Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Kuliko 1.5trn?Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.
Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini?
USSR
View attachment 2526950