Rais Samia kuhudhuria sherehe za kutimiza Miaka 50 ya kanisa Katoliki Jimbo la Ngara

Kwa machifu alipewa kuwa Chifu Mkuu, sijui huko anaweza akapewa kuwa Askofu Mkuu?
 
Mwalimu Nyerere alikwisha wahi kusema Mzungu si mjinga akukopeshe bure pasipo kutaka kitu, Mtukufu Raisi wetu Samiah atuambie (atuweke wazi) terms and conditions alizopewa na wazungu kufanikisha hilo.

Maana nachojua wale si wajomba ama ndugu zetu tuseme wanakupa tu pesa pasipo kitu, hivyo mabadiliko hayo ya kuifanya Tanzania kuonekana kama ulaya yaendane na uwazi wa makubaliano baina ya nchi yetu na mabeberu.
ukiwa na mawazo kama hayo umeishiwa hoja hebu tuambie waliotujengea reli yakati tuliwapa nini halafu diyo uje uzungumzie ya mama
 
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.

Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Rulenge - Ngara -Kagera.

Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chato Airport) kuanzia muda wa sa 5 asubuhi kwa Saa za Afrika Mashariki.

Atakuwa mgeni Rasmi Leo na baada ya Kumaliza Activities Huo atarajea Tena Dar Ili kuendelea kufikiria Jinsi ya Nchi Yetu itakavyokuwa Kama Ulaya baada ya Miaka 6.
Wanamlazimisha kuhudhuria huyu mama ni mdini sana ndio maana jana kapokelewa na wavaa mashuka vichwani kama yeye
 
ukiwa na mawazo kama hayo umeishiwa hoja hebu tuambie waliotujengea reli yakati tuliwapa nini halafu diyo uje uzungumzie ya mama
Tuliwapa utajiri wakatuachia ufukara
 
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.

Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Rulenge - Ngara -Kagera.

Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chato Airport) kuanzia muda wa sa 5 asubuhi kwa Saa za Afrika Mashariki.

Atakuwa mgeni Rasmi Leo na baada ya Kumaliza Activities Huo atarajea Tena Dar Ili kuendelea kufikiria Jinsi ya Nchi Yetu itakavyokuwa Kama Ulaya baada ya Miaka 6.
Aisee Kanda ya Ziwa anaipenda khaa..
 
Hayo mambo ya kikatoliki wazanzibar tunakwazika sana, mama hatakiwi kuhudhuria sherehe hizo tumeamini na kumuona yeye akiwa ni muislamu dini yetu inakataza kabisa kushirikiana na Kanisa
 
Back
Top Bottom