Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku Tatu Nchini Angola na Kuhutubia Bunge la Nchi Hiyo

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama wa shoka , chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya Matumaini anatarajiwa kufanya ziara Nchini Angola.

Ambapo pia atapata nafasi na heshima kubwa ya kuhutubia Bunge la Nchi Hiyo Kwa Mwaliko maalumu wa Speaker wa Bunge hilo. Ambapo taarifa zinaonyesha kuwa hotuba yake inasubiriwa kwa kiu na hamu kubwa sana na waafrika mbalimbali Barani Afrika.

Hasa kwa kuzingatia uwezo wake mzuri wa kuhutubia na kujenga hoja .ikumbukwe hotuba za Rais Samia ndizo zimekuwa zikitoa Muelekeo ,mstakabari na Dira ya Afrika nzima na misimamo ya masuala mbalimbali.

Ikumbukwe ya kuwa ni Majuzi juzi tu hapa ambapo Rais wetu Mpendwa alipata mualiko na heshima kubwa ya kuhudhuria Uapisho wa Rais wa Namibia na kutoa hotuba yake iliyoteka Bara zima la Afrika pamoja na kupongezwa na watu mbalimbali ndani na nje ya Bara la Afrika.

Hivyo Ziara hii na nafasi ya Rais wetu kupewa nafasi na heshima ya kuhutubia Bunge hilo ni Muendelezo wa Bara la Afrika kuendelea kutambua mchango wa Rais Samia katika maendeleo na ustawi wa Afrika na waafrika. Kutokana na mawazo na mtazamo wake chanya katika kuwakwamua waafrika na kuwaondoa katika lindi la Umaskini pamoja na kuondokana na utegemezi kwa nchi za ulaya na Magharibi.​

View attachment 3294921View attachment 3294922
Acha kutudanganya wakati kuna kikao cha congo na M23 huko baada EAC kuonekana akili zote ni lucas
IMG_1063.jpeg
 
Huyo ni Rais wako wewe. Jinga na shetani. Hutoboi mwezi huu. Mungu ameanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
hii ziara ni muhimu sana hasa kuleta mwafaka wa Kabinda corrido inayodhaminiwa na marekani na kampuni ya trafigura,
 
Kuna tija gani kwa taifa
hii ziara ni muhimu kuliko unavyofikiri, dandari ya dar 70% ni mizigo ya congo, wakati huohuo marekani kaanzisha mradi wa kabinda corrido lengo lake mizigo ya congo ipitie angola, yaani bandari ya dar ife, bila kuwaambia waangola hatuko tayari kukubali huo upuuzi tutakwisha
 
Uwe na imani na serikali ya Rais Samia .ambayo inaendelea kufanya kazi usiku na mchana kugusa Maisha ya watanzania na kuleta tabasamu na matumaini kwa wote. Hakuna Atakayeachwa nyuma katika uongozi wa Mama.

Rais wetu Mpendwa anadhamira ya kujenga uchumi unaogusa Maisha ya watu na kadri uchumi unavyokua na kuimarika Ndivyo Maisha ya watu yanavyobadilika na kuwa bora na mazuri zaidi.
Wahitimu wa Vyuo hawana ajira! Anawagusaje?
 
hii ziara ni muhimu kuliko unavyofikiri, dandari ya dar 70% ni mizigo ya congo, wakati huohuo marekani kaanzisha mradi wa kabinda corrido lengo lake mizigo ya congo ipitie angola, yaani bandari ya dar ife, bila kuwaambia waangola hatuko tayari kukubali huo upuuzi tutakwisha
Hili halijui!
 
Lucas mwenyewe anategemea hapa ashushe nyuzi ndefu za kumsifia mama ndio ale.😂😂😂
Mimi ni mkulima nayekula kwa jasho la mikono yangu na siyo kupitia JF . Hasa kwa kuzingatia kuwa jukwaa hili halina shamba la kulima wala sufuria la wali au ugali . Huwezi ukaingia hapa kama una njaa ya chakula tumboni mwako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama wa shoka , chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya Matumaini anatarajiwa kufanya ziara Nchini Angola.

Ambapo pia atapata nafasi na heshima kubwa ya kuhutubia Bunge la Nchi Hiyo Kwa Mwaliko maalumu wa Speaker wa Bunge hilo. Ambapo taarifa zinaonyesha kuwa hotuba yake inasubiriwa kwa kiu na hamu kubwa sana na waafrika mbalimbali Barani Afrika.

