Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

Naona kaamua kuwatumia ujumbe kina Cruz na Trump wapitishe na kusaini ule muswada kuhusu Tanzania haraka.
Ndiyo basi tena tunaenda kuwa Zimbabwe nyingine.

Siku za Mwisho za "kufa" Zimbabwe, Mugabe alikwenda sana Russia
Ya mwisho alikwenda 2015

Russia na China ni matapeli, Warusi hawapendi kuwekeza Afrika na siyo watoa pesa na kukuta Warusi wamewekeza Tanzania au East Africa ni ngumu sana.
 
Omba omba Hana likizo. Na ndio kitu anacho weza kufanya kwa moyo wake. Lakini ichi anayo tokea ni tajiri mno. Sema ndio ivyo tena. Taifa liko mateka.
Kazi ni kipimo cha utu
Huko Russia ataishia kwenda kuuziwa silaha zilizo expire, na kupewa sumu za kuwekea wapinzani, na kuongezewa mbinu za utekaji. Hakuna lolote la maana atapata toka Russia.
 
Omba omba Hana likizo. Na ndio kitu anacho weza kufanya kwa moyo wake. Lakini ichi anayo tokea ni tajiri mno. Sema ndio ivyo tena. Taifa liko mateka.
Kazi ni kipimo cha utu
Kuna mkataba mpya unakwenda kusainiwa kuhusiana na Liganga na Mchuchuma muda wowote kuanzia sasa.

Madini kule kusini yamegandamana, tulikuwa tunaihitaji mbinu ya kutenganisha ili yaweze kushughulikiwa yakiwa tofauti baada ya kutenganishwa.

Tangu uhuru ilishindikana ndio maana Mwalimu JKN aliwahi kusema madini yaachwe mpaka tutakapopata akili za kuweza kushughulika nayo. Akili imepatikana na tunakwenda kutengeneza pesa nyingi baada ya utenganishaji wa madini hayo kuanza kufanyika huko huko Mchuchuma.
 
Unauliza au unapigia Jibu mstari?
Kweli. Basi inatosha kabisa nyie CHADEMA mkawa na hadhi kwa sababu mko na wazungu. CCM haina hadhi kwa kuitwa na Warusi, wachina na Waarabu. Ila nikukumbushe tu ht wazungu sasa hv wanaramba viatu vya Waarabu. Ni juzi tu Fainali kubwa ya UCL imepigwa team moja inatangaza Fly Emirates na nyingine ni ya Mwarabu inatangaza Qatar Airways.
Klabu kubwa kama Man City ni ya Mwarabu. Real Madrid wanatangaza Fly Emirates.
 
DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ziara hiyo itakuwa ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu Hayati Julius Kambarage Nyerere alipozuru taifa hilo mwaka 1969, takribani miaka 57 iliyopita.

Wakati wa ziara hiyo, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin kuhusu kuimarisha ushirikiano katika biashara, uwekezaji, elimu, sayansi na teknolojia, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.

Aidha, Rais Samia atashiriki na kuhutubia Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026), moja ya majukwaa makubwa duniani yanayowakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau wa sekta binafsi kujadili masuala ya uchumi na maendeleo.

Imeandaliwa na Mwandishi Wetu

View attachment 3599431

Wageni waalikwa Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026): waalikwa wa Kimataifa ni :

international participants of the forum are:

  1. Minister of Industry and Mineral Resources of the Kingdom of Saudi Arabia Bandar bin Ibrahim Al—Khureif,
  2. Minister of Economy and Tourism of the United Arab Emirates Abdullah bin Tuk Al Marri,
  3. First Deputy Chairman of the Cabinet of Ministers of the Kyrgyz Republic Daniyar Amangeldiev,
  4. Minister of International Economic Relations of the Republic of Serbia Nenad Popovic,
  5. Minister of Mining and Mineral Resources of the Republic of Sierra Leone Julius Mattai,
  6. Coordinating Minister for Infrastructure and Regional Development of the Republic of Indonesia Agus Harimurti Yudhoyono.

The business program will also be attended by

  • Retno Marsudi, Special Envoy of the UN Secretary-General for Water Resources,
  • Johnstone Makubu, Commissioner of the Revenue Service of the Republic of South Africa,
  • Khalifa bin Jassim Al-Kuwari, President of the General Tax Service of Qatar,
  • Abdulaziz Mohammed Al-Mulla, Director General of the UAE Federal Tax Administration,
As well as representatives of international organizations and government authorities. and the business circles of the BRICS countries, the Middle East, Asia, Africa and Latin America.
 
Naona sasa mdogo mdogo tumeanza mipango ya kujivuruga.

Naamini Kama tabia za Urusi ya leo zingekuwa ndio hizo hizo za wakati wa Nyerere asingethubutu kwenda.Urusi ya leo

1. Sio nchi ya Kijamaa ni nchi ya kifisadi kama nchi nyingi za Africa

2. Ni nchi inayopenda Vita na Ukoloni mpya kwa kifupi ni imperialist state

3. Haiheshimu uhai wa watu

4.Sio nchi inayoweza kusaidia washirika wake.
 
St. Peter's burg, Rusdia

Matayarisho ya mkutano wa DAVOS YA URUSI YANAENDELEA

Russian Davos: Preparations are underway in St. Petersburg ahead of Russia’s flagship economic forum, often referred to as the “Russian Davos.”

View: https://m.youtube.com/watch?v=LjwcvtQs9pQ
The annual event, hosted by President Vladimir Putin, will mark its fifth edition since the start of the war in Ukraine and is expected to bring together government officials, business leaders and international delegates. The forum remains a key platform for Russia to showcase its economic agenda amid ongoing geopolitical tensions.
 
Back
Top Bottom