Rais Samia kuhudhuria sherehe za kutimiza Miaka 50 ya kanisa Katoliki Jimbo la Ngara

Rais Samia kuhudhuria sherehe za kutimiza Miaka 50 ya kanisa Katoliki Jimbo la Ngara

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.

Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Rulenge - Ngara -Kagera.

Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chato Airport) kuanzia muda wa sa 5 asubuhi kwa Saa za Afrika Mashariki.

Atakuwa mgeni Rasmi Leo na baada ya Kumaliza Activities Huo atarajea Tena Dar Ili kuendelea kufikiria Jinsi ya Nchi Yetu itakavyokuwa Kama Ulaya baada ya Miaka 6.
 
Kati ya kazi nisizozipenda ni hiyo ya urais!

Hukai ukatulia sehemu moja.

Huna faragha. Muda wote umezungukwa na watu.

Sijui watu wengine huwa wanaipendea nini tu!!!!
Anachokaje Wakati anapenda Kusafiri Mkuu.
.
Acha ale upepo Wakati Huo Watu Wanaendelea kuchoma Masoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Nyerere alikwisha wahi kusema Mzungu si mjinga akukopeshe bure pasipo kutaka kitu, Mtukufu Raisi wetu Samiah atuambie (atuweke wazi) terms and conditions alizopewa na wazungu kufanikisha hilo.

Maana nachojua wale si wajomba ama ndugu zetu tuseme wanakupa tu pesa pasipo kitu, hivyo mabadiliko hayo ya kuifanya Tanzania kuonekana kama ulaya yaendane na uwazi wa makubaliano baina ya nchi yetu na mabeberu.
 
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.

Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo kuu katoriki Ngara-Kagera.

Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chatro Airport) kuanzia Mda wa sa5 ASU kwa Saa za Afrika Mashariki.

Atakuwa mgeni Rasmi Leo na baada ya Kumaliza Activities Huo atarajea Tena Dar Ili kuendelea kufkria Jinsi ya Nchi Yetu itakavyokuwa Kama Ulaya baada ya Miaka 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndiyo muendelezo wa matumizi mabaya ya pesa za umma. Hivi kweli kuna umuhimu wa Kukwea pipa kwenda ngara kuhudhuria sherehe na kurudi .... Halafu wanajidai wana kazi nyingi wakati kutwa ni kupiga mpropaganda. Hizi siasa za CCM za kuchanganya na dini hazina tija kwa nchi. Maza ambaye miaka yote hata kusema "TUMSIFU YESU KRISTU" ilimshinda leo inatinga madhahabuni? Hii nchi haishiwagi maajabu......!!
 
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.

Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo kuu katoriki Ngara-Kagera.

Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chatro Airport) kuanzia Mda wa sa5 ASU kwa Saa za Afrika Mashariki.

Atakuwa mgeni Rasmi Leo na baada ya Kumaliza Activities Huo atarajea Tena Dar Ili kuendelea kufkria Jinsi ya Nchi Yetu itakavyokuwa Kama Ulaya baada ya Miaka 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama uchaguzi wa 2025 unampa tabu Sana japo hapati, tanzania kuwa Kama ulaya
 
Makamu wake angefaa kwa hiyo shughuli
Mengine ni kujipendekeza tu
 
Back
Top Bottom