Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Ngoja tusikilizie tamko la Shekhe Kundecha and Co 🤣🤣🤣
😬😬, hawezi kusema lolote kwa sababu kwenye Quran hakuna sehem inayokataza kuchangamana kwenye ibada.. ( labda kama anataka kujifurihisha tu mwenyewe na nafsi yake)
 
Baada ya Mtume Muhammad SAW tumeambia anafuatia nani!??

Naona chawa mnataka kubadili taratibu za Imani ya dini ya Kiislam duniani Kwa ajili ya mama tu. Hongereni
. Hapana mimi siyo chawa, mimi nimefuata Quran inavyosema.

. Yawezekana Wewe ni Muslim lakini hufuatilii maandiko.
 
Swala la ulinzi wa Rais halına mjadala, hivyo kusema kwanini aliingia amevaa ijabu kama ni la kawaida, kuingia na ijabu ilikuwa ni sehemu ya ulinzi wa Rais hivyo acheni ubabaifu katika maswala niyeti!
 
Swala la ulinzi wa Rais halına mjadala, hivyo kusema kwanini aliingia amevaa ijabu kama ni la kawaida, kuingia na ijabu ilikuwa ni sehemu ya ulinzi wa Rais hivyo acheni ubabaifu katika maswala niyeti!
Naona wanahisi Rais analindwa kama kama anavyolindwa mkuu wa wilaya vile...
 
Upo sahihi mkuu, lakini wenye dini yao wametanguliza Mihemko zaidi bila kupitia kitabu chao.

Sijaona kilicho haribika hapo, zaidi ya sisi kukuza hili jambo.
Akili zao ni duni !
Na hata Dini yenyewe hawaijui hao wanaolalamika !
 
. Hata angevaa mavazi ya kiume bado mngeleta kelele tu.

. Nikiangalia hata kanzu mimi naona ni vazi la kike pia, kwa sababu limekaa mkao wa dera.
 
Kwani hiyo nayo inawauma nini? Au walitarajia ulinzi upungue ili wamteke Mama yetu? Mbona kama vile kuna njama fulani zimejificha nyuma ya Pazia. Wewe kama siyo Mlinzi huwezi kujua kila kitu kinacho husu ulinzi.
Labda ndo lengo lao, yawezekana kuna vidume vilivaa madera ili kumvizia SSH, wakakutana na mwamba naye ameva dera. 😁😁
 
Hayo ni machaguo tu, kama ulivyochagua wewe kulalia kitanda cha chuma, badala la kulalia kitanda cha mbao.
 
am not Islamic bt hili jambo halipo sawa, nyumba y ibada n mahali patakatifu, otherwise angeswalia nyumbani palipo na usalama zaidi
 
Hapa ndipo naipenda jamii forum. Umeuliza swali gumu na fikilishi kama nilivyokuwa nafikilia. Hivi mbona nje kwenye mikutano ya hadhara ndiko kwenye hatari lakini bado anatemebea na mlinzi wa Kike. What exactly happened?
. Sijaona swali fikirishi hapo. Yawezekana huyo ni moja wapo tu aliyeonekana kwenye camera.

. Ulinzi wa kiongozi haupangwi na wananchi, ( Rais analindwa kwa njia yoyote ile haijalishi nyumba ipi.

. Alafu huko msikitini si ndo magaidi wanapenda sana kujificha huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…