Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
nchi inakwenda kufunguka kwa kishido
chadema hawaamini macho yao ni kama wamepoteza fahamu kwa kweli
chadema hawaamini macho yao ni kama wamepoteza fahamu kwa kweli
My Take
Sio Kila Rais wa Tanzania anaweza Kualikwa Nchini Urusi,hii huja Kwa mtu kwenye msimamo na asiyeyumbishwa na aliyekataa kuwa kibaraka wa beberu wa West wanaowafashili wale vibaraka wanaojiita Wapinzani.
Hii sio tuu kwamba ni Heshima binafsi Kwa Rais Samia Bali ni Heshima Kwa Nchi kwamba imeendelea kusimamia msimamo wake usioyumba.
Haters wa SSH kazi wanayo.
View: https://www.instagram.com/p/DZDVVrrs6aQ/?igsh=MWZncTF0anFhYTN3Mg==
Kweli niliona Waziri wa Mambo ya nje ametembelea Slovenia nikashangaa kuona Serikali inatafuta Wawekezaji kweye ndogo ndogo kama Romani, Slovakia, Bulgaria.Ukishaona taifa linaanza kujikomba kwa Russia ujue ni mueleko wa Belarus, Syria, Cuba na Venezeula.
Hakika umenena jambo, kweli huyo aliyemshahuri hamtakii mema kabisa hapa mabeberu watamchukulia kama ni kiburi.Hilo ni kosa kubwa sana. Kama ameshauriwa na mtu, basi ajue kuwa hiyo mtu hampendi kabisa.
Hizo sababu zenyewe zilizotolewa za kwenda huko, haziingii kabisa akilini.
Russia siyo miongoni mwa mchi zenye makampuni mengi yanayowekeza nje ya Urusi.
Urusi yenyewe bado inahangaika kila siku kutafuta wawekezaji kwenye sekta ya madini na sekta nyingine.
Biashara na Urusi, utauza nini Urusi? Huwezi kuuza mazao kwa sababu Urusi ina watu wengi wenye uchumi duni ambao wanategemea peasantry. Urusi ni miongoni mwa mataifa yanayouza sana mazao ya chakula Ulaya.
Naunga mkono hoja, by the way China na Russia hawajawahi kuwa washirika wazuri, cheki kilichomkuta MaduroFazafaka hawezi kupata mwaliko kutoka nchi zinazoendesha mambo yake kwa kufuata the rule of law. Other than invitations from fellow African dictators, mialiko ya mazafakas wa Russia, China, North Korea, na Uarabuni ndiyo atakayoendelea kuipata!
Ameshaishushia nchi yetu hadhi.
China anajitafuta? Hamna mkuu haya majamaa yameshajipata. Huoni ziara za viongozi wa magharibi kumfata Xi wayajenge? Sema mama awe tu makini humo njiani kuna drone za Ukraine zinaongozwa na wahuni waliochanganywa na vita zinagonga chochote muda wowote
Huo uhusiano umekusaidia nini?Hapo ndio kaharibu kila kitu na uhusiano wetu na Ulaya na Marekani unakwenda kuharibika kabisa.
Nchi gani zinafata rule of law, marekani?..kwenda kumng'oa rais wa Venezuela ni rule of law?.. kupiga boti za wavuvi ni rule of law?..kumpa Israel silaha aue watu 70k+ ni rule of law?Fazafaka hawezi kupata mwaliko kutoka nchi zinazoendesha mambo yake kwa kufuata the rule of law. Other than invitations from fellow African dictators, mialiko ya mazafakas wa Russia, China, North Korea, na Uarabuni ndiyo atakayoendelea kuipata!
Ameshaishushia nchi yetu hadhi.
Hatuzungumzii international rule of law hapa. Tunazungumzia the most basic rule of law (domestic rule of law), which is the fundamental principle of democratic governance in a country. Kiongozi anayesigina constitutional rights (including the scared right to life) za raia wake ili yeye aendelee kutawala ni msaliti wa kiwango cha juu sana!Nchi gani zinafata rule of law, marekani?..kwenda kumng'oa rais wa Venezuela ni rule of law?.. kupiga boti za wavuvi ni rule of law?..kumpa Israel silaha aue watu 70k+ ni rule of law?
HALI YA USALAMA NCHINI RUSSIA
01 June 2026
Putin adai hali ni shwari, Atangaza Mgogoro wa Ukraine Unaelekea Mwishoni Huku Drones za Ukraine Zikishambulia Urusi
|
View: https://m.youtube.com/watch?v=akgpNMyO7WA
Rais wa Urusi Vladimir Putin amedai kwamba vita nchini Ukraine "vinaelekea mwisho wake," akitoa mfano wa kile alichokielezea kama maendeleo ya Urusi katika uwanja wa vita.
