Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Mbona Trump katoka China hivi majuzi?Hapo ndio kaharibu kila kitu na uhusiano wetu na Ulaya na Marekani unakwenda kuharibika kabisa.
Mbona Trump katoka China hivi majuzi?Hapo ndio kaharibu kila kitu na uhusiano wetu na Ulaya na Marekani unakwenda kuharibika kabisa.
Biashara zao nyingi ni utapeli, wizi na ujasusi. Yanapenda Uranium yakishasikia nchi ina uranium na imekaa kidikteta dhidi ya wapinzani lazima yaendelee kuchochea hiyo migogoro ili yafaidike.Russia na China ni matapeli, Warusi hawapendi kuwekeza Afrika na siyo watoa pesa na kukuta Warusi wamewekeza Tanzania au East Africa ni ngumu sana.
Hana tabia ya kuzurula Bali hao beeru ndio walikuwa wanamtaka aende kwao na akawa anawachagua kama karanga.God damn zati demon-possessed bi+ch! Kwani Russia imeumbwa leo? Kabla hajayatimba, fazafaka alikuwa anazurura Ulaya na Marekani tu as though Russia didn’t exist. Alikuwa kiguu na njia—anajialika yeye mwenyewe!
Chawa wake kirini tu kwamba fazafaka ameshapoteza option ya kuzurura na bakuli lake Ulaya na Marekani. Otherwise, mwaka huu angekuwa ameshaenda huko countless times.
Lengo la ziara zao zinatofautiana na hicho ndo kinatofautisha nchi inayojitafuta na iliyojipataObama kwa mara ya kwanza alitembelea Tanzania kwa nchi za Afrika je tulikua tumejipata
Kuna uzi wa plane crash uliwekwa humu. HeeeChina anajitafuta? Hamna mkuu haya majamaa yameshajipata. Huoni ziara za viongozi wa magharibi kumfata Xi wayajenge? Sema mama awe tu makini humo njiani kuna drone za Ukraine zinaongozwa na wahuni waliochanganywa na vita zinagonga chochote muda wowote
Dahhhh😂😂😂 we jamaaKuna uzi wa plane crash uliwekwa humu. Heee
Trump hajasigina domestic rule of law?..na kwa nini uchague domestic rule of law badala ya international?.. sababu haito-fit kwa hao mabwana zako wavunja Sheria wakuu!?..don't be a whore you ffuckker!Hatuzungumzii international rule of law hapa. Tunazungumzia the most basic rule of law (domestic rule of law), which is the fundamental principle of democratic governance in a country. Kiongozi anayesigina constitutional rights (including the scared right to life) za raia wake ili yeye aendelee kutawala ni msaliti wa kiwango cha juu sana!
Yes Israel ana akili, ni zake. Mzungu hawezi kumkaribisha Israel bali kamkaribisha Mwarabu kuwekeza kwao na sio Israel.Pesa sio issue, issue ni akili. Ukitaka kujua akili ndio mpango mzima tazama Israel nini wanafanya duniani.
Nani amekwambia kwamba SSH anataka Putin amsaidie?. Mlisema ICC wanakuja Tanzania kwa ajili ya kufuatilia suala la mauaji ya October 29 wapo wapi?.Hata angealikwa wapi! Kwa mauaji yale,Putin hawezi kumsaidia.
Sijui, nisaidieKwa nini hao Waarabu hawaendi kutangaza Urusi?
Marekani na vibaraka wao CHADEMA wameachwa wamenuna, taharuki zao zinagonga mwamba kila kukicha.Amealikwa na Rais Putin pigo kubwa kwa Vibaraka wa Magharibi?
Uchumi mdogo,Sijui, nisaidie