figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
This is none of your business. Kuchoka anakujua Samia mwenyewe na si mwingine particularly mtu kama wewe being not her doctor! katika yoooooooooooooooooooooooooooote umeona hili la maana kuliko yanayokusibu/yanayolisibu taifa.Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba maji ya kunywa baada ya kujisikia vibaya sababu wa Uchovu.
Hio sio ziara ya kawaida, anaenda kuangalia awapa Wageni huko alikotoka!! usikute Wahindi wameomba hifazi ya Manyara ili watutunzie wanyama wetu!!Salaam Wakuu,
Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara.
Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India.
Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba maji ya kunywa baada ya kujisikia vibaya sababu wa Uchovu.
Hawa wanaume wanaoandaa ziara ya rais wetu, wazingatie yeye ni mama mtu mzima ambaye katumia nguvu nyingi kujifungua na kulea, hivyo asipelekeshwe kijeshi jeshi.
alikuwa Katar huko amesaini mikataba mingi na India nako pia kafanya kufuru ya mikataba hivyo kilichopo ni utekelezaji, Mkoa wa Manyara una rasilimali nyingi sana hivyo ameanzia huko, Tanzanite yetu inatokea Manyara India ni mwizi mkubwa wa Tanzanite yetu, huko India kapewa mpaka udokta wa unafikiri ni wa bure? kinachofwatia utasikia hamisha amisha na teua kuweka wanaoweza kufanikisha rasimilimali zetu kwenda, imekuwa kama trend kila akirudi ktk nje anakwenda Mkoa, alivyotoka Kenya kaenda Kusini moja kwa moja kibiti …
Hio sio ziara ya kawaida, anaenda kuangalia awapa Wageni huko alikotoka!! usikute Wahindi wameomba hifazi ya Manyara ili watutunzie wanyama wetu!!
Atauza kila kitu mpk tukomeHio sio ziara ya kawaida, anaenda kuangalia awapa Wageni huko alikotoka!! usikute Wahindi wameomba hifazi ya Manyara ili watutunzie wanyama wetu!!
umeanza lini kuwa na huruma hivi,Salaam Wakuu,
Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara.
Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India.
Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba maji ya kunywa baada ya kujisikia vibaya sababu wa Uchovu.
Hawa wanaume wanaoandaa ziara ya rais wetu, wazingatie yeye ni mama mtu mzima ambaye katumia nguvu nyingi kujifungua na kulea, hivyo asipelekeshwe kijeshi jeshi.
Kuzima mwenge wanaweza kutumia drone.Ziara zingine anajilamisha tu kama ya juzi Arabuni,Manyara anaenda kuzima mwenge so ni lazima aende atake asitake
Watapigaje pesa?Kuzima mwenge wanaweza kutumia drone.
Lazima awafurahishe chawa wake kwanzaAtupe kwanza tija ya kuambatana na lundo la watu huko india
ZIDISHA KUWANGA,HUO ULOZI WAKO BADO HAUTOSHI
kuwanga kivipi hata dots hauwezi kuunganisha? Katoka India huko kafanya kufuru ya mikataba iko recorded kila mahali kwamba raisi samia amesaini mikataba mingi na India na kapewa udkt, India ndiyo mchukuaji mkubwa wa madini yetu ya Tanzanite kupitia kenya iko recorded kila mahali madini ya tanzanite yanapatikana Mkoa wa Manyara, raisi karudi tu ktk India alikosaini mikataba mingi safari ya kwanza Manyara, kuna kipi hakipo wazi hapo hadi useme nawanga?
Mama yako analala saa 2 usiku....Kuna mama zetu kila siku wanaamka saa 11 na kurudi jioni kutoka shambani na kutafuta pesa+ usafiri wa shida, huyu anayeshinda kivulini anachoka nini?
..... IRON LADY [emoji2956][emoji2956][emoji2956]Uongo mbaya Mama kidume hachoki jana tu alikuwa Hindustan.