Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

Wewe ni poyoyo
Mama ndiye sterling kwenye hiyo movie, sasa unataka wahojiwe simba au swala?
Watazamajj wakiambiwa tutakuwa live na Rais aliyetengeneza fialmu ya Royal tour viewership inakuwa juu sana na ndio kuitangaza ili itazamwe na wengi hatimaye lengo la kuitangaza nchi kiutalii lifikiwe

Sasa unataka Msigwa au Abasi wakaizungumzie? Nani anawajua au atajenga interest ya kuwasikiliza?
Kwa taarifa yako TZ haijulikani kiivo huko duniani achilia mbali hao unaotaka waseme.
Watazamaji watavutiwa tu na neno "president"
Hoja yako hii ni mfano wa jinsi mfumo koloni unavyofanya kazi, jinsi unavyoweza kumfanya mtu aamini kwamba kuna nchi ambayo "...haijulikani huko duniani". Hebu fikiria nchi ambayo ni member mwenye seat kwenye Umoja wa Mataifa eti haijulikani huko duniani.

Hakuna nchi isiyojulikana duniani na Tanzania haiwezi kuwa nchi isiyojulikana duniani -- whatever you mean by that phrase. Tanzania ni member wa treaties kibao achilia mbali significance ya Tanzania kwenye geopolitical climate ya East Africa na Afrika kwa ujumla wake. Na kama tungehitaji kuboost utalii wa nchi yetu the best way ya kufanya hivyo wala si kujigongagonga huko nje. Njia bora ni kufix miundo mbinu ya ndani ya utalii ili kuboresha experiences ya watalii wale wanaobahatika kuitembelea Tanzania ili wawe mashuhuda wema kwa jamaa zao mara wanaporudi.

So maza kaenda kuinadi Royal Tour ili watalii wakitua bongo wakutane na nini? Blackouts za umeme? Usafiri gani wa maana wa kuwafikisha mbungani au kwenye vivutio mbalimbali za utalii? Cheki strategy tofauti aliyokuwa akitumia JPM. Badala ya kujitembeza nje ye aliona and he was very spot on ni bora kuweka network ya viwanja vya ndege, kuboost usafiri wa reli, kuwekeza kwenye umeme wa uhakika -- ili zile basic amenities za utalii ziwepo. Ni upuuzi kukaribisha wageni nyumbani kwako wakati huna choo, that was the logic behind.

Anyway nimeandika sana but Royal Tour is just a wastage of time and resources!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu

Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo.

Au hawaamini hadi yeye mwenyewe ndio ahojiwe lakini kama ambavyo mnajua kuwa kizungu sio lugha yetu inawezekana kabisa akachapia na matokeo yake akafanyika kituko kwenye mitandao ya kijamii ya huko.

Nijuavyo mimi Urais ni nembo kubwa hivyo inalidwa kwa gharama kubwa sana na kuheshimiwa.

MAMA RUDI NYUMBANI INATOSHA SASA. RAHA YA MGENI AKAE SIKU CHACHE SIO HADI WAKUCHOKE
Kwani umeachishwa kunyonya !!!!
 
Afrika sijui tumerogwa na nani ? Hivi wenzetu mfano A. Kusini wao waliwezaje ku_brand nchi yao ?

Lengo la hilo swali kujifunza kufikiri zaidi ya tunachokiona/tunachoambiwa. Tuache mahaba na viongozi.
 
Hoja yako hii ni mfano wa jinsi mfumo koloni unavyofanya kazi, jinsi unavyoweza kumfanya mtu aamini kwamba kuna nchi ambayo "...haijulikani huko duniani". Hebu fikiria nchi ambayo ni member mwenye seat kwenye Umoja wa Mataifa eti haijulikani huko duniani.

Hakuna nchi isiyojulikana duniani na Tanzania haiwezi kuwa nchi isiyojulikana duniani -- whatever you mean by that phrase. Tanzania ni member wa treaties kibao achilia mbali significance ya Tanzania kwenye geopolitical climate ya East Africa na Afrika kwa ujumla wake. Na kama tungehitaji kuboost utalii wa nchi yetu the best way ya kufanya hivyo wala si kujigongagonga huko nje. Njia bora ni kufix miundo mbinu ya ndani ya utalii ili kuboresha experiences ya watalii wale wanaobahatika kuitembelea Tanzania ili wawe mashuhuda wema kwa jamaa zao mara wanaporudi.