Akizungumza na mwandishi wa habari wa Kommersant Andrei Kolesnikov, Putin alisema vikosi vya Urusi vinasonga mbele "katika pande zote" na akapuuza wito wa kutoa ratiba ya mwisho wa mgogoro huo.
Putin pia alikosoa uandishi wa habari wa Magharibi kuhusu vita hivyo, akiwashutumu waandishi wa habari kwa kupuuza vifo vya raia katika maeneo yanayodhibitiwa na Urusi huku akizingatia tu vitendo vya kijeshi vya Urusi.
Matamshi yake yalikuja huku kukiwa na mashambulizi yanayoendelea ya ndege zisizo na rubani, kuongezeka kwa shughuli za kijeshi, na uchunguzi wa kimataifa kuhusu mgogoro huo.
Katika video hii, tunaangazia maoni ya hivi karibuni ya Putin, yanamaanisha nini kwa mustakabali wa vita vya Ukraine, na jinsi uongozi wa Urusi unavyopanga hatua ya sasa ya mgogoro huo.
01 June 2026
LIVE: Putin Declares Ukraine Conflict Is Moving Toward Its Conclusion Amid New Strikes
Russian President Vladimir Putin has claimed that the war in Ukraine is "moving toward its conclusion," citing what he described as Russian advances across the battlefield. Speaking to Kommersant journalist Andrei Kolesnikov, Putin said Russian forces are advancing "in all directions" and dismissed calls to provide a timeline for the conflict's end.Putin also criticized Western media coverage of the war, accusing journalists of ignoring civilian casualties in Russian-controlled territories while focusing exclusively on Russian military actions. His remarks came amid continued drone attacks, escalating military operations, and growing international scrutiny of the conflict.In this video, we break down Putin's latest comments, what they could mean for the future of the Ukraine war, and how Russia's leadership is framing the current stage of the conflict.
Uranium hiyo 📞DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ziara hiyo itakuwa ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu Hayati Julius Kambarage Nyerere alipozuru taifa hilo mwaka 1969, takribani miaka 57 iliyopita.
Wakati wa ziara hiyo, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin kuhusu kuimarisha ushirikiano katika biashara, uwekezaji, elimu, sayansi na teknolojia, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Aidha, Rais Samia atashiriki na kuhutubia Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026), moja ya majukwaa makubwa duniani yanayowakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau wa sekta binafsi kujadili masuala ya uchumi na maendeleo.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
View attachment 3599431
View attachment 3599479View attachment 3599480
Hili li hippopotumus natamani sana lifie huko huko. Shenzi sana.DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ziara hiyo itakuwa ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu Hayati Julius Kambarage Nyerere alipozuru taifa hilo mwaka 1969, takribani miaka 57 iliyopita.
Wakati wa ziara hiyo, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin kuhusu kuimarisha ushirikiano katika biashara, uwekezaji, elimu, sayansi na teknolojia, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Aidha, Rais Samia atashiriki na kuhutubia Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026), moja ya majukwaa makubwa duniani yanayowakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau wa sekta binafsi kujadili masuala ya uchumi na maendeleo.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
View attachment 3599431
View attachment 3599479View attachment 3599480
Hilili hippopotumus natamani sana lifie huko huko. Shenzi sana. Natamani ataoke ISIS mmoja akalilipue na bomuDAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ziara hiyo itakuwa ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu Hayati Julius Kambarage Nyerere alipozuru taifa hilo mwaka 1969, takribani miaka 57 iliyopita.
Wakati wa ziara hiyo, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin kuhusu kuimarisha ushirikiano katika biashara, uwekezaji, elimu, sayansi na teknolojia, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Aidha, Rais Samia atashiriki na kuhutubia Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026), moja ya majukwaa makubwa duniani yanayowakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau wa sekta binafsi kujadili masuala ya uchumi na maendeleo.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
View attachment 3599431
View attachment 3599479View attachment 3599480
Wewe una mtindio wa ubongo. Yaani kutembelea nchi maskini kama russia ndo unasema Tanzania inakwenda kufungukanchi inakwenda kufunguka kwa kishido
chadema hawaamini macho yao ni kama wamepoteza fahamu kwa kweli
Usihadaike na maigizo.Imeandaliwa na Mwandishi Wetu