Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sasa watamlinda vipi Rais bila viatu?unaambiwa walinzi walivaa kama watu wa misikitini wanavyovaa ili kuheshimu utamaduni wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa watamlinda vipi Rais bila viatu?unaambiwa walinzi walivaa kama watu wa misikitini wanavyovaa ili kuheshimu utamaduni wao
Wamefanya makosa makubwa. Wafanye toba ya kweli kabla ya hasira ya Mungu. Wametenda jambo la tofauti hadharani. WATUBUNyongeza: aslani abadani ni haramu kwa mwanaume yeyote kujigeuza kuwa mwanamke (kufanana) kwa kuvaa au kujipamba/kujiremba. Mfano mwanaume kuvaa gauni, kanga/kitenge, juba, nikabu, nk. Mwanaume kutuma mapambo ya kike km bangili, hereni, kutoboa pua na kuweka vipini, kutumia lipstick, KUVAA VITO VYA DHAJABU nk.
Kwani yeye ndie imamu wa huo msikiti? Kama Kuna tishio la usalama siangeacha kwenda?Sijielewi Kivipi mkuu...
Huo mskiti una umuhimu gani mbele ya kiongozi wa nchi??
Rais anatakiwa alindwe kwa kutumia mbinu zozote zile.
Kwanini wanahangaika na walinzi misikitini? Tena wanawake? Siaswalie nyumbani kisha mambo yamajukwaani ndio aende na hao walinzi?Naamini walinzi wa kike wapo ambao ingefaa kuingia nao hapo au labda kama wanataka kusema wale walinzi wake wa kike hawana uwezo wa kumlinda raisi wetu.
. Tishio la usalama kwa kiongozi wa juu lipo mda wowote, siyo siku moja tu.Kwani yeye ndie imamu wa huo msikiti? Kama Kuna tishio la usalama siangeacha kwenda?
Mbona mnaleta siasa kwenye dini? Mbona polis wanawakataza viongozi wengine kufanya mikutano kwa kigezo cha usalama?
😀😀, MUNGU yupi huyo??..Unasema yote hayo kwa manufaa ya nani?
Kama kulikua na tishio la kiusalama kwanini aende?
Hakuna haja ya kutafuta maelezo lukuki. Hata hao walioratibu wamemkosea maana kama ukimvisha mwanaume nguo za kike na watu wakajua sio mwanamke huo mpango umekua butu.
Wamefanya makosa makubwa. Wafanye toba ya kweli kabla ya hasira ya Mungu. Wametenda jambo la tofauti hadharani. WATUBU
. Ni kawaida kwa sehem tulipo kwa sasa..Unaposema kawaida inalinganisha na wapi au nan
Pia watu hawashangai mwanaume kuingia msikitini ishi kwanini wamkikishe ? Ilihari wadada tunao wazur kiulinzi
Inawezekana nayo pia au isiwezekane... Maana masuala ya usalama hayasimamiwi na mtu mmoja.. Hivyo waliona kuna umuhimu wa kuingia na mlinzi wa kiume mskitini.Naamini walinzi wa kike wapo ambao ingefaa kuingia nao hapo au labda kama wanataka kusema wale walinzi wake wa kike hawana uwezo wa kumlinda raisi wetu.
Naona ni mfupa tumepewa tupambane nao kama kawaida yetu. Sitaki kuamini kwamba jamaa na mustach wake aliwaza asingeonekana na kuna watu kibao anaswali nao wanamtazama, nia ni aonekane ipatikane mada ya kutrend na imefanikiwa sababu watanganyika tupe point tu, maelezo tunayo.
Hizi comments kuna swali na jibu hap.. 😐😐Unasema yote hayo kwa manufaa ya nani?
Kama kulikua na tishio la kiusalama kwanini aende?
Hakuna haja ya kutafuta maelezo lukuki. Hata hao walioratibu wamemkosea maana kama ukimvisha mwanaume nguo za kike na watu wakajua sio mwanamke huo mpango umekua butu.
Sidhani kama walikuwa hawalijui hili... Hiyo ilikuwa ni attention tu hapo kwa mskiti..Huyo mlinzi naye alizingua. Angejifunika completely akaacha macho tu nje nani angemtambua? Mlinzi wa Rais anashindwa kujiongeza? Mara marehemu kateuliwa, mara fukuzafukuza ikulu, mara mlinzi kwa wanawake yaani ni fujo tu.
Ila amesahau kupara mustachIla kapendeza halafu katulia tuli unaweza mposa Kama hujui.
Inge athiri utulivu wa ibada ya waumini ambao hawakua aware na hilo jambo.Hoja Hii Imeungwa Mkono, Anayebisha Ajifanye Kama Anajikuna Vile................