Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kwamba ni lazima au?Wa nchi zote za Jumuiya
Asingeenda mkiponda pia bwashehMwenyekiti wa Chadema anakwenda pia
Humu JF kuna watu wanaongea bila kuwa na uhakika.Wale waliosema Rais Samia aendi kwa sababu ajaalikwa walikuwa wanatuongopea?
Ningeshangaa sana asiendeMama samia tayari kawasili london kwenye mazishi. Je, ni marais wote wanakwenda au inakuwaje? View attachment 2360022