Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
Hata hii Teka-poteza-ua ya viongozi mbalimbali wa kisiasa nayo ameamua kuinyamazia kimya??Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa.
Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia.
Wapo watu wenye nia na uthubutu wa kuongoza. Tunafahamu aliingia madarakani kwa bahati mbaya ndio maana.
Kuachia madaraka nayo ni busara pia.
lini iliongelewa..?Hata hii Teka-poteza-ua ya viongozi mbalimbali wa kisiasa nayo ameamua kuinyamazia kimya??
Inasikitisha snBinti yule alipopigwa mande na maafande, nilitegemea aongee chochote!!
Sasa sijui shida nn!!
Unamaanisha hakuna social media yoyote iliyoripoti kuhusu hili swala?lini iliongelewa..?
unanichanganya babu nna hasira laana iwafikie wote waliotenda/wanaofurahia wao na vizqzi vyaoUnamaanisha hakuna social media yoyote iliyoripoti kuhusu hili swala?
Sio laanatu hata gharika iwashukie usiku huuunanichanganya babu nna hasira laana iwafikie wote waliotenda/wanaofurahia wao na vizqzi vyao
ameen usiku wa manane nitaamka kusali kumuomba mungu ghrika kubwa ziwakumbeSio laanatu hata gharika iwashukie usiku huu