Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

Kuna dhambi gani kushikana mikono na watanzania wenzake? Mbona alishikana mikono na watanzania na wasio watanzania alipohunduria UNGA?

Amandla...
Kushikana mikono ktk mazingira gani we bwege nini. Unadhani DC ni sawa na Ungindoni kisarawe. Nyambaf
 
Maneno ya kwenye kanga hayo, hiyo ndio tabu kubwa ya kumpa mwanamke madaraka makubwa. Mwanamke lake jiko.
 
At least Anaonekana kuelewa elewa. Tatizo akirudi Bongo wale wamshauri wanambadirisha.....!!
 
Kitu mwanamke anaweza kushika Ni Mimba tu...#Mnisamehe TU.
 
Hangaya alikula kona kusoma maandishi, aangalie asije kuyasomea ukutani......mene mene tekeli na...........
 
binadamu hamna jema mlivyokuwa mnaoiongozwa na jpm mlisema kinyume na haya kumbe ndiyo mlikuwa mnapenda kupelekwa kijeshi wala hamueleweki mnapenda nini
 
si mnasemaa mama alipitia mlango wa uani na madeluuu akapitaa main door sasa aliyaonaje mabangoo na tishetiii zenye jumbe
 
Huyu mama analeta utani kwenye vitu serious..., kwamba hali ni nzuri Tanzania ndio maana watu wanapata muda wa kulalamika badala ya kufanya kazi na kutatua matatizo yao !!!, Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
SUKUMA GANG MTAELEWA TU ZAMA HIZI
 
Walikuwa wamepita kwenye scanner mzee. Security risks mitaa hiyo ni kubwa sana bro
Scanner ipi? Hiyo scanner waliibeba kutoka Bongo? Na waliwascan wapita njia wote maana walipeana mikono wakiwa kwenye public area.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…