Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

Kwa maraisi wengi Duniani ziara ya 2-3 ni kubwa sana, sasa sisi Raisi anakaribia wiki nje ya nchi na hakuna at least sijasikia updates zozote kuhusu anachofanya, ni kwa nini ?
Ziara ya kikazi
 
Your browser is not able to display this video.
 
kwa mfano leo, ni valintine day, haujui kwamba mama anafanya nn?
 
Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani...
mwacheni Rais afanye kazi zake anajua anachofanya huko nasi tuna imani ni kwa maslahi ya watanzania
 
Tanganyika ni Tanzania. Ondokana na roho za kibaguzi za sisi na wao, mwisho wake huwa mbaya...
Kwahiyo mmefikia hatu ya kupangiana wapi mtu akaishi na kumiliki ardhi..acha upompoma wewe..huo ndio ubaguzi wenyewe..kama unasema yote ni nchi moja kwanini sheria iwe na ruhusa upande mmoja upande mmoja isiwe ruhusa.

We need our Tanganyika back..kama wao walivyo na zenji yao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tanganyika kama unaitaka wasiliana na wabunge wako wakusaidie, huwezi kuipata humu jukwaani. Humu sana sana ni harakati tu na sio zaidi ya hapo.
 
Huyo Zuhura mnayemsifia mbona majina yake mawili anayaunganisha kama jina moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…