naomba nikuulize kaswali kadogo,ivi wewe ukipewa nafasi ya kuongoza nchi kwa siku moja tu unaweza?,,,mimi sio kwamba namtetea ila kuna wakati najiuliza kama mimi ningeweza,rais yupo bize mno,mara yupo huku mara kule,mara anafungua mradi huu mara ule,mara analetewa files za wa2 kunyongwa ,,,da!!!! mpaka najiulizaga,ivi anapata kweli utulivu wa kufurahia ndoa yake kweli????? ndo manake nyerere alisema ni mwendawazimu pekee anakomaa kwenda ikulu,,ujue,tuache unafiki,wengi we2 ikiwemo sisi pamoja na mimi,vifamilia vyetu,yaani unakuta una vitoto vi3 na kamke kamoja,lakini ata kulipa ada ya shule za watoto tunafeli mazee,,,,ata kulipa kodi ya pango ni issue kama kuaa tembo,,,,lakini 2napiga keleeeeeeeeeeeeeele!!! rais hawezi sijui kafeli,wakatu wewe mwenyewe ata nauli ya kutoka kijiweni kwako kwenda home unakopa!!!!,,,,,,,,ebu jamani,2mpe kamoyo huyu maza!!! mimi sio chawa wala nini,ila nawaza kwa kina tu!! sometimes nikiwa kwenye mishe zangu down town nakosa ata ela ya lunch,naenda kwa ntilie[mama zayomba]nakopa msosi so,nakosa confidence ya kumsahihisha huyu maza!!