Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ziara ya kikaziKwa maraisi wengi Duniani ziara ya 2-3 ni kubwa sana, sasa sisi Raisi anakaribia wiki nje ya nchi na hakuna at least sijasikia updates zozote kuhusu anachofanya, ni kwa nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziara ya kikaziKwa maraisi wengi Duniani ziara ya 2-3 ni kubwa sana, sasa sisi Raisi anakaribia wiki nje ya nchi na hakuna at least sijasikia updates zozote kuhusu anachofanya, ni kwa nini ?
Tuendelee kusubiri wadau waja.Updates ?
mwacheni Rais afanye kazi zake anajua anachofanya huko nasi tuna imani ni kwa maslahi ya watanzaniaRais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani...
Kwahiyo mmefikia hatu ya kupangiana wapi mtu akaishi na kumiliki ardhi..acha upompoma wewe..huo ndio ubaguzi wenyewe..kama unasema yote ni nchi moja kwanini sheria iwe na ruhusa upande mmoja upande mmoja isiwe ruhusa.Tanganyika ni Tanzania. Ondokana na roho za kibaguzi za sisi na wao, mwisho wake huwa mbaya...
Tanganyika kama unaitaka wasiliana na wabunge wako wakusaidie, huwezi kuipata humu jukwaani. Humu sana sana ni harakati tu na sio zaidi ya hapo.Kwahiyo mmefikia hatu ya kupangiana wapi mtu akaishi na kumiliki ardhi..acha upompoma wewe..huo ndio ubaguzi wenyewe..kama unasema yote ni nchi moja kwanini sheria iwe na ruhusa upande mmoja upande mmoja isiwe ruhusa.
We need our Tanganyika back..kama wao walivyo na zenji yao.
#MaendeleoHayanaChama
Sidhani. Hangaya alisafiri Hadi Nairobi kumtakia Hali tundu lissuLisu ataandamana kupinga Hangaya asikanyage Ubelgiji
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Zuhura mnayemsifia mbona majina yake mawili anayaunganisha kama jina moja?Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani.
Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za Miradi ya Maendeleo, ushirikiano katika Masuala ya Uchumi wa Buluu, usalama wa Bahari, Sekta ya Usafiri na Maendeleo endelevu.
Taarifa zaidi: