mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
watanzania hawajawahi kuumia,wala hawajamtuma akawasemee.Watanzania wanaumia nini, wakati Jiwe ndo alianzisha ujinga wote huu..anachoma vifaranga vina kosa gani sasa? Chizi sana lile ndo lilisababisha shida zote hizo mahusiano kuvurugika
kajipeleka mwenyewe huko.
halafu hasira zako kwa jiwe hazina madhara,zaidi unazidi kuumia tu kila siku.