Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

Hizi amount maana yake ni nini? mil.100,000,mil 80,000
 
β€œThe devil is always in the details” ama hapo kwenye neno β€œmingine” ndo pamekuchanganya? Kama hujui hapo ndo kwenyewe sasa.

β€œMingine ni hati ya makubaliano kati ya Taasisi ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na Taasisi ya Sayansi na Miamba na Madini ya Korea, ushirikiano utakaojikita katika utafiti, uchoraji ramani, rasilimali na shughuli za maabara.

Mbali na hilo, Waziri Makamba amesema kutakuwa na hati ya makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Tanzania na Wizara ya Viwanda na Biashara ya Korea kuhusu ushirikiano wa kuchambua na kufanya utafiti wa madini mkakati.

Halikadhalika kutasainiwa mkataba wa makubaliano kati ya Shirika la Taifa la Madini (Stamico) na Shirika la Ukarabati wa Migodina Rasilimali za Madini la Korea.”
 
Wewe punguani,Kwa hiyo Utafiti wa Madini na wizi na huo udevel wako vinahusianaje? Mburula mna shida sana
 
Mbali na hilo, Waziri Makamba amesema kutakuwa na hati ya makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Tanzania na Wizara ya Viwanda na Biashara ya Korea kuhusu ushirikiano wa kuchambua na kufanya utafiti wa madini mkakati.

Note: Hapo ukiona kuna makubaliano kati ya wizara ya madini kwa upande wetu vs wizara ya viwanda na biashara ya Korea unafikiri kitu gani?

Mmoja ana rasilimali mwingine viwanda.

We unaonaje hapo?
 
Na wasi wasi mama anacheza kikoba sio kwa mikopo hii.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni lini umewahi ona Ziara za Kiserikali zinakosa makubaliano ya kudumisha ushirikiano? Wewe unadhani ushirikiano ni WA kudumisha nini labda?
 
Aende na mikoani basi kuona wananchi asitegemee machawa wa mitandaoni .2025 imefika
 
Au sio , semaji
 
China na Urusi watoe misaada? Hivi umewahi kufanya kazi na watching au warusi, wachina njaa tupu mara mia ata mzungu ana lipa vizur ukifanya kazi kwake utapiga atua. Lakini wachina masikini tu wananchi wao na wezi sana wa kuanzia votes vidogo vidogo, Mchina anaweza kukwambia muibe mifuko mitano ya saruji ukauze mgawane pesa. Tofauti na mzungu.
 
Hivi kwanini kiongozi wa China Urusi au Marekani na hata Brazil hawana ziara nyingi hivi kama hawa wa huku kwetu?
Au ndio huwa wanakwenda kuomba?
Wa huku kwetu wanakwenda kutembeza bakuli. Bakuli likijaa panya wanalitoboa na kulila kabisa. CCM hoyeee πŸ€£πŸ˜‚
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…