Rais Samia kuhudhuria sherehe za kutimiza Miaka 50 ya kanisa Katoliki Jimbo la Ngara

Rais Samia kuhudhuria sherehe za kutimiza Miaka 50 ya kanisa Katoliki Jimbo la Ngara

Mahusiano ya Bishop wa Jimbo hilo na awamu iliyopita yalikuwa mabaya sana kwa wale mtakaokumbuka. Amekwenda mwenyewe kurudisha mahusiano hayo na kujenga daraja jipya.
Wewe umetumia kichwa chako kufikiria mambo ya maana wengine vichwa vyao ni nyumba za matusi na malalamiko.
 
Back
Top Bottom