So maza kaenda kuinadi Royal Tour ili watalii wakitua bongo wakutane na nini? Blackouts za umeme? Usafiri gani wa maana wa kuwafikisha mbungani au kwenye vivutio mbalimbali za utalii? Cheki strategy tofauti aliyokuwa akitumia JPM. Badala ya kujitembeza nje ye aliona and he was very spot on ni bora kuweka network ya viwanja vya ndege, kuboost usafiri wa reli, kuwekeza kwenye umeme wa uhakika -- ili zile basic amenities za utalii ziwepo. Ni upuuzi kukaribisha wageni nyumbani kwako wakati huna choo, that was the logic behind.

Anyway nimeandika sana but Royal Tour is just a wastage of time and resources!
Naunga hoja ?

Swali ni lini tutaacha ukahaba wa viongozi ????
 
Wewe ni poyoyo
Mama ndiye sterling kwenye hiyo movie, sasa unataka wahojiwe simba au swala?
Watazamajj wakiambiwa tutakuwa live na Rais aliyetengeneza fialmu ya Royal tour viewership inakuwa juu sana na ndio kuitangaza ili itazamwe na wengi hatimaye lengo la kuitangaza nchi kiutalii lifikiwe

Sasa unataka Msigwa au Abasi wakaizungumzie? Nani anawajua au atajenga interest ya kuwasikiliza?
Kwa taarifa yako TZ haijulikani kiivo huko duniani achilia mbali hao unaotaka waseme.
Watazamaji watavutiwa tu na neno "president"
Pole sana.

Unamwita mwenzio 'poyoyo', kumbe wewe mwenyewe ni kiazi batata!

Urais wa Samia huko hauna maana yoyote, kama hujui.
 
Mambo yake yasikuumize kichwa, fanya mambo mengine...
 
Tunasubiri state visit ya mama huko Britain baada ya hiyo ya US kukamilika kwa kishindo 😉

Hii video inaonyesha John Kennedy akimpa Nyerere ushauri wa bure wa kufuata mfumo wa demokrasia lakini Nyerere akakataa mpaka akakorofishana na swahiba yake Kambona. Matokeo yake mpaka leo nchi tunahangaika kuleta demokrasia na wengi kulilia katiba mpya. Laiti kama Nyerere angechukua ushauri wa Kennedy nchi ingekuwa mbali.
 
Hoja yako hii ni mfano wa jinsi mfumo koloni unavyofanya kazi, jinsi unavyoweza kumfanya mtu aamini kwamba kuna nchi ambayo "...haijulikani huko duniani". Hebu fikiria nchi ambayo ni member mwenye seat kwenye Umoja wa Mataifa eti haijulikani huko duniani.

Hakuna nchi isiyojulikana duniani na Tanzania haiwezi kuwa nchi isiyojulikana duniani -- whatever you mean by that phrase. Tanzania ni member wa treaties kibao achilia mbali significance ya Tanzania kwenye geopolitical climate ya East Africa na Afrika kwa ujumla wake. Na kama tungehitaji kuboost utalii wa nchi yetu the best way ya kufanya hivyo wala si kujigongagonga huko nje. Njia bora ni kufix miundo mbinu ya ndani ya utalii ili kuboresha experiences ya watalii wale wanaobahatika kuitembelea Tanzania ili wawe mashuhuda wema kwa jamaa zao mara wanaporudi.

So maza kaenda kuinadi Royal Tour ili watalii wakitua bongo wakutane na nini? Blackouts za umeme? Usafiri gani wa maana wa kuwafikisha mbungani au kwenye vivutio mbalimbali za utalii? Cheki strategy tofauti aliyokuwa akitumia JPM. Badala ya kujitembeza nje ye aliona and he was very spot on ni bora kuweka network ya viwanja vya ndege, kuboost usafiri wa reli, kuwekeza kwenye umeme wa uhakika -- ili zile basic amenities za utalii ziwepo. Ni upuuzi kukaribisha wageni nyumbani kwako wakati huna choo, that was the logic behind.

