Pre GE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa.

Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Wapo watu wenye nia na uthubutu wa kuongoza. Tunafahamu aliingia madarakani kwa bahati mbaya ndio maana.

Kuachia madaraka nayo ni busara pia.
naomba nikuulize kaswali kadogo,ivi wewe ukipewa nafasi ya kuongoza nchi kwa siku moja tu unaweza?,,,mimi sio kwamba namtetea ila kuna wakati najiuliza kama mimi ningeweza,rais yupo bize mno,mara yupo huku mara kule,mara anafungua mradi huu mara ule,mara analetewa files za wa2 kunyongwa ,,,da!!!! mpaka najiulizaga,ivi anapata kweli utulivu wa kufurahia ndoa yake kweli????? ndo manake nyerere alisema ni mwendawazimu pekee anakomaa kwenda ikulu,,ujue,tuache unafiki,wengi we2 ikiwemo sisi pamoja na mimi,vifamilia vyetu,yaani unakuta una vitoto vi3 na kamke kamoja,lakini ata kulipa ada ya shule za watoto tunafeli mazee,,,,ata kulipa kodi ya pango ni issue kama kuaa tembo,,,,lakini 2napiga keleeeeeeeeeeeeeele!!! rais hawezi sijui kafeli,wakatu wewe mwenyewe ata nauli ya kutoka kijiweni kwako kwenda home unakopa!!!!,,,,,,,,ebu jamani,2mpe kamoyo huyu maza!!! mimi sio chawa wala nini,ila nawaza kwa kina tu!! sometimes nikiwa kwenye mishe zangu down town nakosa ata ela ya lunch,naenda kwa ntilie[mama zayomba]nakopa msosi so,nakosa confidence ya kumsahihisha huyu maza!!
 
Binti yule alipopigwa mande na maafande, nilitegemea aongee chochote!!

Sasa sijui shida nn!!

Nadhani amekwishakata tamaa.

Lakini kama anaona mambo ni magumu, yamemshinda, ni busara angetangaza wazi, kuliko kuliacha Taifa bila ya uongozi. Nchi inaweza kutumbukia shimoni.
 
Vitabu vitakatifu vinasema Mwanaume ni kichwa cha nyumba/familia. Hii inathihirisha kuwa pia Mwanaume ni kichwa cha Nchi, ni ubishi tu wa binadamu ila Uongozi wa Nchi unahitaji Mwanaume tena mwenye hofu ya Mungu na anayekerwa na ufisadi na uvujaji wa mali ya umma.
Mwenye hofu ya Mungu ni kama nani?
Hata Atheists wanaweza kuwa marais wazuri.
 
Alipotawala Dictator Makufuli mulinyamaza kimyaa muliufyata wacheni roho mbaya zenu .Mama haondiki mpaka amalize muda wake 10 tena .Yule chato alikuwa anauwa sana pale coco beach maiti za virobaa .Kelele za mlango hazimsubui mwenye nyumba.
 
Huyu nafikiri hata familia yake haiwezi, sembuse urais. Imagine unakuwa na kijana anapitapita kuhonga na kununua watu. Huyo amekosa malezi
 
naomba nikuulize kaswali kadogo,ivi wewe ukipewa nafasi ya kuongoza nchi kwa siku moja tu unaweza?,,,mimi sio kwamba namtetea ila kuna wakati najiuliza kama mimi ningeweza,rais yupo bize mno,mara yupo huku mara kule,mara anafungua mradi huu mara ule,mara analetewa files za wa2 kunyongwa ,,,da!!!! mpaka najiulizaga,ivi anapata kweli utulivu wa kufurahia ndoa yake kweli????? ndo manake nyerere alisema ni mwendawazimu pekee anakomaa kwenda ikulu,,ujue,tuache unafiki,wengi we2 ikiwemo sisi pamoja na mimi,vifamilia vyetu,yaani unakuta una vitoto vi3 na kamke kamoja,lakini ata kulipa ada ya shule za watoto tunafeli mazee,,,,ata kulipa kodi ya pango ni issue kama kuaa tembo,,,,lakini 2napiga keleeeeeeeeeeeeeele!!! rais hawezi sijui kafeli,wakatu wewe mwenyewe ata nauli ya kutoka kijiweni kwako kwenda home unakopa!!!!,,,,,,,,ebu jamani,2mpe kamoyo huyu maza!!! mimi sio chawa wala nini,ila nawaza kwa kina tu!! sometimes nikiwa kwenye mishe zangu down town nakosa ata ela ya lunch,naenda kwa ntilie[mama zayomba]nakopa msosi so,nakosa confidence ya kumsahihisha huyu maza!!
Maelezo meeeeengi lakn pumba tupu
 
Maelezo meeeeengi lakn pumba tupu
usifikiri mimi nafikiri kwa halaiki mazee,,,na wala wewe sio mwalimu wangu,au sio bhana!!!........nina haki ya kufikiri ninachoamini ,halikhadhalika nawe una haki yako,lakini utambue pia,PUMBA ndo inasababisha kuku wanakuwa na afya,na miongini mwa nya tamu na bora ni nyama ya kuku!!! marehemu ROBERT NESTA MARLEY lipata kusema" EVERY ONE HAS THE THE RIGHT TO DECIDE!!!!"
 
