Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku Tatu Nchini Angola na Kuhutubia Bunge la Nchi Hiyo

Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku Tatu Nchini Angola na Kuhutubia Bunge la Nchi Hiyo

kuna sharing agreement inaenda wekwa, kati ta drc angola na tanzania, na itaitwa dar kabinda coridor, ikumbukwe baada ya marekani kuweka hela angola mchina kaweka hela tazara,
Ooooh, kwa hiyo ni njia ya kidiplomasia itatumika na siyo ubabe kwa kuwaambia huo upuuzi Tanzania hawautaki.
 
Ooooh, kwa hiyo ni njia ya kidiplomasia itatumika na siyo ubabe kwa kuwaambia huo upuuzi Tanzania hawautaki.
yes mambo ya kibiashara huwa yanazungumzwa kidiplomasia ukienda kibabe yanaweza kukwama kama ukrane
 
Msanii namba 1 atasafari na wasanii wenzake wangapi hiyo ziara?
GnG12SqXYAE24Xe (2).jpeg
 
Nasikia kuna wahuni walitaka kuingia Angola wakatolewa balu! Ahahahahaha!!!

Wakarudi eti "tunataka Balozi wa Angola aitwe ajieleze kwanini wametutia balu kwao! Kwani wahuni waharuhisiwi kuingia Angola?" Ahahahahaha!! Mwisho wa kunukuu.
 
Mjinga ni wewe unayeshabikia ziara zisizo na tija.
Ziara za Mheshimiwa Rais wetu zimekuwa na zina tija kubwa sana
.

Hivi unaelewa sera yetu ya mambo y nje inasemaje lakini? Maana inawezekana nikawa nabishana na mbumbumbu hapa. Kama huelewi niambie nimwite ephen akupige msasa kidogo.
 
Sera za kuuza bandari na mbuga za wanyama za Tanganyika wewe kunguni wa mama Abdul?
BD7511AD-5C7A-435F-9707-C5F90057C681.jpeg
 
Back
Top Bottom