Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udhu unatenguka kwa kugusana ngozi kwa ngozi. Umeona uwezekano wa kugusana ngozi kwa ngozMwanaume/ mwanamke akimgusa mwanamke anatenguwa udhu ,,
Je palikuwa na swala kweli hapo bila kuwa na udhu?
Kwahiyo quran haipaswi kusikilizwa na kufatwa kwenye nguo?Quran ilikuja tayari watu wanavaa nguo...
. Sidhani... Maana Quran inaweka msisitizo kwa kile cha Zamani(Nguo ).Kwahiyo quran haipaswi kusikilizwa na kufatwa kwenye nguo?
#YNWA
Mambo ya dini ni changamoto sana,Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.
Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu maadili ya jamii husika na kuhakikisha usalama na utulivu wa Rais.
Katika Quran, hakuna aya inayosema moja kwa moja kuwa ni marufuku kwa mwanaume kuingia sehemu ya wanawake msikitini. hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pamoja na mila na desturi za Kiislamu. Kwa mfano, katika hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W), kuna maelekezo yanayohimiza heshima na mipaka baina ya wanaume na wanawake wakati wa ibada ili kuepusha fitna na kudumisha heshima.( kuepusha matamanio ya kimapenzi ndani ya ibada. )
Ibn 'Umar aliripoti kwamba Mtume Muhammad (S.A.W) alisema, "Usiwazuie wanawake wa Allah kwenda kwenye misikiti ya Allah" (Sahih Muslim, Kitabu 4, Hadithi 891). Hadithi hii inaonyesha kwamba wanawake wanaruhusiwa kwenda msikitini, lakini haina amri maalum kuhusu maeneo maalum ndani ya msikiti. Kwa hiyo, mpangilio wa ndani wa msikiti kuhusu maeneo ya wanawake na wanaume unaweza kutegemea mila, desturi, na mantiki za kiutawala za msikiti huo na siyo tamko la S. A. W.
Katika mazingira ambapo kuna haja ya kuwepo na walinzi wa kiume kwa sababu za kiusalama, ni kwamba tunahakikisha hatua hizi zinachukuliwa kwa njia inayoheshimu mipaka ya kijinsia na dini, kulinda usalama bila kuvuruga utulivu wa ibada.( na hiki ndo amefanya RAIS SSH wa JMT)
Mtazamo huu unategemea hadithi kama ile inayosimuliwa na Umm Atiyyah, ambaye alisema kwamba wanawake waliokuwa kwenye hedhi waliambiwa wakae mbali na mahali pa kusalia/swalia wakati wa sala za Eid (imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim)
Surah Al-Baqarah (2:222), "Wanakuuliza habari ya hedhi. Sema: Huu ni unajisi. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi, wala msiwakaribie mpaka watwahare.( Tusilaumu sana yawezekana mlinzi wa kike alikuwa kwenye Surah Al-Baqarah 2:222 ).
Pia soma: Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?
Au sa100 ndo alimushauri avae kama yeye 🤣🤣🤣Kama ni jambo la kawaida kulikua na ulazima Gani avae hijabu(disguise) kwanini asingevaa kanzu tu?
Wanadhani Rais huwa anajiachia, kama wao wanavyojiachia huko mbagala rangi 3.Kweli kujadili hili pia ni ushamba!! Masuala nyeti ya nchi yanahitaji wakati mwingine watu wafikie kuvaa hivyo. Mi sioni shida na ningekuwa ndo mlinzi wake hadi wanja ningeweka na lipstick plus hinna
Hayo ni mawazo yako Wewe binafsi, tatizo unashindwa kulinganisha taasisi na mambo mengine yasiyo eleweka..Ukiachana na mwanaume kuswali na akina mama .
Pia katika uislam ni makosa mwanaume kuvaa mavazi ya kike.
Katika zama hiz za mapambano ya ushoga Ikulu inatoa ujumbe gani kwa kumvalisha mwanaume mavazi ya mwanamke?
Kuvaa vile ni kutaka aonekane yeye ni mwanamke kitu ambacho si kweli na ni maigizo ,,, maigizo kwenye nyumba ya ibada?
