Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

Watanzania wanaumia nini, wakati Jiwe ndo alianzisha ujinga wote huu..anachoma vifaranga vina kosa gani sasa? Chizi sana lile ndo lilisababisha shida zote hizo mahusiano kuvurugika
watanzania hawajawahi kuumia,wala hawajamtuma akawasemee.

kajipeleka mwenyewe huko.
halafu hasira zako kwa jiwe hazina madhara,zaidi unazidi kuumia tu kila siku.
 
Mama anakaribishwa kama Obama alivyokuja,Nairobi mambo ni moto.
yaani wakenya wanasema eeeh!
Tuwe na subira.
Citizen iko mubashara.
 
watanzania hawajawahi kuumia,wala hawajamtuma akawasemee.

kajipeleka mwenyewe huko.
halafu hasira zako kwa jiwe hazina madhara,zaidi unazidi kuumia tu kila siku.
Jiwe nimeishamalizana nae..analiwa na mafunza tu huko chini
 
Uyabadili kama nani? Mama kishasema wewe omboleza tu arobaini
mama kashasema kama nani!!!!
vipi uhuru wa kujieleza pia[emoji23][emoji23][emoji23],mama si alisema??

kajieleze useme mama alisema.utajua hujui.
 
Watanzania wanaumia nini, wakati Jiwe ndo alianzisha ujinga wote huu..anachoma vifaranga vina kosa gani sasa? Chizi sana lile ndo lilisababisha shida zote hizo mahusiano kuvurugika
Nchi gani wanyama hai kusafirishwa bila vibali? Basi beba hata bata wako jaribu kuingia hata kwa Madiba tu uone, hizi sheria zinalinda kusambaa kwa magonjwa ya wanyama au yanayotokana na wanyama, jiwe alifuata sheria tu.
 
mgonjwa wa akili huyo atakuchosha.
 
mama kashasema kama nani!!!!
vipi uhuru wa kujieleza pia[emoji23][emoji23][emoji23],mama si alisema??

kajieleze useme mama alisema.utajua hujui.
Wewe toa maoni yako uko huru lakini Mama kaongea kama Rais wa nchi hii kauli yake ndiyo ya mwisho ila wewe unaweza kuongea unachotaka. leo anapigilia msumari wa mwisho huko Nairobi.
 
Nchi gani wanyama hai kusafirishwa bila vibali? Basi beba hata bata wako jaribu kuingia hata kwa Madiba tu uone, hizi sheria zinalinda kusambaa kwa magonjwa ya wanyama au yanayotokana na wanyama, jiwe alifuata sheria tu.
Niambie Uliwahi ona wapi hao viumbe hai wanachomwa?
 
kama US na China lakini ugomvi wao utakuta wa kibiashara mwisho wa siku.
Naona hujui kitu kama unafikiri hivyo kama ulivyoandika hapo.
Ni viwanda vipi Zanzibar vinavyotengeneza bidhaa hizo unazoandika hapa? Sasa inaonekana dhahiri hujui unachoeleza hapa.
Wewe kama ni raia wa hapa, basi ni mmoja wa wahujumu wakubwa na njia zako za uhujumu zilibanwa, sasa unadhani mama atalegeza urudi tena kuwa kibaraka wa hao wanaovuruga juhudi zetu.
Bidhaa ziletwe Zanzibar kutoka nje, halafu unataka ziingizwe Tanzania Bara bila kodi? Nilishakuuliza kama kweli unayo akili timamu.
unategemea wa Kenya wasihujumu kulinda maslahi yao? sisi tulihujumu Zenji kulinda Kariakoo waulize watu miaka ya 90 shopping ilikuwa wap
Sina haja tena ya kupoteza muda wangu na mtu ambaye kumbe kichwani hana kitu.
 
Sina muda wa kupoteza kujibishana na wewe tena. Unaandika upuuzi mtupu.
 
Sikuachi kwa hili.
Kenya ilituacha mbali enzi za Moi? Ndiyo, hilo kundi la wala rushwa waliwaacha mbali wakenya wenzao. Kenya haikutuacha sisi mbali.
 
Mimi mhujumu uchumi mkubwa sana wala sio shida hilo. Mkiambiwa Zanzibar nchi hapana mnakataa ikija kwenye kodi Zanzibar inakuwa nchi. Zanzibar mmeiuwa sababu ya wivu badala ya kushindana kuleta sheria za ajabu kuwafanya maskini. Mama kishongea huko ni wazi kila kitu kitakuwa open nyinyi wenye roho mbaya ya kutaka kila mtu awe maskini zama zenu zimeisha. wivu mzuri na wewe kuwa tajiri wewe kila mtu mwenye mafanikio mhujumu uchumi unataka tuwe wote maskini. Mama kishafungua njia nyeupe au hujamsikiliza.
 
Sikuachi kwa hili.
Kenya ilituacha mbali enzi za Moi? Ndiyo, hilo kundi la wala rushwa waliwaacha mbali wakenya wenzao. Kenya haikutuacha sisi mbali.
Nadhani hujakula sukari guru wewe na pipi nyeupe.
 
Sasa ndio umepotea kabisaaaaa!

Sio kukujibu tu, hata kusoma maandishi yako haina maana tena!
 
kasome ulichomwandikia marehemu rais wetu.

ukiishatangaza vita usipangie watu silaha,pigana uwezavyo.
Rais wenu nani tena? Rais ni SSH, huyo mwingine ni chakula ya minyoo. Forget about his existence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…