Rais Samia: Kuagiza sukari nje ya nchi ni upotevu wa pesa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara ya Kilimo na Wizara ya Biashara kuvipa kazi viwanda vya ndani ya Nchi ikiwemo Kilombero Sugar ili vizalishe sukari ya majumbani na viwandani na ethanol kwa ajili ya nishati ya kupikia huku akisema kuagiza tani 250000 ya sukari nje ya Nchi kwa ajili ya viwanda ni matumizi mabaya ya fedha.

Rais Samia ametoa agizo hilo leo August 04,2024 baada ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda cha sukari Kilombero-K4 Mkoani Morogoro.

“Niwaelekeze Mawaziri wawili wa Kilimo na wa Biashara, katika mahitaji yetu ya sukari Nchini, nimeambiwa tani 650000 ni matumizi ya sukari tunayotumia majumbani lakini viwanda vinahitaji tani 250000, sasa tani 250000 tukiendelea kuagiza ni upotevu wa fedha za kigeni”

“Mimi nina uhakika tukivipa kazi viwanda vyetu vinaweza kutuzalishia sukari ya viwandani, kwa hiyo sasa hiyo ndiyo kazi ninataka mkaitekeleze, angalieni mtawekaje sera zetu ili viwanda hivi viweze kuzalisha sukari ya viwandani lakini pia waweze kuzalisha ethanol kwa ajili ya kupata nishati safi ya kupikia na kwa matumizi mengine”.
---
Screenshot_20240805-122532_1.jpg
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ambayo yanetamkwa na Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,huko mkoani Morogoro hii leo katika muendelezo wa ziara yake na kuzungumza na wananchi.

Ambapo amesema ya kuwa mahitaji ya sukari nchini ni Tani laki 6 na Nusu ,huku mahitaji ya sukari viwandani ni Tani Laki 2 Na nusu. Na hivyo akizitaka wizara husika kuhakikisha kuwa sukari inazalishwa na viwanda vyetu vya hapa hapa Nchini,badala ya kuagiza kutoka nje ya nchi,jambo ambalo ni upotevu wa pesa za kigeni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ambayo yanetamkwa na Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,huko mkoani Morogoro hii leo katika muendelezo wa ziara yake na kuzungumza na wananchi.

Ambapo amesema ya kuwa mahitaji ya sukari nchini ni Tani laki 6 na Nusu ,huku mahitaji ya sukari viwandani ni Tani Laki 2 Na nusu. Na hivyo akizitaka wizara husika kuhakikisha kuwa sukari inazalishwa na viwanda vyetu vya hapa hapa Nchini,badala ya kuagiza kutoka nje ya nchi,jambo ambalo ni upotevu wa pesa za kigeni.View attachment 3062107

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Mbona mlikuwa mnamukaanga mpina kwa kukataa report ya waziri wa Kilimo
 
Mpina alisema tumeagiza kuliko gap sugar na kwamba walioagiza hawana vigezo.

Mama Samia kasema hata hiyo gap sugar hatupaswi kuagiza (Hata kama una vibali au kuagiza ndani ya gap sugar) maana tunapoteza pesa.

Mpina hakupinga sukari isiagizwe ila alipinga utaratibu na kiasi kiliachoagizwa. Mama samia anapinga uagizaji all together so ni mambo mawili tofauti.
 
Mpi
Walisema amedanganya
View attachment 3062110Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ambayo yanetamkwa na Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,huko mkoani Morogoro hii leo katika muendelezo wa ziara yake na kuzungumza na wananchi.

Ambapo amesema ya kuwa mahitaji ya sukari nchini ni Tani laki 6 na Nusu ,huku mahitaji ya sukari viwandani ni Tani Laki 2 Na nusu. Na hivyo akizitaka wizara husika kuhakikisha kuwa sukari inazalishwa na viwanda vyetu vya hapa hapa Nchini,badala ya kuagiza kutoka nje ya nchi,jambo ambalo ni upotevu wa pesa za kigeni.View attachment 3062107

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
na

mpina was right all along, shame on you ccm kwa kutaka kuukwamisha ukweli
Na president amesema
 
Hii ndiyo Tanzania na aina ya Viongozi tulionao

Taarifa iliyoenda Bungeni na Waziri mwenye dhamana ilionesha Serikali ilikuwa sahihi kuagiza Sukari nje ya Nchi.