Hata akina Mohamed pia wanalalamika.... Masuala ya dini ni ya watu wachache sana.Wagalatia ndio wanapata tabu , mpaka nashangaa na hawana elimu ya uislamu....Wanawake mule hawapo uchi .
Kule Mecca walinzi ni wakina sehemu zote?
Kapaka had wanjaHII NCHI INA WATU WAPUMBAVU SIJAPATA ONA!
Maelezo mengi na ya HOVYO. Ulinzi wa hivyo ni wa kishamba , INTELLIGENCE yetu ifike mahal ifanye kazi scientifically na sio traditionally kama hivyo. Why ulinzi wa Africa kwa PSU umefocus kwenye nguvu na physical attack . Tuna mambo ya ajabu ajabu snaa. Mimi naaamini kwa Africa hasa Tanzania, mtu akiwa seriously anataka kufanya tukio ni rahis na akafanikiwa.wewe una focus na gun na mabavu adui anakuja na pen ambayo ndani yake can emit strong poison. All those ambao hawajapata antidote itawaathiri from a distance of 100M, do we have technology to detect vitu kama hivyo, ?Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja.
Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu maadili ya jamii husika na kuhakikisha usalama na utulivu wa Rais.
Katika Quran, hakuna aya inayosema moja kwa moja kuwa ni marufuku kwa mwanaume kuingia sehemu ya wanawake msikitini. hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pamoja na mila na desturi za Kiislamu. Kwa mfano, katika hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W), kuna maelekezo yanayohimiza heshima na mipaka baina ya wanaume na wanawake wakati wa ibada ili kuepusha fitna na kudumisha heshima.( kuepusha matamanio ya kimapenzi ndani ya ibada. )
Ibn 'Umar aliripoti kwamba Mtume Muhammad (S.A.W) alisema, "Usiwazuie wanawake wa Allah kwenda kwenye misikiti ya Allah" (Sahih Muslim, Kitabu 4, Hadithi 891). Hadithi hii inaonyesha kwamba wanawake wanaruhusiwa kwenda msikitini, lakini haina amri maalum kuhusu maeneo maalum ndani ya msikiti. Kwa hiyo, mpangilio wa ndani wa msikiti kuhusu maeneo ya wanawake na wanaume unaweza kutegemea mila, desturi, na mantiki za kiutawala za msikiti huo na siyo tamko la S. A. W.
Katika mazingira ambapo kuna haja ya kuwepo na walinzi wa kiume kwa sababu za kiusalama, ni kwamba tunahakikisha hatua hizi zinachukuliwa kwa njia inayoheshimu mipaka ya kijinsia na dini, kulinda usalama bila kuvuruga utulivu wa ibada.( na hiki ndo amefanya RAIS SSH wa JMT)
Mtazamo huu unategemea hadithi kama ile inayosimuliwa na Umm Atiyyah, ambaye alisema kwamba wanawake waliokuwa kwenye hedhi waliambiwa wakae mbali na mahali pa kusalia/swalia wakati wa sala za Eid (imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim)
Surah Al-Baqarah (2:222), "Wanakuuliza habari ya hedhi. Sema: Huu ni unajisi. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi, wala msiwakaribie mpaka watwahare.( Tusilaumu sana yawezekana mlinzi wa kike alikuwa kwenye Surah Al-Baqarah 2:222 ).
Pia soma: Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?
Tembea. Ni vile seems you are not well informed . Hakuna huo ulinzi unaosemaNi washamba lakini ndo wanakulinda mpaka sasa... Usiku kucha unazulula bila kukumbana na fujo za kijangili.
C ya matronHapa ndipo naipenda jamii forum. Umeuliza swali gumu na fikilishi kama nilivyokuwa nafikilia. Hivi mbona nje kwenye mikutano ya hadhara ndiko kwenye hatari lakini bado anatemebea na mlinzi wa Kike. What exactly happened?
Tusije kuambiwa mungu ni fundi nguo 😬😬..Enyi wanaadamu! Tumekuteremshieni nguo za kuficha uchi wenu na nguo za pambo. Na nguo za ucha Mungu, hizo ni bora. Hayo ni katika Ishara za Mwenyezi Mungu ili wapate kukumbuka." (Quran 7:26)---------Duu nguo nazo na mishono yake vimeteremshwa kama quran?kobazi acheni vituko.