Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Anachokaje Wakati anapenda Kusafiri Mkuu.Kati ya kazi nisizozipenda ni hiyo ya urais!
Hukai ukatulia sehemu moja.
Huna faragha. Muda wote umezungukwa na watu.
Sijui watu wengine huwa wanaipendea nini tu!!!!
Safari hii hajamtuma makamu wake?
Ana penda sn safari, hivi huwa hachoki?
Huu ndiyo muendelezo wa matumizi mabaya ya pesa za umma. Hivi kweli kuna umuhimu wa Kukwea pipa kwenda ngara kuhudhuria sherehe na kurudi .... Halafu wanajidai wana kazi nyingi wakati kutwa ni kupiga mpropaganda. Hizi siasa za CCM za kuchanganya na dini hazina tija kwa nchi. Maza ambaye miaka yote hata kusema "TUMSIFU YESU KRISTU" ilimshinda leo inatinga madhahabuni? Hii nchi haishiwagi maajabu......!!Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.
Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo kuu katoriki Ngara-Kagera.
Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chatro Airport) kuanzia Mda wa sa5 ASU kwa Saa za Afrika Mashariki.
Atakuwa mgeni Rasmi Leo na baada ya Kumaliza Activities Huo atarajea Tena Dar Ili kuendelea kufkria Jinsi ya Nchi Yetu itakavyokuwa Kama Ulaya baada ya Miaka 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama uchaguzi wa 2025 unampa tabu Sana japo hapati, tanzania kuwa Kama ulayaWakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.
Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo kuu katoriki Ngara-Kagera.
Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chatro Airport) kuanzia Mda wa sa5 ASU kwa Saa za Afrika Mashariki.
Atakuwa mgeni Rasmi Leo na baada ya Kumaliza Activities Huo atarajea Tena Dar Ili kuendelea kufkria Jinsi ya Nchi Yetu itakavyokuwa Kama Ulaya baada ya Miaka 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sehemu ya majukumu yake.Ana penda sn safari, hivi huwa hachoki?
🖕🖕Atachokaje na yuko kwenye kampeni ya uchaguzi wa 2025?
Ni Kama Yupo Tu, Hana Impact yoyote.Makamu wake angefaa kwa hiyo shughuli
Mengine ni kujipendekeza tu
Kati ya kazi nisizozipenda ni hiyo ya urais!
Hukai ukatulia sehemu moja.
Huna faragha. Muda wote umezungukwa na watu.
Sijui watu wengine huwa wanaipendea nini tu!!!!
Asante Kwa MasahihishoTanzania hakuna "Jimbo Kuu Katoliki la Ngara bali kuna "Jimbo Katoliki la Ngara"
Sawa