Pre GE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

Pre GE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
349
Reaction score
805
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa.

Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Wapo watu wenye nia na uthubutu wa kuongoza. Tunafahamu aliingia madarakani kwa bahati mbaya ndio maana.

Kuachia madaraka nayo ni busara pia.
 
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa.

Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia.

Wapo watu wenye nia na uthubutu wa kuongoza. Tunafahamu aliingia madarakani kwa bahati mbaya ndio maana.

Kuachia madaraka nayo ni busara pia.
Hata hii Teka-poteza-ua ya viongozi mbalimbali wa kisiasa nayo ameamua kuinyamazia kimya??
 
Vitabu vitakatifu vinasema Mwanaume ni kichwa cha nyumba/familia. Hii inathihirisha kuwa pia Mwanaume ni kichwa cha Nchi, ni ubishi tu wa binadamu ila Uongozi wa Nchi unahitaji Mwanaume tena mwenye hofu ya Mungu na anayekerwa na ufisadi na uvujaji wa mali ya umma.
 
Nini kinaendelea? Kuna shida kubwa mahala. Mwenye akili zake timamu lazima atajiuliza.
 
Dah...
Yani hata kukamata uno la ke wangu hapa nashindwa..
Sijui ni nchi gani hii tupo..
 
Back
Top Bottom