Anyway nimeandika sana but Royal Tour is just a wastage of time and resources!
Sijui exposure yako lakini nakuhakikishia kuna mamilioni ya raia wa USA, Europe na Asia hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania na hao wanaweza kuwa wateja wazuri wa utalii. Kwa Africa Mashariki Kenya ni maarufu kuliko TZ, na hiyo haikuja kwa bahati bali kuitangaza nchi kwa njia mbali mbali.

Kwamba TZ inafahamika ktk level za kisiasa na kiutawala kama UN n.k hilo haimaanishi inajulikana na raia wa kawaida. Ni raia wangapi wa TZ wanazijua nchi zilizo na kiti UN?reference yako ni irrelevant

Kwamba ukishaweka hiyo miundombinu unayodai ni ya utalii then utalii utajitangaza wenyewe sio?
Miundombinu ni jambo moja na marketing ni jambo jingine. Mtu mpuuzi tu anaweza kupuuza nguvu ya kuitangaza biashara yake. Leo kuna watu duniani huko wanajua Mt kilimanjaro upo Kenya, unafikiri ni kwanini?

Ulipomsifia Jiwe kwa kuto kutembea duniani kuitangaza nchi, kuona fursa, kuimarisha mahusiano nk nimegundua Wewe ni wale wagonjwa yatima wa Sukuma gang wanaoamini ktk perfection ya awamu ya Jiwe hivyo hamuoni kama nchi inasonga mbele.
 
Naunga hoja ?

Swali ni lini tutaacha ukahaba wa viongozi ????
Tutaacha iwapo tutapata tena mtu kama JPM aliyeamini kwamba thamani ya nchi inaanzia kwa kuipa (na kujipa wewe mwenyewe) thamani. Tulipoitwa nchi ya uchumi wa kati chini haikuwa kwa sababu nyingine yeyote zaidi ya imani ya kiongozi kujiamini na kuwaaminisha watu kwamba nchi yetu ni tajiri na ina tunu za utajiri. Nchi ikijiweka vyema watu wataitafuta na kuifata tu (chema chajiuza). Sema tu nchi hii imejaa waswahili wengi sana na wanarubunika kirahisi so inabidi kuwa makini sana kwenye mambo yetu ya uchaguzi wa viongozi wa juu.
 
Zimmerman:

Wafrika tusijisahaulishe, hakuna mtu atatuletea maendeleo tunayoyataka.

Tuna tatizo moja lakuwa na wasiwasi na vya kwetu.
 
Sijui exposure yako lakini nakuhakikishia kuna mamilioni ya raia wa USA, Europe na Asia hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania na hao wanaweza kuwa wateja wazuri wa utalii. Kwa Africa Mashariki Kenya ni maarufu kuliko TZ, na hiyo haikuja kwa bahati bali kuitangaza nchi kwa njia mbali mbali.

Kwamba TZ inafahamika ktk level za kisiasa na kiutawala kama UN n.k hilo haimaanishi inajulikana na raia wa kawaida. Ni raia wangapi wa TZ wanazijua nchi zilizo na kiti UN?reference yako ni irrelevant

Kwamba ukishaweka hiyo miundombinu unayodai ni ya utalii then utalii utajitangaza wenyewe sio?
Miundombinu ni jambo moja na marketing ni jambo jingine. Mtu mpuuzi tu anaweza kupuuza nguvu ya kuitangaza biashara yake. Leo kuna watu duniani huko wanajua Mt kilimanjaro upo Kenya, unafikiri ni kwanini?

Ulipomsifia Jiwe kwa kuto kutembea duniani kuitangaza nchi, kuona fursa, kuimarisha mahusiano nk nimegundua Wewe ni wale wagonjwa yatima wa Sukuma gang wanaoamini ktk perfection ya awamu ya Jiwe hivyo hamuoni kama nchi inasonga mbele.
Vile umekuwa interested na exposure yangu as if kuna uhusiano kati ya exposure na ukweli wa hoja!

