Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

Hakuna kujifungia Dunia kijiji....
Nadhani akipata na chanjo ya Covid19 na safari ya USA ataifanya. Lazima akaonane na Nchi rafiki zetu wa Dunia ili kuongeza kibubu cha Bajeti kupitia wahisani.
 
Ungekuwa unakaa Arusha, Kilimanjaro au Tanga ndio ungejua umuhimu wa biashara kati ya Kenya na Tanzania.

Wewe upo Namtumbo huko umevimbiwa supu ya utumbo wa nguruwe unaweza kuandika chochote unachotaka.
Nimewaza hivyo pia hajui maisha ya watanzania wangapi yanachakaa kwa hizi nchi kununiana.magu alikuwa mshenzi sana
 
Kuishi vyema na jirani haimaanishi tukubaliane nao katika kila jambo wanalotaka tulifanye.

Tuwe na misimamo yetu na tulinde vyetu kwa manufaa yetu na vizazi vyetu.

National Interest first.
 
Ungekuwa unakaa Arusha, Kilimanjaro au Tanga ndio ungejua umuhimu wa biashara kati ya Kenya na Tanzania.

Wewe upo Namtumbo huko umevimbiwa supu ya utumbo wa nguruwe unaweza kuandika chochote unachotaka.
Waeleze hao
 
Unafaidika nini na roho mbaya?
Wakulima wetu wanaitegemea Kenya
Roho mbaya gani?

Kubabaishwa na manyang'au haikubaliki.

Tunataka biashara lakini sio biashara uchwara za kubabaishana.
 
Wakenya wako Amani wanalima Iliki, pilipili manga na mdalasini tena wananunua mashamba kwa bidii

Ukienda Njombe wanamilki mashamba ya parachichi na mashamba ya miti.

Nyerere alitupindia ardhi lakini hatujui matumizi yake, hata tukilima hatujui kutafuta masoko ya bidhaa zetu.

Shida ya ardhi kwao ndiyo inawafanya watumie nafasi tusio iona.
 
Sawa kabisa. Asisahau kurejea nyumbani na Astrazenica.
 
Samia Rais dhaifu sana,tangu awe rais hajawahi kufanya ziara hata mkoa mmoja kujua shida za wananchi,acha mkoa hata wizara moja kujua kero leo eti anakwenda Kenya kwa siku mbili,haulize wakenya walivyokuwa wananzuka Kikwete,mpaka wakaitenga Tanzania wakaanzisha umoja wao kati ya Kagame/Kinyata/Museven,aliyekuja kuwanyoosha ni Magufuri, Sasahivi anarudi kulekule tulikotoka,Wakenya wanataka Madini yetu baada ya kuona hawamu ya Magufuri ilikuwa imeziba mianya yote ya wizi.Ngoja tuone mwisho wa mchezo huu utakuwaje,yetu macho
 
Sio mbaya akichoma kabisa na chanjo! Hayo mengine watajua wenyewe sisi tunataka mambo yaende..!
 
Nani kakwambia wamemualika?
 
Kweli aseee mama acheki afya....anakohoa kohoa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…