Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

SSH is so naive, hopefully wahusika watamshauri vizuri kabla ya tar 5 asije enda ropoka chochote ili tu kuwa please Wakenya while watz wanaumia. Akisifiwa na yoyote anaona anampenda kumbe anamchota.
Mama huwa haropoki na kukurupuka. Yuko makini na taratibu sio kama mwendazake mpenda sifa. Rejea maombi ya Chato kuwa Mkoa na mishahara ya watumishi.

Madame President namuamini
 
Unajua bana jirani nae sio wa kuishi nae soft kiivo hasa ukizingatia kuwa Hakupi kula halafu Kenya anatuhitaji zaidi ya tunavyomhitaji back to the topic
Concern ya kenya sasa ivi ni Vibari vya kazi na Soko huria within East africa
Kenya wana shortage of land na ni powerful families ndio zimehodhi maeneo makubwa sana kiasi kwamba wengine hawana ardhi ivo wanasambaa niliwahi kukutana na mkenya songea akiwa na shamba kubwa sana akilima mahindi baada ya kumdadisi alidai anafatilia pia uraia awe raia wa Tz lakini kinyemela and nili report kwa authorities mana ulinzi wa taifa letu ni wote sote, Kuna mambo JPM alikuwa sahihi sana na kwa kweli tunamuombea mama asimamie umo umo au aboreshe mfano kitendo cha Telecom Giant kama Vodacom mwaka juzi kutaka kumleta mwana dada Syvilia mulinge kuja kuwa MD huku akitokea safaricom hakikua na afya kwa Taifa mana kenya ni jirani na siku zote adui namba moja ni jirani yako ivo Mawasiliano yote ya voda kuwa chini ya mkenya haikuwa na afya na JPM kweli alimpiga tofali dada yule kwa kumnyima Work permit alikuwa sahihi sana Hayati, Frankly kwenye swala la biashara bado tusifungue mipaka kivile kwa sababu kenya wako far kidogo kuanzia branding mpaka packaging tuanze kupeana elimu kwanza
Kenyata na wakenya walijua tz sio ya kuchezea mana tukimwaga ugali wao watamwaga mboga yani chuma chuma
Soko huria hapo lipo wapi sasa? Kampuni ya voda ni mali ya Tanzania hadi ipangiwe nani awe kiongozi wao mkuu?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa unakaa Arusha, Kilimanjaro au Tanga ndio ungejua umuhimu wa biashara kati ya Kenya na Tanzania.

Wewe upo Namtumbo huko umevimbiwa supu ya utumbo wa nguruwe unaweza kuandika chochote unachotaka.
Kabisa hawa jamaa wanaridhishana kwamba sisi kutokuwa nauhusiano mzuri na Kenya ni ujanja wakati kuna watu huu ujirani unatupa unafuu wa maisha kupitia business

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
SSH is so naive, hopefully wahusika watamshauri vizuri kabla ya tar 5 asije enda ropoka chochote ili tu kuwa please Wakenya while watz wanaumia. Akisifiwa na yoyote anaona anampenda kumbe anamchota.
Women's psychology.... Uhuru anajua namna ya kucheza nao
 
Yaani Rais kuwa na Ziara ama State Visit au Official Visit katika nchi nyingine Kwako Wewe ni Jambo la Kukushtua na hata Kukushangaza?
Bado akili zimeganda kama ilivyo kawaida yako?

Ni wapi niliposhtuka au kushangaa?

Hata hivyo, juhudi za 'moderator' katika kurekebisha kichwa cha habari ya mada niliyoweka, pamoja na kutambua lengo, kurekebisha huko kumepoteza maudhui ya mada iliyowekwa.
 
Kabisa hawa jamaa wanaridhishana kwamba sisi kutokuwa nauhusiano mzuri na Kenya ni ujanja wakati kuna watu huu ujirani unatupa unafuu wa maisha kupitia business

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
Business ipo Kenya peke yake?

Mbona hujaenda Uganda au DRC?

Wewe unafanya 'business' au una mambo mengine na hao unaoshirikiana nao huko?
 
Kuishi vyema na jirani haimaanishi tukubaliane nao katika kila jambo wanalotaka tulifanye.

Tuwe na misimamo yetu na tulinde vyetu kwa manufaa yetu na vizazi vyetu.

National Interest first.
Na siyo swala la "kukubaliana nao" pekee.

Jirani anayefanya kila njia ya kukuchimba, na kukutumia kwa manufaa yake na wewe hata akili za kujitambua usiwe nazo?
 
Kenya ni ndugu zetu kabisa, hii mipaka ilichorwa na mabeberu
 
Tanzania itaiuzia nini Kenya zaidi ya mazao ghafi?
Kuna umuhimu wa ushirikiano na Kenya kibiashara lakini Kenya nayo iweke mazingira sahihi kwa Tanzania kufanya biashara na Kenya.
 
Maskini kushadadia vita vya kibiashara ni wendawazimu.
Unajua bana jirani nae sio wa kuishi nae soft kiivo hasa ukizingatia kuwa Hakupi kula halafu Kenya anatuhitaji zaidi ya tunavyomhitaji back to the topic.

Concern ya kenya sasa ivi ni Vibari vya kazi na Soko huria within East africa. Kenya wana shortage of land na ni powerful families ndio zimehodhi maeneo makubwa sana kiasi kwamba wengine hawana ardhi ivo wanasambaa niliwahi kukutana na mkenya songea akiwa na shamba kubwa sana akilima mahindi baada ya kumdadisi alidai anafatilia pia uraia awe raia wa Tz lakini kinyemela and nili report kwa authorities mana ulinzi wa taifa letu ni wote sote.

Kuna mambo JPM alikuwa sahihi sana na kwa kweli tunamuombea mama asimamie umo umo au aboreshe mfano kitendo cha Telecom Giant kama Vodacom mwaka juzi kutaka kumleta mwana dada Syvilia mulinge kuja kuwa MD huku akitokea safaricom hakikua na afya kwa Taifa mana kenya ni jirani na siku zote adui namba moja ni jirani yako ivo Mawasiliano yote ya voda kuwa chini ya mkenya haikuwa na afya na JPM kweli alimpiga tofali dada yule kwa kumnyima Work permit alikuwa sahihi sana Hayati,

Frankly kwenye swala la biashara bado tusifungue mipaka kivile kwa sababu kenya wako far kidogo kuanzia branding mpaka packaging tuanze kupeana elimu kwanza.

Kenyata na wakenya walijua tz sio ya kuchezea mana tukimwaga ugali wao watamwaga mboga yani chuma chuma
 
Kuweka mazingira mazuri ya kibiashara na uhusiano na Kenya kwa ujumla ni muhimu sana kwa ustawi wa Tanzania kama nchi.
 
Kenya ni ndugu zetu kabisa, hii mipaka ilichorwa na mabeberu
Ndugu zako wote sio lazima wawe watu wazuri kwako.
Tanzania itaiuzia nini Kenya zaidi ya mazao ghafi?
Kwa hiyo una maana hata hayo mazao ghafi usimuuzie "ndugu yako"?

Huyo ndugu yako ana nini cha kuiuzia Tanzania?
Maskini kushadadia vita vya kibiashara ni wendawazimu.
Kwa hiyo ashangilie/asherehekee anapoumizwa kutokana na bidhaa zake kunyimwa soko, hata kama hana chochote cha maana cha kumuuzia huyo "ndugu yake"?
 
Back
Top Bottom