Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

Uongo.
Magendo na rushwa ndizo kichocheo na sio ushindanishi wa bei.
Mtu anakwepa kulipa kodi stahiki hapa na huko, halafu unakuja hapa kusema uongo?
Sasa magendo anafanya nani? wa Tanzania au wakenya, maana nashindwa kuelewa wanaotorosha hayo madini ni wa Tanzania kuingiza Kenya sasa jiulize kwanini wanafanya hivyo? sababau soko letu lilikuwa halina uhakika na hakukuwa na sehemu za kuuza madini kwa bei ya ushindani. kitu kizuri alichofanya JPM aliona tatizo hili ndio maana akafungua sehemu kila mkoa za minada ya madini ni hatua nzuri na naunga mkono ila bado kazi ya ziada inatakiwa kufanya kuleta ufanisi. Mtu akijuwa hapa nauza napokea cash atakuja lakini akiona malipo baada ya miezi atakimbilia Nairobi maana bei ipo na anapokea cash. ndio sababu ya JPM kuchukuwa hatua zile kuzuia magendo kuweka utaratibu mzuri wa soko hatua zaidi zinatakiwa kuboresha hili ndio maana umemskia Mama kasema bado madini yanatoroshwa chinichini kwa chini ujiulize why? anapeleka sehemu anapata bei kubwa na uhakika ndio sababu.
 
Bahati mbaya watu hawaelewi investment ya wa Kenya hapa kwetu wanaongoza Africa. Sisi sio maadui ila tunashindana kwa maendeleo ni jambo zuri na Mama anaenda kuweka mambo sawa cross border business lazima irudi kama kawaida tulikuwa na ndege za Kenya 6 times a day leo sijui mara 3 kwa wiki na uhakika tutaanza kuona biashara tena kwa wingi na sote tunahitajiana sana tu.
usichokijua ni kwamba kenya wanaishi na sisi kibiashara,ila sisi tunaishi nao kishkaji.

alipokuja jpm alikiwa akiwakumbusha kwamba,kila mtu akiamua kuweka maslahi mbele,kenya itaumia zaidi maana wako miguu miwili huku.

mama anajaribu kuvisha mbwa pembe awe ng'ombe.
 
Wakenya wako Amani wanalima Iliki, pilipili manga na mdalasini tena wananunua mashamba kwa bidii

Ukienda Njombe wanamilki mashamba ya parachichi na mashamba ya miti.

Nyerere alitupindia ardhi lakini hatujui matumizi yake, hata tukilima hatujui kutafuta masoko ya bidhaa zetu.

Shida ya ardhi kwao ndiyo inawafanya watumie nafasi tusio iona.
Ila Mama afanye yote,lakini asikubali kuuza Aridhi yetu kwa Wageni! Wageni wakodishwe tu hiyo Aridhi tena siyo kwa muda mrefu sana,wawe wanapewa kwa muda mfupimfupi baada ya hapo Wana sign tena Mkataba mpya!!
 
usichokijua ni kwamba kenya wanaishi na sisi kibiashara,ila sisi tunaishi nao kishkaji.

alipokuja jpm alikiwa akiwakumbusha kwamba,kila mtu akiamua kuweka maslahi mbele,kenya itaumia zaidi maana wako miguu miwili huku.

mama anajaribu kuvisha mbwa pembe awe ng'ombe.
Vipi unaniambia unaishi kiushikaji? nchi isiyoangalia maslahi yake basi uongozi hawafai ushikaji wa nini. Jana nimesikia Serikali ya Tanzania ikisema Kenya wameinvest zaidi ya billion moja na kitu $ Tanzania na ku rank among top na kutengeneza ajira alfu 56 haya maneno ya serikali sasa ushikaji gani unaongelea hapa. Miaka ya 70 mpaka 80 wakati mipaka imefungwa hakuna biashara ndio wakati Kenya ikatuacha kwa mbali na hakukuwa na biashara yoyote baina yetu.
 
tukizungumzia ushkaji tunamaanisha ni kuishi bila win-win situation.

leo hii vodacom walete mkurugenzi kwa tz kutoka kenya,kwa vigezo kwamba tz hamna mwenye sifa,wauza maandazi wanakenua tu kwamba ni kweli tz hamna wenye vigezo,wakati mtz kwenda kufanya kazi hiyo kwao haiwezekani,huo ni ushkaji.

alipokuja jpm na kuanza na yule mwana mama mliibuka na makelele kwamba jpm hatumii akili,ni kweli badala yake aliletwa mhindi.nia ni kutuma ujumbe kwamba nyangau waache upuuzi.
 
Mama Samia kishasema wazi kabisa huwezi kumpangia mwekezaji na wa kumweka hilo kishalitolea maelekezo. Mtu kaweka pesa zake halafu umpangie muweke nani hapana kuna position ni mwekezaji anaweka ziko nafasi zetu hata huko customer service tu hatuwezi mtu anakujibu utasema unamuomba yeye. Voda sio kampuni ya wakenya sasa kwanini hawakutaka mtanzania sio kina Rostam wana share pale. Kampuni zenye wa Tanzania si TTCL na tunawaona perfomance yao. Nenda kampuni zote na nataja mbili tu Bakheresa au hata MO halafu ukaone kwenye nafasi za maamuzi hasa ya pesa kama utakuta mtanzania. Hujakuta wahindi utakuta wa kenya huo ndio ukweli. Mama kesho anahutubia wafanya biashara Nairobi na huo utakuwa ujumbe wake wewe mtanzania unaweza omba nafasi na ndio maana tulikataa kuingia soko huru tukasema hatuko tayari kushindana na wa Kenya na hiyo ndio sababu tuliyotoa inamaanisha bado hatujiamini.
 
