Ooooh, kwa hiyo ni njia ya kidiplomasia itatumika na siyo ubabe kwa kuwaambia huo upuuzi Tanzania hawautaki.kuna sharing agreement inaenda wekwa, kati ta drc angola na tanzania, na itaitwa dar kabinda coridor, ikumbukwe baada ya marekani kuweka hela angola mchina kaweka hela tazara,
yes mambo ya kibiashara huwa yanazungumzwa kidiplomasia ukienda kibabe yanaweza kukwama kama ukraneOoooh, kwa hiyo ni njia ya kidiplomasia itatumika na siyo ubabe kwa kuwaambia huo upuuzi Tanzania hawautaki.
Umenena vyema,asante mkuu.yes mambo ya kibiashara huwa yanazungumzwa kidiplomasia ukienda kibabe yanaweza kukwama kama ukrane
Fika kituo cha polisi useme nimekuagiza wakupeLuca niazime laki
Shetani ni wewe na Mshangazi wenu bi TitiShetani Kubwa wewe .
Thubutuuuu!!Fika kituo cha polisi useme nimekuagiza wakupe
Afrika nzima haiwezi kuongozwa na kiongozi low kama huyo mama, halafu eti umuache akili kubwa na daktari wa ukweli kama Ruto!Rais Samia ni kama ndiye anaiongoza Afrika kwa Sasa
Acha kuchanganya madesa dogo. Utasupp!Naona toka kile kimama cha USA kipigwe chini sahivi USA anaiona kwenye bomba tu๐๐๐
Angola kuna mbeijing kashinda urais
Acha ujinga wako hapa.Msanii namba 1 atasafari na wasanii wenzake wangapi hiyo ziara?
View attachment 3295448
Mjinga ni wewe unayeshabikia ziara zisizo na tija.Acha ujinga wako hapa.
Ziara za Mheshimiwa Rais wetu zimekuwa na zina tija kubwa sanaMjinga ni wewe unayeshabikia ziara zisizo na tija.
Sera za kuuza bandari na mbuga za wanyama za Tanganyika wewe kunguni wa mama Abdul?Ziara za Mheshimiwa Rais wetu zimekuwa na zina tija kubwa sana
.
Hivi unaelewa sera yetu ya mambo y nje inasemaje lakini? Maana inawezekana nikawa nabishana na mbumbumbu hapa. Kama huelewi niambie nimwite ephen akupige msasa kidogo.