instagramer
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 215
- 492
Aamueje Sasa, afanye yake au?Mweyezi Mungu tuamulie huu ugomvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aamueje Sasa, afanye yake au?Mweyezi Mungu tuamulie huu ugomvi
Ndiyo maana yake. Kwa vile siku hizi sanduku la kura haliamui maoni na matakwa ya wapiga kura tunamuachia Mungu apige kazi.Aamueje Sasa, afanye yake au?
Mimi nakupuuza na kupuuzia yote uyafanyayo kwa kuwa nimetambua aina ya akili yako.Mimi nakupuuza kwa sababu huna akili timamu.
Nashangaa unanipuuza lakini huishi kudakia post zangu huo ndiyo utaahira wenyewe. Umekariri kuishi kwa kusifia watu ambao hawana muda na wewe.Mimi nakupuuza na kupuuzia yote uyafanyayo kwa kuwa nimetambua aina ya akili yako.
Kila lenye heri MamaNdugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais wa nchi hiyo.
Ambapo ni katika ziara hiyo nzito Tanzania inatarajia kupata mkopo wa masharti nafuu wa kiasi cha Dola za kimarekani Billion 2.5 kwa ajili ya kuwekeza katika miradi ya maendeleo. Narudia kusisitiza hapa mkopo huo ni wa mashariti NAFUU na ambao utawekezwa katika miradi ya maendeleo.ikumbukwe kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini na mashariti ya mkopo yapoje .ndio maana nimesisitiza hapa kuwa mkopo huo ni wa masharti nafuu kabisa.
Lakini vilevile Rais wetu mpendwa atashiriki mkutano utakaowakutanisha viongozi wa nchi na serikali kati ya Korea na wale kutoka Afrika kuanzia Tarehe 4 June hadi Tarehe 6 June. Ambapo katika mkutano huo Rais wetu mpendwa atapata fursa ya kuhutubia mkutano huo na kushiriki mjadala mzito juu ya kuimarisha masuala ya usalama wa chakula na madini.
Mambo mengi na makubaliano mbalimbali yatashuhudiwa yakifanyika na kusainiwa katika ziara hiyo ya kihistoria kwa Rais wetu kipenzi kuanzia kilimo,madini ya kimkakati,masuala ya sanaa na utamaduni na mengine mengi sana. Ni ziara ambayo tunakwenda kupata na kufaidika na mambo mengi sana.
Lakini pia ziara hiyo itashuhudiwa na Dunia nzima Rais wetu mpendwa akipewa na kutunukiwa Udaktari wa Heshima,kwa kutambua mchango Chanya wa uongozi wake ulioleta mabadiliko chanya katika maeneo mbalimbali.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hiyo unataka uachwe uandike ujinga wako bila kujibiwa.Nashangaa unanipuuza lakini huishi kudakia post zangu huo ndiyo utaahira wenyewe. Umekariri kuishi kwa kusifia watu ambao hawana muda na wewe.
Watu ambao walikimbia umande wanapenda sana degree za bure, haha
Wivu na chuki binafsi ndio vinakutesa hapo ulipo.Watu ambao walikimbia umande wanapenda sana degree za bure, haha
Nimuonee chuki mtu hajasoma..? HahaWivu na chuki binafsi ndio vinakutesa hapo ulipo.
Mjinga ni wewe usiyejitambua,huwezi kufanya tathmini ya mabandiko yako ikiashiria upungufu wa akili. Unarudia upuuzi huo huo 24/7 bila manufaa yoyote zaidi ya kujidhalilisha tu. Kwa taarifa yako wewe ni mmoja ya watu wanaodharauliwa saaana humu jukwaani kwa aina ya uandishi wako unaoongozwa na hulka ya uchawa. Huna akili kabisa uko kama robot tu.Kwa hiyo unataka uachwe uandike ujinga wako bila kujibiwa.
Acha utoto wako ndugu yangu. Uwe na adabu na heshima.Mhudumu wa ndege anatimiza ndoto zake.
Bila Shaka na huko anaenda kupatiwa "li degree la heshima! PHD!! So pathetic!Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais wa nchi hiyo.
Ambapo ni katika ziara hiyo nzito Tanzania inatarajia kupata mkopo wa masharti nafuu wa kiasi cha Dola za kimarekani Billion 2.5 kwa ajili ya kuwekeza katika miradi ya maendeleo. Narudia kusisitiza hapa mkopo huo ni wa mashariti NAFUU na ambao utawekezwa katika miradi ya maendeleo.ikumbukwe kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini na mashariti ya mkopo yapoje .ndio maana nimesisitiza hapa kuwa mkopo huo ni wa masharti nafuu kabisa.
Lakini vilevile Rais wetu mpendwa atashiriki mkutano utakaowakutanisha viongozi wa nchi na serikali kati ya Korea na wale kutoka Afrika kuanzia Tarehe 4 June hadi Tarehe 6 June. Ambapo katika mkutano huo Rais wetu mpendwa atapata fursa ya kuhutubia mkutano huo na kushiriki mjadala mzito juu ya kuimarisha masuala ya usalama wa chakula na madini.
Mambo mengi na makubaliano mbalimbali yatashuhudiwa yakifanyika na kusainiwa katika ziara hiyo ya kihistoria kwa Rais wetu kipenzi kuanzia kilimo,madini ya kimkakati,masuala ya sanaa na utamaduni na mengine mengi sana. Ni ziara ambayo tunakwenda kupata na kufaidika na mambo mengi sana.
Lakini pia ziara hiyo itashuhudiwa na Dunia nzima Rais wetu mpendwa akipewa na kutunukiwa Udaktari wa Heshima,kwa kutambua mchango Chanya wa uongozi wake ulioleta mabadiliko chanya katika maeneo mbalimbali.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vocha na maji kipi Cha muhimu kwako? 👇👇
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1795732707869340046?t=JImFukFY0kj5C0ZIv3Tp1Q&s=19
Wivu utakuua.Bila Shaka na huko anaenda kupatiwa "li degree la heshima! PHD!! So pathetic!
Wewe ndiye unadharauliwa na kuonekana huna akili Timamu kwa tabia yako ya kutukanana matusi utafikiri mgonjwa.Mjinga ni wewe usiyejitambua,huwezi kufanya tathmini ya mabandiko yako ikiashiria upungufu wa akili. Unarudia upuuzi huo huo 24/7 bila manufaa yoyote zaidi ya kujidhalilisha tu. Kwa taarifa yako wewe ni mmoja ya watu wanaodharauliwa saaana humu jukwaani kwa aina ya uandishi wako unaoongozwa na hulka ya uchawa. Huna akili kabisa uko kama robot tu.
Yawezekana Kuna faida kwa nchi. Na tutaijua faida hiyo Wataalamu wa fedha wakituletea Cost-Benefit Analysis ya ziara hizi. Asante.Hivi kwanini kiongozi wa China Urusi au Marekani na hata Brazil hawana ziara nyingi hivi kama hawa wa huku kwetu?
Au ndio huwa wanakwenda kuomba?