Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

Hakuna tatizo kwenye kusafiri. Lakini alistahili kufanya marekebisho makubwa kwanza, hasa kwenye sheria za uwekezaji, kodi, biashara, utawala ili anapoenda kwenye hayo mataifa aende na kitu kipya cha kuwavuta. Hakuna mwekezaji anayeenda kuwekeza mahali eti kwa sababu Rais amewakaribisha wawekezaji
 
Tukia sindano ikuingie
 
Magufuli alikua hasafiri mkasema amekaa tuu hatembei apate exposure...leo mama akisafiri pia mnalalamika..
 
Huyu anabembea tu kwenye mapipa, kwa masikini wenzake hakuna atakachokipata , sana sana ni kumshauri namna ya kuwaonea/kuwaua wapinzani. Huyu hafai katu... Nenda kwa mabeberu uone kama utapata wawekezaji, lkn baada ya kurekebisha sheria na stupid policy zilizowekwa na Jiwe.
 
Akitoka huko anaunganisha wapi tena! Bila shaka amepaa na ile Bombardier mpya!!
 
Kiukweli DRC ingejiunga na EAC tungelamba dume. Kwa rasilimali wametuzidi.
Nashauri awashawishi waondoe Visa nasi tuondoe tuwapokee Wacongo; mawasiliano simu pia ipo shida kubwa hata kwa EAC,
Hakika....
 
Ikiwa sijakuwekea STATISTICS basi nilitegemea msomi wewe uniwekee statistics hizo kuwa BURUNDI NA KENYA hazina mchango katika uchumi wetu......
 
Dah mama kwenye kusafiri yuko vizuri aisee, Vasco da Gama wa kipindi hichi.
Ila hata mimi ningekuwa Rais ningezurula sana sipendi kukaa sehemu moja kunachosha
 
Tena hii ziara ya Congo ingetakiwa aanze nayo, Congo ina population kubwa pia inakuwa Rahisi kufanya biashara hasa wakiamua kutumia bandari yetu ya Dar es Salaam
 
Wanadamu hatunaga jema aisee
 
Josh J
Mtu yeyote anayetukana wengine hata ka si Mimi anatabia chafu lazima akemewe hyo tabia mbaya, huwezi kujifanya unataka haki huku unatukana wengine huo ni uwehu
 
Nasubiri Amplifaya ya Millad ayo kutokea Cairo street Zambia na Lubumbashi. Naamini mama atambeba na yeye kwenye safari zake. Lazi iendelee..# Tunajengauchumi
#Leavingbehindmess
 
Mmmh mbona mnamuwahisha hivyo kabla ya safari atateua kwanza na kuwaapisha kisha huyooo Congooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…