Leo hii Mhe. Rais ameonesha Serikali ilikosea kuagiza Sukari nje

Kwa kauli hii nategemea H. Bashe awajibishwe

Na ingekuwa Nchi za wenzetu Bunge pia lingevunjwa
 
Mpina alipinga kuagiza sukari zaidi ya gap sugar na pia aliwapinga hao waagizaji kwamba hawana vigezo, Samia kakataza uagizaji wote kwa ujumla ikiwa inaweza kupatikana yote hapa hapa nchini.

Mpina ni kichwa ngumu lakini kakutana na mfumo wenye kuongoza nchi miaka na miaka. Wanaweza kumfanyia kitu kibaya bila ya yeye kutegemea.
 
Mpina alisema tumeagiza kuliko gap sugar na kwamba walioagiza hawana vigezo.

Mama Samia kasema hata hiyo gap sugar hatupaswi kuagiza (Hata kama una vibali au kuagiza ndani ya gap sugar) maana tunapoteza pesa.

Mpina hakupinga sukari isiagizwe ila alipinga utaratibu na kiasi kiliachoagizwa. Mama samia anapinga uagizaji all together so ni mambo mawili tofauti.
Asipokuelewa kwa majibu haya ,atakuwa na tatizo la uelewa
 
Hii ndiyo Tanzania na aina ya Viongozi tulionao

Taarifa iliyoenda Bungeni na Waziri mwenye dhamana ilionesha Serikali ilikuwa sahihi kuagiza Sukari nje ya Nchi.

Leo hii Mhe. Rais ameonesha Serikali ilikosea kuagiza Sukari nje

Kwa kauli hii nategemea H. Bashe awajibishwe

Na ingekuwa Nchi za wenzetu Bunge pia lingevunjwa
Akili za viongozi wa TZ haieleweki kabisa.
Na apo sa100 analalamika badala ya kuonyesha amefanya solutions Gani kam kiongozi.

Ina maana sukari itaendelea kuwa tatizo tz , mpaka mageuzi yenye tija yafanyiwe kazi
 
Hajalalamika bali ametoa maagizo yanayopaswa kutekelezwa.
Kwa nini wasiibe mawazo mazuri ya CHADEMA kuhusu kutatua tatizo la sukari kama JPM alivyoiba sera ya elimu bure toka UKAWA kingali haikuwepo kwenye ilani ya CCM.

UGANDA NI MZALISHAJI WA SUKARI BEI NAFUU KULIKO SISI.
Meanwhile sukari toka brazil inaweza kufika NANJILINJI kwa bei ndogo kulinganisha na sukari ya KILOMBERO.
CCM imejaza wazee walafi wasiowaza maendeleo. Mark my words
 
View attachment 3062110Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ambayo yanetamkwa na Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,huko mkoani Morogoro hii leo katika muendelezo wa ziara yake na kuzungumza na wananchi.

Ambapo amesema ya kuwa mahitaji ya sukari nchini ni Tani laki 6 na Nusu ,huku mahitaji ya sukari viwandani ni Tani Laki 2 Na nusu. Na hivyo akizitaka wizara husika kuhakikisha kuwa sukari inazalishwa na viwanda vyetu vya hapa hapa Nchini,badala ya kuagiza kutoka nje ya nchi,jambo ambalo ni upotevu wa pesa za kigeni.View attachment 3062107

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
lucka acha kigeu geu si wewe hapa ulimsifia mpaka Bashe kwa kuagiza sukari leo hii umekula reverse moja matata mpaka katambuga zako zimetoa cheche hapo
 
Back
Top Bottom