Rais Samia kufanya ziara Mkoa wa Manyara

Salaam Wakuu,

Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara.

Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India.

Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba maji ya kunywa baada ya kujisikia vibaya sababu wa Uchovu.

Hawa wanaume wanaoandaa ziara ya rais wetu, wazingatie yeye ni mama mtu mzima ambaye katumia nguvu nyingi kujifungua na kulea, hivyo asipelekeshwe kijeshi jeshi.
kama kachoka aachie ngazi aende kupumzika kazimkazi,hajalazimishwa!
 
alikuwa Katar huko amesaini mikataba mingi na India nako pia kafanya kufuru ya mikataba hivyo kilichopo ni utekelezaji, Mkoa wa Manyara una rasilimali nyingi sana hivyo ameanzia huko, Tanzanite yetu inatokea Manyara na India ni mwizi mkubwa wa Tanzanite yetu, udokta wa wa kupewa India unafikiri ni wa bure?…
Lakini Manyara Rais anaenda kushiriki kilele cha mbio za mwenge we uhuru ambao utazimwa Octoba 14, 2023 mjini Babati. Hayo mengine ya Tanzanite mnatoa wapi?!

Sisi wananchi wa Manyara tumeshukuri tukio hiki kufanyika katika Mkoa huu manake barabara nyingi za vijijini zimewekwa vizuri achilia mbali mandhari ya mji wetu wa Babati kubadilika ghafla.
 
kwa hiyo ulitaka wakwambie anakwenda kwa ajili ya mikataba na India na wizi Tanzanite yetu unaofanywa na India ambao hata wamempa udkt? fwatilia hiyo ziara mpaka iishe halafu urudi ulete mrejesho kama ukipenda …
 
Boss, hiyo azma ya mambo ya Tanzanite hata kama ingekuwepo wala siyo lazima aende Mkoani Manyara physically. Usichanganye mafaili bure humu.
 
angalia pattern za utawala uliopo majibu yote unayapata, kwanza hakuna awamu inayotabirika kama hii, naweza hata kukwambia kinachofwatia kwenye hiyo ziara ni hamisha hamisha na kuteua kwenye madini, …
 
Wacha tuone chifu.
 
Back
Top Bottom