Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Huyu ametutajirisha!!!????Sasa utamlinganisha na jpm ambaye alitufukarisha nchi nzima na kutaka kutufanya kila mtu awe machinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ametutajirisha!!!????Sasa utamlinganisha na jpm ambaye alitufukarisha nchi nzima na kutaka kutufanya kila mtu awe machinga
Amejichimbia USA, ni Rais wa USA au Tanzania. Ametembelea mikoa mingapi,? kusikiliza kero, matatizo ya Wananchi Watanzania?SHuyu ana ni nzuri. Hana makubwa sema mafisi yaliyomzunguka Sasa,
NdiyoHuyu ametutajirisha!!!????
Sasa utamlinganisha na jpm ambaye alitufukarisha nchi nzima na kutaka kutufanya kila mtu awe machinga
Mbona hakuongea nao?Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.
Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini.
Rais amewaona Vijana wa Marekani walioandamana na Mabango na Fulana wakidai Katiba Mpya na Wabunge wa 19 Wafukuzwe. Amesema ameyaona Mabango na kuyasoma. Ujumbe umefika.
Kuhusu chadema kugomea Vikao vya Baraza la vyama vya siasa, amesema anawaelewa na anaendelea kuzungumza nao ili wajiunge na wenzao.
Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya
View attachment 2199573
Ajira. Sasa hivi ajiri zimejaa kila Kona kila aliyesoma anafurahia Sasa. Kipindi kile kipaumbele Cha yule bwana ilikuwa kumaliza upinzani tu basiUlifukarushwa wewe nahisi na uvivu wako au ulikua mwizi kati ya hayo mawili
[emoji15]Ajira. Sasa hivi ajiri zimejaa kila Kona kila aliyesoma anafurahia Sasa. Kipindi kile kipaumbele Cha yule bwana ilikuwa kumaliza upinzani tu basi
Hana shida mzanzibari wa watu, tatizo lipo kwa aliyeshika remoteHuyu ana ni nzuri. Hana makubwa sema mafisi yaliyomzunguka Sasa,
Hata yeye Samia, kumbuka ya Ndugai katiba mpya ni lazimaBila katiba mpya Samia atakuwa ni mkandamizahi mwingine wa demokrasia.
Madhaifu ya katiba ya mwaka 1977 yamejionyesha dhahiri kipindi cha utawala wa Magufuli
Ajira za bungeni? Acha siasa! Yule alijenga uwezo wa watu kujiajiri! Uliza daraja la Tanzanite limeacha vijana wangapi wenye uwezo wa kujenga?Ajira. Sasa hivi ajiri zimejaa kila Kona kila aliyesoma anafurahia Sasa. Kipindi kile kipaumbele Cha yule bwana ilikuwa kumaliza upinzani tu basi
Ujumbe huu uwafikie Zandrano, Sumurai,stroke, countrywide, Naona, Johnthe baptist na group lao loote.Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri.
Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini.
Rais amewaona Vijana wa Marekani walioandamana na Mabango na Fulana wakidai Katiba Mpya na Wabunge wa 19 Wafukuzwe. Amesema ameyaona Mabango na kuyasoma. Ujumbe umefika.
Kuhusu chadema kugomea Vikao vya Baraza la vyama vya siasa, amesema anawaelewa na anaendelea kuzungumza nao ili wajiunge na wenzao.
Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya
View attachment 2199573
Sisi hatutuka ajira temporary. Ajira za tanzanite au mabarabara zilikuwa temporary tuAjira za bungeni? Acha siasa! Yule alijenga uwezo wa watu kujiajiri! Uliza daraja la Tanzanite limeacha vijana wangapi wenye uwezo wa kujenga?
Bwawa la mwalimu limeacha wajenzi wangapi?
Nenda upanuzi wa bandari zote, zote ajira
Sio hizi nyingine hewa tu!
🤣🤣🤣🤣kifupi wanajiongoza wao. Maana hawachaguliwi na wananchi.Mkuu hiyo ni cha mtoto .tafuta clip ya kagame 2014 kama sikosei alienda Oxford university nahsi alipitishwa kwenye ma skip ya uchafu. Viongozi wa kiafrika wanaongoza nafsi zilizogoma japo wanajifanya watukufu.mama yetu ni "dhaifu" period