani. Anaweza kupanga anavyoweza. Ya nchi kama Marekani na Uingereza zinajulikana.Sifahamu kuhusu hilo lakini nawashangaa wanaouliza. Hivi wanafikiri Rais anajipangia yeye protocol? Hawaelewi kuwa kuna Ofisi nzima ya Rais ina wataalam wa kila aina?
Unajuwa mtu mweusi alijaaliwa akili nyingi sana lakini tatizo ni kajazwa ujinga mpaka akaamini kuwa yeye ni mjinga, matokeo? Hajuwi kuzitumia akili zake.
.
Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na baada ya hapo ndio akamataja Waziri Mkuu wa Tanzania, Bwana Kassimu Majaliwa na kisha akaendelea kutaja wageni wengine waliokuwa wamehudhuria katika tukio hilo.
Swali langu ni je, kati ya Raisi wa Zanibar na Waziri Mkuu wa Tanzania, ni nani mwenye cheo kikubwa?
Zanzibar si ni sehemu ya Tanzania, sasa iweje Rais wa Zanzibar ambae ni sehemu tu ya Muungano awe juu ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Pamoja na rais wa TLS?Kila anayetajwa kwa jina la Rais au ndani ya jina kuna neno Rais hutajwa kwanza.Anyway,itifaki nimezingatiwa.
Hio sio sababu mkuu.Rais huwa anaandikiwa tu ratiba...
Sahihi na lifuatiliwe hilo.Pamoja na rais wa TLS?
LissuNa ndio nikaandika Zanzibar haina sauti yoyote kwani imevamiwa mwenye kauli ni mvamizi ,
inabidi umsikilize Lissu namna huu Uvamizi /muungano , ulivyoanza
View: https://youtu.be/4Yvp-8AKWgc
LinkPresidential protocol ilibadilishwa mwaka 2015. Kabla ya hapo waziri mkuu alikua anamtangulia Raisi wa Zanzibar. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa yalitokana na mkwara wa Waziri Mkuu bungeni kuhusu je, Zanzibar ni nchi au sio nchi. Pinda aliwapa jibu tamu sana.
Wewe Dr uchwara acha kulilia watu mitandaoni. Hukutumwa ujiunge na JFUtoto Ukizidi Sana Ni Upumbavu na Upumbavu ukizidi Sana Unakuwa Ni Ulemavu wa Akili na Ulemavu wa Akili ukizidi sana Unakuwa Mfu wa Maarifa..
Sidhani kama Unafaa hata Kupokea Jibu langu la Aina yoyote ile maana Huna Nafasi hiyo..
Nachokushauri Bado una nafasi ya Kujitoa Kwenye Upumbavu na Kurudi kwenye Ujinga ambapo utaweza Kupona Ili usife kimaarifa..
Ilikuwa Ni vyema sana Kukujibu
ASante
Yes kikatiba Waziri Mkuu is No.3, Rais wa Zanzibar is nobody kwenye set up ya Muungano, ni Waziri asiye na Wizara maalum ili aingie cabinet, PM ni boss wa Rais wa Zanzibar, lakini ki protocol Rais wa Zanzibar ni number 3. Hata wale makamo wawili wa Zanzibar, katiba ya JMT, haiwatambui, they are nobody huku, ila protocol inawatambua na vingora wanapewa!.Katiba ndo kila kitu, mtu mwenye power protocal na hierarchy seniority order lazima imfuate.
Rais wa Zanzibar alikuwa na nguvu pale alipokuwa Makamu wa Rais kabla ya vyama vingi.
By vatue yeye automatically alikuwa makamu wa Rais.
Baada ya vyama vingi yeye mamlaka ya kuwa namba 2 kwa cheo yalikoma uchaguzi Mkuu wa vyama vingi.
Kinachoendelea sasa ni Kumwinua Rais wa Zanzibar,lakini kiukweli kitatiba na muundo wa Serikali waziri mkuu ni Mtu ni Number Tatu, ndio maana hata BARAZA LA MAWAZIRI Rais asipokuwepo ,na makamu asipokuwepo, Waziri Mkuu anakuwa Mwenyekiti wa Baraza.
