Lini TRUMP alimuita, Lini Kiongozi wa Ujerumani alimuita aende Ujerumani, lini Waziri Mkuu wa Uingereza alimuita aende Uingereza?Hana tabia ya kuzurula Bali hao beeru ndio walikuwa wanamtaka aende kwao na akawa anawachagua kama karanga.
Haendi Kwa Beberu na hawana Cha kumfanya sana sana atawatandika bakura za kuzidi nyie vibaraka wao.
Kabla ya Trump aliitwaLini TRUMP alimuita, Lini Kiongozi wa Ujerumani alimuita aende Ujerumani, lini Waziri Mkuu wa Uingereza alimuita aende Uingereza?
Tatizo Urusi hana economic influence kwa dunia hata ule muungano na India,China,SA, Brazil una sua sua wameshindwa kabisa kuiua dola ya Marekani.God damn zati demon-possessed bi+ch! Kwani Russia imeumbwa leo? Kabla hajayatimba, fazafaka alikuwa anazurura Ulaya na Marekani tu as though Russia didn’t exist. Alikuwa kiguu na njia—anajialika yeye mwenyewe!
Chawa wake kirini tu kwamba fazafaka ameshapoteza option ya kuzurura na bakuli lake Ulaya na Marekani. Otherwise, mwaka huu angekuwa ameshaenda huko countless times.
Wageni waalikwa Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026): waalikwa wa Kimataifa ni :
international participants of the forum are:
Nimeota ndege atakayopanda ikizimika mawinguni.DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ziara hiyo itakuwa ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu Hayati Julius Kambarage Nyerere alipozuru taifa hilo mwaka 1969, takribani miaka 57 iliyopita.
Wakati wa ziara hiyo, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin kuhusu kuimarisha ushirikiano katika biashara, uwekezaji, elimu, sayansi na teknolojia, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Aidha, Rais Samia atashiriki na kuhutubia Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026), moja ya majukwaa makubwa duniani yanayowakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau wa sekta binafsi kujadili masuala ya uchumi na maendeleo.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
View attachment 3599431
View attachment 3599479View attachment 3599480
Yaani naomba itokee hivyo.Hilo li hippopotumus lifeNimeota ndege atakayopanda ikizimika mawinguni.
Punguzeni kuwaogopa hao magharibi, ni binadamu wanaozaliwa wakakua kisha wakafa kama sisi.Tuseme tu hiki ndio kinampeleka maana si peke yake atakuwa amehudhuria.
Yote ya yote ni ziara yenye kuangaliwa kwa jicho la kipekee maana kuna mgongano sana kati yetu na maslahi ya Marekani kwa wakati huu , hali Marekani na urusi japo ni chungu kimoja wale ila wana uhasama wa hapa na pale dhidi ya washirika.
Tahadhari ni muhimu sana dhidi ya nchi za mashariki huko , wale hawanaga rafiki wa kudumu ya kikufika , pia wao hawafanywi chochote na magharibi, tukiweka mbele ulimwengu una run wa na magharibi .
Vinginevyo safari njema kwenda na kurudi salama mh rais.
Tuzidishe dua damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 zilipweYaani naomba itokee hivyo.Hilo li hippopotumus life