Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Kenya itastawi sana. Ruto ni mtumishi wa Mungu Aliye hai, Yehova.Mh DR William Samoi Ruto na Wakenya wengi wamemtukuza za Mungu wa Mbinguni na Bwana Yesu Kristo kwenye hii sherehe ya uapisho. Injili na nyimbo za Gospeli za kutosha .
Hakuna sjui mondi na wapiga kelele wanaosema kainama kainuka binuka nkuchomekeMh DR William Samoi Ruto na Wakenya wengi wamemtukuza za Mungu wa Mbinguni na Bwana Yesu Kristo kwenye hii sherehe ya uapisho. Injili na nyimbo za Gospeli za kutosha .
Hivi ile ishu ya kufungiwa umeme kwa laki nane ni kweli? Nimesikiasikia watu wakisema.Rais Samia Suluhu kama ulifatilia jana alisema atapunguza kodi na Tozo ili wafanyabiashara wafanye biashara zao vizuri zaidi lengo ni kuinua watanzania na sio kuwadidimiza
Mkuu mbona now days umekuwa mtu wa kulalamika,hebu jaribu kurelax mkuuDaah kwenye utambulisho sisi ni wa mwisho na katutambulisha kwa kiswahili.
Haya mambo ya kuwapeleka wakata mauno sjui wanaimba mambo yasiyoeleweka hayafai kabisaKenya itastawi sana. Ruto ni mtumishi wa Mungu Aliye hai, Yehova.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chiniHivi ile ishu ya kufungiwa umeme kwa laki nane ni kweli? Nimesikiasikia watu wakisema.
Jesus is Lord
Hahaha watanzania wameshazoea kulalamika kila kitu wanaisi kuonewa wakati Rais wetu amekutana na Ruto kupamga maendeleo ata kabla ya UapishoMkuu mbona now days umekuwa mtu wa kulalamika,hebu jaribu kurelax mkuu
Ova
Acheni maneno maneo Rais Samia Suluhu yuko vizuri na 2025 atapita bila kupingwa maana asilimia kubwa ya watanzania tunamkubali sana
Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chini
sasa wanaosema mwananchi atatoa laki nane kufungiwa umeme wamepata wapi hizi habari.Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chini
Mama anaupiga mwingi, mama anaiponya nchi (according to Bavicha na Malisa).Kwani kushika madaraka nchi hii kunahitaji sifa yoyote zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola, na Backup ya tume ya uchaguzi?
Mama anaupiga mwingi, mama anaiponya nchi (according to Bavicha na Malisa).
Acheni maneno maneo Rais Samia Suluhu yuko vizuri na 2025 atapita bila kupingwa maana asilimia kubwa ya watanzania tunamkubali sana
Kuvuta umeme ni 300,000 mjini na vijijini ni 27,000. The rest inabebwa na tanesco kupitia ruzuku Lengo ni umeme ufike mpaka vijijini ndio maana vijijini wanalipa elf 27 tu ili bei iwe affordable hata kwa yule mwenye hali ya chini
Nachomanisha atashinda kwa asilimia 98 umeelewa?..kupita bila kupingwa ni mambo ya kizamani.
..nafasi zote za kuchaguliwa zinapaswa kushindaniwa.
Msikilize alichokisema Mhe. Waziri wa Nishati Makamba kuhusu gharama za kuunganisha umeme. : Hakusema gharama zimepandishwa. Alichokisema ni kwamba Serikali inaweka ruzuku kwa kila Mtanzania anayeunganishiwa umeme ili kukidhi gharama halisi za uunganishaji wa umeme.Mkuu juzi Waziri husika alikua anaongea ITV mwenye clip aweke,kasema kuwekewa umeme nyumbani kwako na Tanesco ni Tsh laki 8(800,000/=)
Mama na kaulimbiu yake ya utekelezaji ametekeleza miradi mingi inayompa fursa mwananchi pia ameleta wawekezaji wa kutosha na bado anaendelea kuimarisha diplomasiaMama anaupiga mwingi, mama anaiponya nchi (according to Bavicha na Malisa).
It is what it isSo what?
Nachomanisha atashinda kwa asilimia 98 umeelewa?
Rais Samia Suluhu anapendwa sana na watanzania wengi maana ameleta maendeleo mengi pia amewashika mkono watanzania wengi wenye hali ya chini..mgombea yoyote kushinda kwa 98% siyo afya kwa taifa.
..ushindi wenye maslahi kwa taifa ni kati ya 53% to 59%.
..hata bungeni vyama vinatakiwa visipishane sana.