1. Kuwepo na wamarekani wengi au wazungu wengi wasioijua Tanzania haiwezi kuwa indictment against Tanzania. Ni indictment against ignorance yao kutokuwa exposed kwa nchi mbalimbali za ulimwengu. Mmarekani au mtu yeyote asiyefahamu kwamba kuna nchi inaitwa Tanzania ni ushamba wake siyi ushamba wetu (na ni kukosa fikra pevu kwamba nchi kama Tanzania inahitaji kujitangaza kwa style ya Royal Tour ili "kuwatoa ushamba" watu wanaojifanya kuwa washamba wakati wala siyo washamba).

2. Kwani utalii wa Kenya ulitokana na kujitangaza kupitia Royal Tour ya kwao? Nope, wakenya waliwekeza from within ( kutrain ipasavyo wahudumu wa kwenye hospitality industry, jinsi mtalii atakavyohudumiwa akiwa Kenya kuanzia reception, communication, ubora wa hoteli, chakula, n.k) pamoja na kuwekeza kwenye Kenya Airways ( kitu ambacho JPM alitamani kukireplicate kwenye Tanzania Airways). Ndege ikitua Gatwick au JF Kennedy na imebeba nembo ya Tanzania obviously hilo sio jambo dogo. Na nchi kumiliki functional international airline inahitaji uwekezaji from within na hicho ndicho tunapaswa kukiendeleza.

3. Hayo mambo mengine unayomtuhumu JPM ni tatizo lako mwenyewe. Fikra za jamaa zilitangulia maili mbele sana zaidi ya fikra za watu wengi sana wakiwemo na hao maza anakoenda kujitangaza so sishangai kuona mnamsemasema.
 
Hoja yako hii ni mfano wa jinsi mfumo koloni unavyofanya kazi, jinsi unavyoweza kumfanya mtu aamini kwamba kuna nchi ambayo "...haijulikani huko duniani". Hebu fikiria nchi ambayo ni member mwenye seat kwenye Umoja wa Mataifa eti haijulikani huko duniani.

Hakuna nchi isiyojulikana duniani na Tanzania haiwezi kuwa nchi isiyojulikana duniani -- whatever you mean by that phrase. Tanzania ni member wa treaties kibao achilia mbali significance ya Tanzania kwenye geopolitical climate ya East Africa na Afrika kwa ujumla wake. Na kama tungehitaji kuboost utalii wa nchi yetu the best way ya kufanya hivyo wala si kujigongagonga huko nje. Njia bora ni kufix miundo mbinu ya ndani ya utalii ili kuboresha experiences ya watalii wale wanaobahatika kuitembelea Tanzania ili wawe mashuhuda wema kwa jamaa zao mara wanaporudi.

So maza kaenda kuinadi Royal Tour ili watalii wakitua bongo wakutane na nini? Blackouts za umeme? Usafiri gani wa maana wa kuwafikisha mbungani au kwenye vivutio mbalimbali za utalii? Cheki strategy tofauti aliyokuwa akitumia JPM. Badala ya kujitembeza nje ye aliona and he was very spot on ni bora kuweka network ya viwanja vya ndege, kuboost usafiri wa reli, kuwekeza kwenye umeme wa uhakika -- ili zile basic amenities za utalii ziwepo. Ni upuuzi kukaribisha wageni nyumbani kwako wakati huna choo, that was the logic behind.

Anyway nimeandika sana but Royal Tour is just a wastage of time and resources!
Usingeandika wewe ningeandika mimi.. upo sahihi mkuu
 
Uchapiaji mnauona nyie msiojua maana ya lugha, kwao sio ishu.
 
Tunahukumu Raisi wetu kwa kujaribu kuleta maendeleo zaidi nchi yetu?
 
Vile umekuwa interested na exposure yangu as if kuna uhusiano kati ya exposure na ukweli wa hoja!

