Rais Samia kuhudhuria Uapisho wa Ruto ni kuendelea kudumisha Diplomasia

Mh DR William Samoi Ruto na Wakenya wengi wamemtukuza za Mungu wa Mbinguni na Bwana Yesu Kristo kwenye hii sherehe ya uapisho. Injili na nyimbo za Gospeli za kutosha .
Kenya itastawi sana. Ruto ni mtumishi wa Mungu Aliye hai, Yehova.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Hakuna sjui mondi na wapiga kelele wanaosema kainama kainuka binuka nkuchomeke
Naona zabron singers wametamba hapo,ruto anawakubali sana

Ova
 
Rais Samia Suluhu kama ulifatilia jana alisema atapunguza kodi na Tozo ili wafanyabiashara wafanye biashara zao vizuri zaidi lengo ni kuinua watanzania na sio kuwadidimiza
Hivi ile ishu ya kufungiwa umeme kwa laki nane ni kweli? Nimesikiasikia watu wakisema.

Jesus is Lord
 
Kenya itastawi sana. Ruto ni mtumishi wa Mungu Aliye hai, Yehova.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Haya mambo ya kuwapeleka wakata mauno sjui wanaimba mambo yasiyoeleweka hayafai kabisa

Ova
 
Hivi ile ishu ya kufungiwa umeme kwa laki nane ni kweli? Nimesikiasikia watu wakisema.

Jesus is Lord
Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chini
 
Mkuu mbona now days umekuwa mtu wa kulalamika,hebu jaribu kurelax mkuu

Ova
Hahaha watanzania wameshazoea kulalamika kila kitu wanaisi kuonewa wakati Rais wetu amekutana na Ruto kupamga maendeleo ata kabla ya Uapisho
 
Acheni maneno maneo Rais Samia Suluhu yuko vizuri na 2025 atapita bila kupingwa maana asilimia kubwa ya watanzania tunamkubali sana

Ukiona mnataka apite bila kupingwa, ujue mmeshajua kabisa kuwa hana uwezo wa kushinda kihalali.
 
Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chini

Mungu anasema katika Biblia Takatifu , Hamna Mamlaka ya wanadamu ambayo haijatoka kwake. Kwenye tendo Takatifu na Muhimu kama la kuapishwa na kusimikwa kwa Mkuu wa nchi na majeshi yote unawaita wavaa kata keiii na wambiaji wa nyimbo za kumtukuza lusiferi ndio watumbuize watu waliohudhuria hapo. Tumepata kitu cha kujifunza kupitia Kenya. Rais na Naibu wake wamepiga magoti mbele ya ushuhuda wa dunia mzima.
 
Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chini
sasa wanaosema mwananchi atatoa laki nane kufungiwa umeme wamepata wapi hizi habari.

JESUS IS LORD
 
Kwani kushika madaraka nchi hii kunahitaji sifa yoyote zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola, na Backup ya tume ya uchaguzi?
Mama anaupiga mwingi, mama anaiponya nchi (according to Bavicha na Malisa).
 
Acheni maneno maneo Rais Samia Suluhu yuko vizuri na 2025 atapita bila kupingwa maana asilimia kubwa ya watanzania tunamkubali sana

..kupita bila kupingwa ni mambo ya kizamani.

..nafasi zote za kuchaguliwa zinapaswa kushindaniwa.
 
Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chini

Mkuu juzi Waziri husika alikua anaongea ITV mwenye clip aweke,kasema kuwekewa umeme nyumbani kwako na Tanesco ni Tsh laki 8(800,000/=)
 
Msikilize alichokisema Mhe. Waziri wa Nishati Makamba kuhusu gharama za kuunganisha umeme. : Hakusema gharama zimepandishwa. Alichokisema ni kwamba Serikali inaweka ruzuku kwa kila Mtanzania anayeunganishiwa umeme ili kukidhi gharama halisi za uunganishaji wa umeme.
 
Attachments

  • tw2h9hbHPTIOslrg.mp4
    7.2 MB
Mama anaupiga mwingi, mama anaiponya nchi (according to Bavicha na Malisa).
Mama na kaulimbiu yake ya utekelezaji ametekeleza miradi mingi inayompa fursa mwananchi pia ameleta wawekezaji wa kutosha na bado anaendelea kuimarisha diplomasia
 
Nachomanisha atashinda kwa asilimia 98 umeelewa?

..mgombea yoyote kushinda kwa 98% siyo afya kwa taifa.

..ushindi wenye maslahi kwa taifa ni kati ya 53% to 59%.

..hata bungeni vyama vinatakiwa visipishane sana.
 
Rais Samia Suluhu anapendwa sana na watanzania wengi maana ameleta maendeleo mengi pia amewashika mkono watanzania wengi wenye hali ya chini
 
Back
Top Bottom