mtu hawezi kuja kukwambia muwe mnabadilishana wake zenu siku moja moja,ukakubali sababu unajiamini 6x6.
wao walituma offa yao,tuna haki ya kujiridhisha nayo kwanza.

unalalamikia kutojiamini,undhani huo ugonjwa unatibiwa na makelele humu,au kuwapa watu nafasi watu wafanye hizo kazi!!!huwaamini watanzajia wenzako,nani atajisumbua kuwaamini??

yeye kama kaamua kumwona mwendazake ni kilaza shauri yeke,ila nchi itamnyea asielewe anashika wapi.tumemwonya approach yake kwa walipa kodi,kwa wakenya nk.ana haki kikatiba kusikiliza au kupuuza.
 
Fungua kampuni yako mweke mtanzania kama hujakuta na mtaji kamaliza kajengea hawala nyumba sinza. jaribu utayaona. Mama kisha sema ndio imetoka hiyo utampangiaje mtu mke.
 
mnaajiri watu mnwalipa mishahara mbuzi kwanini msipigwe!!!
 
Tuwauzie mazao wakenya tunahitaji soko kubwa wao hawalimi kama sisi
 
mnaajiri watu mnwalipa mishahara mbuzi kwanini msipigwe!!!
Kwani ulilazimishwa kutia sign si umekubali mwenyewe sababu hujitambui thamani yako wewe unamtaka mtu yuko katika position ya juu huko kwao labda anachukuwa Mil 20 sasa utamleta kwa million 5 lazima umpe zaidi ili aache kazi yake kule. wewe unatembea na CV zako unategemea utapewa ngapi? sasa tafuta pakupiga hizi kampuni zinalipa kutokana na soko la ndani wa Kenya kwenye media tu kuna watangazaji wanachukuwa pesa balaa sasa njoo kwetu uwaone wanaitwa katia press wanapewa vibahasha.
 
tunapotaka kuyabadili haya muwe mnaacha kelele na kutuliza makato kwa kutulia.
 
Ziara hizo ni muhimu kwa biashara baina yetu, utake usitaje tunawahitaji majirani zetu na wao pia wanatuhitaji. Kununa sio jawabu.
Tatizo lao wao spana malaya hawajawai kuwa na misimamo na lengo lao tanzania Iwe soko kuuu la bidhaa zao,wanalengo la kurudisha soko la madini kwao wakati hawana madini hao ni wakukaa nao chonjo wakitaka iwe 50/50.
 
we mbwa koko bado uko hai una faida gani hata kwenye ukoo wenu,masikini wa mawazo akili mpaka kipato!!!

unadhani tunapaswa kushirikiana na jirani kwa umbali tuliopo naye au utayari wa jirani husika??

tena utulize makato yako chini.
mkorinto unapotumia matusi badala ya kuja na hoja yaonekana huna unachokijua. Siwezi kukurudishia tusi kwa vile kuna usemi unasema "Don't argue with a fool, people might not distinguish"
 
tukizungumzia ushkaji tunamaanisha ni kuishi bila win-win situation.

leo hii vodacom walete mkurugenzi kwa tz kutoka kenya,kwa vigezo kwamba tz hamna mwenye sifa,wauza maandazi wanakenua tu kwamba ni kweli tz hamna wenye vigezo,wakati mtz kwenda kufanya kazi hiyo kwao haiwezekani,huo ni ushkaji.

alipokuja jpm na kuanza na yule mwana mama mliibuka na makelele kwamba jpm hatumii akili,ni kweli badala yake aliletwa mhindi.nia ni kutuma ujumbe kwamba nyangau waache upuuzi.
Baada ya kukataliwa Mkenya kuwa CEO wa Vodacom, je ukifuatilia ni nani alijaza nafasi ile na yupo mpaka leo?

Ni Mmisri na siyo Mtanzania, na hapo ndipo inaonyesha kuwa Magufuli alikuwa na personal vendetta against Kenya
 
kwahiyo vodacom nao walikuwa na personal vendetta na watu kutoka tanzania???

yess ni hivyo,kwanini magufuli aonekane anakosea sana wakati kampuni nzima nayenyewe ina matatizo kama ya kwake??
 
Samia Suluhu Hassan is so naive, hopefully wahusika watamshauri vizuri kabla ya tar 5 asije enda ropoka chochote ili tu kuwaplease Wakenya while Watanzania wanaumia. Akisifiwa na yoyote anaona anampenda kumbe anamchota.
Watanzania wanaumia nini, wakati Jiwe ndo alianzisha ujinga wote huu..anachoma vifaranga vina kosa gani sasa? Chizi sana lile ndo lilisababisha shida zote hizo mahusiano kuvurugika
 
mkorinto unapotumia matusi badala ya kuja na hoja yaonekana huna unachokijua. Siwezi kukurudishia tusi kwa vile kuna usemi unasema "Don't argue with a fool, people might not distinguish"
kasome ulichomwandikia marehemu rais wetu.

ukiishatangaza vita usipangie watu silaha,pigana uwezavyo.
 
Back
Top Bottom