zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Hoja yako hii ni mfano wa jinsi mfumo koloni unavyofanya kazi, jinsi unavyoweza kumfanya mtu aamini kwamba kuna nchi ambayo "...haijulikani huko duniani". Hebu fikiria nchi ambayo ni member mwenye seat kwenye Umoja wa Mataifa eti haijulikani huko duniani.Wewe ni poyoyo
Mama ndiye sterling kwenye hiyo movie, sasa unataka wahojiwe simba au swala?
Watazamajj wakiambiwa tutakuwa live na Rais aliyetengeneza fialmu ya Royal tour viewership inakuwa juu sana na ndio kuitangaza ili itazamwe na wengi hatimaye lengo la kuitangaza nchi kiutalii lifikiwe
Sasa unataka Msigwa au Abasi wakaizungumzie? Nani anawajua au atajenga interest ya kuwasikiliza?
Kwa taarifa yako TZ haijulikani kiivo huko duniani achilia mbali hao unaotaka waseme.
Watazamaji watavutiwa tu na neno "president"
Hakuna nchi isiyojulikana duniani na Tanzania haiwezi kuwa nchi isiyojulikana duniani -- whatever you mean by that phrase. Tanzania ni member wa treaties kibao achilia mbali significance ya Tanzania kwenye geopolitical climate ya East Africa na Afrika kwa ujumla wake. Na kama tungehitaji kuboost utalii wa nchi yetu the best way ya kufanya hivyo wala si kujigongagonga huko nje. Njia bora ni kufix miundo mbinu ya ndani ya utalii ili kuboresha experiences ya watalii wale wanaobahatika kuitembelea Tanzania ili wawe mashuhuda wema kwa jamaa zao mara wanaporudi.
So maza kaenda kuinadi Royal Tour ili watalii wakitua bongo wakutane na nini? Blackouts za umeme? Usafiri gani wa maana wa kuwafikisha mbungani au kwenye vivutio mbalimbali za utalii? Cheki strategy tofauti aliyokuwa akitumia JPM. Badala ya kujitembeza nje ye aliona and he was very spot on ni bora kuweka network ya viwanja vya ndege, kuboost usafiri wa reli, kuwekeza kwenye umeme wa uhakika -- ili zile basic amenities za utalii ziwepo. Ni upuuzi kukaribisha wageni nyumbani kwako wakati huna choo, that was the logic behind.
Anyway nimeandika sana but Royal Tour is just a wastage of time and resources!