Rais Samia kuendelea kununua magoli ya Simba na Yanga sio uhujumu uchumi huu?

Rais Samia kuendelea kununua magoli ya Simba na Yanga sio uhujumu uchumi huu?

Sijaona ubaya,ni sawana mwalimu kumpa zawadi mwanafunzi wake anayefanya vizuri darasani,the president is right,anachofanya ni kuwamotivate wachezaji wetu,hiyo tunaita positive motivation
 
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.

Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini?

USSR View attachment 2526950
Yule Mwendawazimu ndiyo alikuwa akigawa hovyo hovyo njiani eti 'akisikamishwa' or rather msafara wake ukisimamishwa na wanakijiji basi huwa na maburungutu ya milioni tano tano na kumgawia kila anayejisikia kumgawia, bora hii inaweza kupigiwa mahesabu na kujulikana ni kiasi gani kimetoka na pia ni ku-motivate wachezaji.
Ya Jiwe ilikuwa worse na kenge wengi wanaopigia kelele hii ile ya Jiwe hawakuwa wakiizungumzia, Sukuma gang ni kikundi cha vichaa.
 
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.

Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini?

USSR View attachment 2526950
Yaani Rais wa nchi anatoa motisha katika maendeleo ya soka bado unaleta fikra hasi? Simba au Yanga kufanikiwa kuna faida kubwa kwa nchi. Wanaitangaza nchi, wanaongeza ubora wa ligi yetu, ni hamasa ya ajira kwa vijana. Tuache fikra hasi katika kila jambo. #Michezo ni uchumi. Mhe. Rais Dk. Samia endelea mbele.🙏🙏🙏
 
Kuna vitu vinashangaza sana ,ajabu kuna watoto wanasomea nje na kukaa chini kwa kukosa vyumba vya madarasa na madawati
 
Kuna mtu nae alikua anagawa pesa kwenye msafara wake.mbona ukuuliza?
Yeye kakufa
 
Kuna vitu vinashangaza sana ,ajabu kuna watoto wanasomea nje na kukaa chini kwa kukosa vyumba vya madarasa na madawati
Kuna baadhi ya mambo huyatafutii suluhisho lake unayaacha kuendelea kuwepo uwe unayafanya kidogo kidogo ili uonekane unafanya kitu.
 
Kuna mtu nae alikua anagawa pesa kwenye msafara wake.mbona ukuuliza?
Yeye kakufa
Si mnasema huyo ilikuwa ukiuliza unauliwa? Sasa hivi hakuna kuuliwa ndio maana watu wanahoji.
 
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.

Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini?

USSR

View attachment 2526950
Wewe nawe upeo wako ni mdogo sana !!! Sasa Milioni 5 kwa Rais wa Nchi ni kitu gani?!
Kwanza unaweza kuta Rais hatoi hizo pesa, ni watu wengine wanaweza kugombea kuzitoa ktk kumuunga Rais mkono katika azma yake!
Mashabiki mengi ya CHADEMA ni vil.aza sana, hasa kama huyu USSR!
 
Yani mtu agombee kutoa hela ili kuonyesha kumuunga mkono Rais halafu basi hataki chochote?
 
Back
Top Bottom