naomba nikuulize kaswali kadogo,ivi wewe ukipewa nafasi ya kuongoza nchi kwa siku moja tu unaweza?,,,mimi sio kwamba namtetea ila kuna wakati najiuliza kama mimi ningeweza,rais yupo bize mno,mara yupo huku mara kule,mara anafungua mradi huu mara ule,mara analetewa files za wa2 kunyongwa ,,,da!!!! mpaka najiulizaga,ivi anapata kweli utulivu wa kufurahia ndoa yake kweli????? ndo manake nyerere alisema ni mwendawazimu pekee anakomaa kwenda ikulu,,ujue,tuache unafiki,wengi we2 ikiwemo sisi pamoja na mimi,vifamilia vyetu,yaani unakuta una vitoto vi3 na kamke kamoja,lakini ata kulipa ada ya shule za watoto tunafeli mazee,,,,ata kulipa kodi ya pango ni issue kama kuaa tembo,,,,lakini 2napiga keleeeeeeeeeeeeeele!!! rais hawezi sijui kafeli,wakatu wewe mwenyewe ata nauli ya kutoka kijiweni kwako kwenda home unakopa!!!!,,,,,,,,ebu jamani,2mpe kamoyo huyu maza!!! mimi sio chawa wala nini,ila nawaza kwa kina tu!! sometimes nikiwa kwenye mishe zangu down town nakosa ata ela ya lunch,naenda kwa ntilie[mama zayomba]nakopa msosi so,nakosa confidence ya kumsahihisha huyu maza!!
Kijana upeo wako bado ni mdogo kuyanyambua mambo haya, tambua kwamba urais ni taasisi na yeye ni msimamizi tu..haitaji rasilimali zake binafsi kuongoza nchi, kinachohitajika kwake ni hekima na maono tu.
 
Mh. Shikilia hapo hapo! hata ningekuwaa mm siachii ng'o! asali ya nchi hii ni tamu sana kulamba, tena unailamba bila kubughudhiwa na nyuki.
 
Kijana upeo wako bado ni mdogo kuyanyambua mambo haya, tambua kwamba urais ni taasisi na yeye ni msimamizi tu..haitaji rasilimali zake binafsi kuongoza nchi, kinachohitajika kwake ni hekima na maono tu.
ona sasa trump kakoswa tena kuuwawa,HAKUNA DEMOKRASIA DUNIA NZIMA!!
 
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa.

Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Wapo watu wenye nia na uthubutu wa kuongoza. Tunafahamu aliingia madarakani kwa bahati mbaya ndio maana.

Kuachia madaraka nayo ni busara pia.
mkipata misukosuko mnaanza kulalamika!!
 
Mnaakili kisoda kweli,kama nyie mmeshindwa kumjua muuaji yeye atajuaje au mlitaka afanyeje?si mnasema kifo ni mipango ya Mungu sasa mnalalamika nini??
Hata hii Teka-poteza-ua ya viongozi mbalimbali wa kisiasa nayo ameamua kuinyama
 
naomba nikuulize kaswali kadogo,ivi wewe ukipewa nafasi ya kuongoza nchi kwa siku moja tu unaweza?,,,mimi sio kwamba namtetea ila kuna wakati najiuliza kama mimi ningeweza,rais yupo bize mno,mara yupo huku mara kule,mara anafungua mradi huu mara ule,mara analetewa files za wa2 kunyongwa ,,,da!!!! mpaka najiulizaga,ivi anapata kweli utulivu wa kufurahia ndoa yake kweli????? ndo manake nyerere alisema ni mwendawazimu pekee anakomaa kwenda ikulu,,ujue,tuache unafiki,wengi we2 ikiwemo sisi pamoja na mimi,vifamilia vyetu,yaani unakuta una vitoto vi3 na kamke kamoja,lakini ata kulipa ada ya shule za watoto tunafeli mazee,,,,ata kulipa kodi ya pango ni issue kama kuaa tembo,,,,lakini 2napiga keleeeeeeeeeeeeeele!!! rais hawezi sijui kafeli,wakatu wewe mwenyewe ata nauli ya kutoka kijiweni kwako kwenda home unakopa!!!!,,,,,,,,ebu jamani,2mpe kamoyo huyu maza!!! mimi sio chawa wala nini,ila nawaza kwa kina tu!! sometimes nikiwa kwenye mishe zangu down town nakosa ata ela ya lunch,naenda kwa ntilie[mama zayomba]nakopa msosi so,nakosa confidence ya kumsahihisha huyu maza!!
Hii ni takataka gani umeandika hapa? Mbona kwenye issue muhimu kama hii unaleta ujinga? Si heri ungekaa kimya kuliko kuanika upumbavu wako.
 
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa.

Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Wapo watu wenye nia na uthubutu wa kuongoza. Tunafahamu aliingia madarakani kwa bahati mbaya ndio maana.

Kuachia madaraka nayo ni busara pia.
Nafasi ilikuja kama kikohozi,hakuitarajia na hakuwahi kuuwaza uraisi,
Ila kama unaona kabisa huwezi bora kuachia kuliko kupeleka nchi pabaya
 
Katika taifa lolote duniani linaloendeshwa kidemokrasia na linalojitambua, huwezi kuwa Rais wa nchi kwa zaidi ya nusu muhula bila kupigiwa kura na wananchi...wa kwetu huu ni mwaka wa tatu yuko madarakani bila kura.
 
Back
Top Bottom