1. Kuwepo na wamarekani wengi au wazungu wengi wasioijua Tanzania haiwezi kuwa indictment against Tanzania. Ni indictment against ignorance yao kutokuwa exposed kwa nchi mbalimbali za ulimwengu. Mmarekani au mtu yeyote asiyefahamu kwamba kuna nchi inaitwa Tanzania ni ushamba wake siyi ushamba wetu (na ni kukosa fikra pevu kwamba nchi kama Tanzania inahitaji kujitangaza kwa style ya Royal Tour ili "kuwatoa ushamba" watu wanaojifanya kuwa washamba wakati wala siyo washamba).

2. Kwani utalii wa Kenya ulitokana na kujitangaza kupitia Royal Tour ya kwao? Nope, wakenya waliwekeza from within ( kutrain ipasavyo wahudumu wa kwenye hospitality industry, jinsi mtalii atakavyohudumiwa akiwa Kenya kuanzia reception, communication, ubora wa hoteli, chakula, n.k) pamoja na kuwekeza kwenye Kenya Airways ( kitu ambacho JPM alitamani kukireplicate kwenye Tanzania Airways). Ndege ikitua Gatwick au JF Kennedy na imebeba nembo ya Tanzania obviously hilo sio jambo dogo. Na nchi kumiliki functional international airline inahitaji uwekezaji from within na hicho ndicho tunapaswa kukiendeleza.

3. Hayo mambo mengine unayomtuhumu JPM ni tatizo lako mwenyewe. Fikra za jamaa zilitangulia maili mbele sana zaidi ya fikra za watu wengi sana wakiwemo na hao maza anakoenda kujitangaza so sishangai kuona mnamsemasema.
Na kweli fikra zake zilitangulia mbele ndio maana wakati wake Hotel za kitalii ziligeuzwa kuwa hostel.

Unachokisema Wewe ni sawa na una mahindi unataka uyauze ili upate pesa ya kujitibu, hayajapata wateja lakini Wewe umejifungia ndani unasema kama majirani wanajidai hawajui kama nauza mahindi ni shauri yao. Wewe na hao majirani nani ana shida zaidi?

Utalii ni starehe sio hitaji la msingi, wasipokuja hawapungukiwi kitu na sehemu zipo nyingi za kiutalii.
Lakini sisi hiyo fedha ya utalii ni hitaji la msingi ili kuweza kuhudumia mahitaji ya wananchi

Narudia tena, ni mtu mpuuzi tu asiyeona ulazima wa kuitangaza biashara yake katika soko la ushindani
 
Naona wewe ni wale waumini wa Tanzania inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania.

Ukiachilia mbali kwamba huna ushahidi wowote kuwa hoteli za kitalii ziligeuzwa hostel wakati wa JPM pia mtizamo wenu kuhusu dhana ya utalii mi naona una mapungufu ya msingi kabisa. Mtalii anaenda sehemu baada ya kuwa amefanya utafiti na kujiridhisha kuwa huko aendako atatimiza kiu yake ya msingi inayomfanya afanye utalii. Kama Tanzania haipati idadi ya watalii kama wanaoenda visiwa vya Shelisheli au Afrika Kusini wala shida siyo kutojitangaza kwa Tanzania.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu

Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo.

Au hawaamini hadi yeye mwenyewe ndio ahojiwe lakini kama ambavyo mnajua kuwa kizungu sio lugha yetu inawezekana kabisa akachapia na matokeo yake akafanyika kituko kwenye mitandao ya kijamii ya huko.

Nijuavyo mimi Urais ni nembo kubwa hivyo inalidwa kwa gharama kubwa sana na kuheshimiwa.

MAMA RUDI NYUMBANI INATOSHA SASA. RAHA YA MGENI AKAE SIKU CHACHE SIO HADI WAKUCHOKE
Haya ndiyo madhara ya kumuweka Kikwete karibu yake, anasahau kabisa kuwa JK alishindwa kungoza hii nchi kwa sababu ya kutalii duniani.
 
Kumbuka yeye ni mke wa mtu, mama na bibi wa wajukuu kadhaa....
Muacheni mama afanye na shoping kwaajili ya familia na akimaliza aende akabembee kabla hajarudi nyumbani.
Ila kwajirani kuna msiba mzito, sijui atamtuma nani..!!🙄
Msiba Upi tena mbona ninapitwa Ushimen?
 
Back
Top Bottom