Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

unataka aongoze mamako. majitu mengine sijui mna roho za aina gani. utaridhika akiongoza nani? Mwambie mamako agombee labda utaridhika
 
Kama ulibahatika kusoma Chuo Kikuu ungeweza kuewa kwa nini kule hakuna Viboko.

Watu wazima ni sawa na Graduates wa Chuo kikuu.

Sema kuna watu wanaamini katika kufokewa na kusukwasukwa.

Hutopata kitu ktk utawala wa namna hiyo.

SSH hashambulii hoja kwa Rungu.

Anatulia kwanza halafu anajibu inavyostahili.

Shida moja tu ni kwamba watanzania wanaoamini kupata Maendeleo kimuujiza....bila kufanya kazi...kilimo Bora,Mifugo Bora na bila kuwajibika kulipa kodi...

Siasa zinarudi.

Biashara zinarudi...shida ni kwamba je wenyeji wako kwenye game?
 
Hili la kuwaambia hiyo task force kuwa kuna mambo mkituletea mnajua hatutayatekeleza ni kuwafunga mawazo. Hapa linaloogopwa ni kuambiwa katiba mpya sasa wakati yeye anataka iwe baada ya 2025. Na hapo ndipo CHADEMA wanapakataa.
Mimi nashauri hivi, hata kama rais hataki katiba mpya sasa basi asiwe wazi hivyo, aruhusu mchakato uanze lakini awe na delaying tactics (ingawa mimi sipendi ichelewe). Hii itapoza makali ya kuambiwa hadi baada ya 2025 wothout any reasonable reason
 
Hii tabia ya kuita watu WANANGU imetoka wapi. Wanae anao nyumbani kwake nawengine tuna wazazi wetu asituyumbishe kutaka kutawala familia za watu! Abaki na nafasi yake kama Rais wa nchi.
Acha kuwaita watu Wanangu hakuna anakula kwako!.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Anaposikia wakimwita mama anaamini amewazaa? She is just an illiterate old woman with no bearing!
 
Huyu ana ni nzuri. Hana makubwa sema mafisi yaliyomzunguka Sasa,
Sasa kiherehere cha wasaidizi wake kumtia woga na kumfanya apitie vichochoroni kilikuwa cha nini? Siku nyingine watamwambie aruke ukuta ili asione mabango au asisikie wananchi wake wanachosema!!!
Actually angejizolea sifa kem kem kama angejitokeza akasalimiana na hao waandamanaji, ikiwezekana hata kupiga nao selfie, awaambie atafuatilia madai yao, ingeishia hapo. Bahati nzuri mama bado anapendwa na kuheshimiwa sana.
Yaliyomtokea Washington, yanaweza kujirudia Dunia nzima(kasoro China na North Korea) atakapofanya ziara, sasa itabidi asisafiri au awe anapitia jikoni kila wakati.
WAliohusika na huo ushauri wawajibishwe haraka maana wameshindwa kazi.
 
"Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la Polisi, viongozi wa dini, taasisi za kijamii, watajadili mambo ambayo wamepanga, kuna chama cha siasa kimoja bado hakijakubali bado naendelea na mazungumzo nao na nawaelewa kwanini hawajakubali" - Rais @SuluhuSamia.

 
Mkuu mbona plain sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…