Hasa kwa kuzingatia uwezo wake mzuri wa kuhutubia na kujenga hoja .ikumbukwe hotuba za Rais Samia ndizo zimekuwa zikitoa Muelekeo ,mstakabari na Dira ya Afrika nzima na misimamo ya masuala mbalimbali.

Ikumbukwe ya kuwa ni Majuzi juzi tu hapa ambapo Rais wetu Mpendwa alipata mualiko na heshima kubwa ya kuhudhuria Uapisho wa Rais wa Namibia na kutoa hotuba yake iliyoteka Bara zima la Afrika pamoja na kupongezwa na watu mbalimbali ndani na nje ya Bara la Afrika.

Hivyo Ziara hii na nafasi ya Rais wetu kupewa nafasi na heshima ya kuhutubia Bunge hilo ni Muendelezo wa Bara la Afrika kuendelea kutambua mchango wa Rais Samia katika maendeleo na ustawi wa Afrika na waafrika. Kutokana na mawazo na mtazamo wake chanya katika kuwakwamua waafrika na kuwaondoa katika lindi la Umaskini pamoja na kuondokana na utegemezi kwa nchi za ulaya na Magharibi.​

View attachment 3294921View attachment 3294922
Mungu ampende zaidi Samia akiwa hukohuko
 
Mimi ni mkulima nayekula kwa jasho la mikono yangu na siyo kupitia JF . Hasa kwa kuzingatia kuwa jukwaa hili halina shamba la kulima wala sufuria la wali au ugali . Huwezi ukaingia hapa kama una njaa ya chakula tumboni mwako.
Naomba pikipiki moja ya mama, we si unazo tatu kaka
 
hii ziara ni muhimu kuliko unavyofikiri, dandari ya dar 70% ni mizigo ya congo, wakati huohuo marekani kaanzisha mradi wa kabinda corrido lengo lake mizigo ya congo ipitie angola, yaani bandari ya dar ife, bila kuwaambia waangola hatuko tayari kukubali huo upuuzi tutakwisha
Eeeeh anawezaje kumzuia Angola asifanye maamuzi yenye manufaa kwake kisa bandari ya Dar iliyo Tanzania isife.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama wa shoka , chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya Matumaini anatarajiwa kufanya ziara Nchini Angola.

Ambapo pia atapata nafasi na heshima kubwa ya kuhutubia Bunge la Nchi Hiyo Kwa Mwaliko maalumu wa Speaker wa Bunge hilo. Ambapo taarifa zinaonyesha kuwa hotuba yake inasubiriwa kwa kiu na hamu kubwa sana na waafrika mbalimbali Barani Afrika.

Hasa kwa kuzingatia uwezo wake mzuri wa kuhutubia na kujenga hoja .ikumbukwe hotuba za Rais Samia ndizo zimekuwa zikitoa Muelekeo ,mstakabari na Dira ya Afrika nzima na misimamo ya masuala mbalimbali.

Ikumbukwe ya kuwa ni Majuzi juzi tu hapa ambapo Rais wetu Mpendwa alipata mualiko na heshima kubwa ya kuhudhuria Uapisho wa Rais wa Namibia na kutoa hotuba yake iliyoteka Bara zima la Afrika pamoja na kupongezwa na watu mbalimbali ndani na nje ya Bara la Afrika.

Hivyo Ziara hii na nafasi ya Rais wetu kupewa nafasi na heshima ya kuhutubia Bunge hilo ni Muendelezo wa Bara la Afrika kuendelea kutambua mchango wa Rais Samia katika maendeleo na ustawi wa Afrika na waafrika. Kutokana na mawazo na mtazamo wake chanya katika kuwakwamua waafrika na kuwaondoa katika lindi la Umaskini pamoja na kuondokana na utegemezi kwa nchi za ulaya na Magharibi.​

View attachment 3294921View attachment 3294922
Kila la kheri Dr.Samia Suluhu Hassan,
ziara muhimu wakati muafaka.🙏
 
Eeeeh unawezaje kumzuia Angola asifanye maamuzi yenye manufaa kwake kisa bandari ya Tanzania isife
kuna sharing agreement inaenda wekwa, kati ta drc angola na tanzania, na itaitwa dar kabinda coridor, ikumbukwe baada ya marekani kuweka hela angola mchina kaweka hela tazara,
 
Back
Top Bottom