Kwahiyo kikatiba PM ni Number 3, akiwa chini ya VP.
Nakutakia mkutano Mwema wa TLS huko DODOMA.
Haipo hivyo, leta facts za Kikatiba siyo maoni Yako.Kikatiba Rais wa Zanzibar ni kama Makamu wa Rais wa pili wa JMT ndio maana hata vikao vya baraza la mawazili anaitwa kushiriki akiwepo Rais wa JMT.Katiba ya Tanzania ibara ya 54 kifungu cha kwanza
Waziri mkuu hana mandate ya kushikilia Nchi ikitokea Rais kusafiri basi nchi anapewa Makamu na makamu kama hayupo nchi anapewa Spika wa bunge JMTWaziri Mkuu kikatiba ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.
Hizo zinafanyikan zinafanyikan makusudi kabisa ku mo overate Rais wa Visiwabvya Zanzibar ambavyo sawa na wilaya Moja huku Bara.
Mamlaka ya Waziri Mkuu, kwenye Baraza la MAWAZIRI ,
Ibara ya 50, kifungu kidogo Cha (I) na Cha (ii) kinaonesha vizuri sana, kwamba KUTAKUWA NA BARAZA LA MAWAZIRI,
Linaundwa na Rais wa URT nayae atakuwa Mwenyekiti, asipokuwepo Makamu wa Rais.
Ikitokea Rais na makamu kwa pamoja hawapo,waziri Mkuu ataongoza kikao Cha Baraza la MAWAZIRI.
Wajumbe wanaounda Baraza la MAWAZIRI.
Mosi Rais, Mbili Makamu, tatu Waziri Mkuu.
Nne MAWAZIRI wote kamili sio manaibu,ni wajumbe, na Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu,akiwa anaingia baraza la mawaziri hadhi yake ni sawa na Innocent Bashungwa au Masauni.
Nyongeza ikitokea Rais hayupo nchini Rungu anashiklia Makamu wa Rais, asipokuwepo yeye pia, Rungu atashika waziri Mkuu, naye asipokuwepo atashika speaker wa Bunge, na ikitokea wote hao hawapo kwa pamoja nchi itakuwa chini ya jaji mkuu!
Hapo Rais wa Zanzibar hatajwi.
Kumruka waziri mkuu au waziri mkuu kutangulia kuingia kwenye sherehe za kitaifa katika accending order na descending order yaani order of seniority ni JANJAJANJA tu ya makusudi inayofanyika.
Lakini ni ukiukwaji wa katiba mchana kweupe.
Hayo yanatosha kuelewa hata kwa mwanafunzi wa elimu ya Uraia Civics kuelewa kuwa waziri mkuu ni Mtu Mkubwa sana katika nchi kimamlaka na protocal akiwa chini ya Makamu wa Rais.
Kwahiyo kumdogosha waziri mkuu ni mbwembwe na janjajanja flani ya makusudi.
π π€π
Yes kikatiba Waziri Mkuu is No.3, Rais wa Zanzibar is nobody kwenye set up ya Muungano, ni Waziri asiye na Wizara maalum ili aingie cabinet, PM ni boss wa Rais wa Zanzibar, lakini ki protocol Rais wa Zanzibar ni number 3. Hata wale makamo wawili wa Zanzibar, katiba ya JMT, haiwatambui, they are nobody huku, ila protocol inawatambua na vingora wanapewa!.
P
Kwenye uvamizi /Muungano huu hiyo katiba ni changa la uso tu kudanganya Toto , Tz Hakuna cha katiba wala mavi ya protokoll, kuna vile watawala wanavyojisikia wanavyoamka au kutetea maslahi yao . Hii nchi Haina sheria.Mkuu hautaeleweka humu. Watu wanachanganya Itifaki (Protocol suite) na Daraja (Hierarchical). Mama yupo Sahihi kiitifaki. Mifano ipo mingi tuu, waangalie nani anatangulia Kuzungumza kwenye matukio ya Kitaifa. Ni PM au Raisi wa Zanzibar. Watapata jibu.
Rais wa Zanzibar anatajwa na kuwekwa juu kwenye katiba ya Jamhuri ya TanzaniaWazir mkuu huishi bara tu Hana mamlaka zanziba