Rais Samia kufanya ziara Mkoa wa Manyara

kama kachoka aachie ngazi aende kupumzika kazimkazi,hajalazimishwa!
 
Lakini Manyara Rais anaenda kushiriki kilele cha mbio za mwenge we uhuru ambao utazimwa Octoba 14, 2023 mjini Babati. Hayo mengine ya Tanzanite mnatoa wapi?!

Sisi wananchi wa Manyara tumeshukuri tukio hiki kufanyika katika Mkoa huu manake barabara nyingi za vijijini zimewekwa vizuri achilia mbali mandhari ya mji wetu wa Babati kubadilika ghafla.
 
kwa hiyo ulitaka wakwambie anakwenda kwa ajili ya mikataba na India na wizi Tanzanite yetu unaofanywa na India ambao hata wamempa udkt? fwatilia hiyo ziara mpaka iishe halafu urudi ulete mrejesho kama ukipenda …
 
Boss, hiyo azma ya mambo ya Tanzanite hata kama ingekuwepo wala siyo lazima aende Mkoani Manyara physically. Usichanganye mafaili bure humu.
 
angalia pattern za utawala uliopo majibu yote unayapata, kwanza hakuna awamu inayotabirika kama hii, naweza hata kukwambia kinachofwatia kwenye hiyo ziara ni hamisha hamisha na kuteua kwenye madini, …
 
Wacha tuone chifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…