Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Mijadara imekuwa mingi sana kuhusu rais kuingia na PSU mwanamke ambae anaonekana ni ngangari kweli kweli Na yuko serious Na kazi yake....pale hakuna mwanaume wadau acheni kuwapotosha watanzania....
 
Kulikuwa na ulazima gani kuswali kama kuna tishio la amani,
Amenajiss msikiti huyo bwana
Nipe maandiko yanasema hivyo, kwa alicho kifanya SSH leo. 🙂🙂
 
Safi sana ndo utetezi mliokuja nao. Taratiibu masheikh wafia dini wanaipotezea hii kisa wakwetu. Subiri tuje na chairfire maana Hadith haxijakataza kuja nacho nsikitini
Enyi mlioamini! Msiharibu mali zenu wala watoto wenu na msijiharibu nafsi zenu; bila ya kujua." (Quran 2:195)


Katika hadithi za Mtume Muhammad (SAW), Kulingana na Sunnah, inashauriwa kuwa na heshima ndani ya msikiti, lakini hakuna katazo kuhusu matumizi ya viti.( mfano watu wenye matatizo ya kiafya au ulemavu, matumizi ya viti ni muhimu ili waweze kushiriki ibada bila taabu.)
 
 

Attachments

  • 20240617_202603.jpg
    50.7 KB · Views: 1
Hakuna aya kwenye Quran inayokataza.
Hizo ni hekima nje ya Quran.
Hata sisi Biblia haikatazi wakati enzi za Yesu na agano la kale pale hekaluni walikuwa hawajichanganyi.
 
Umeandikiwa na shehe maipopo
Hatunashida na samia na uislamu wake
Tia shida na ccm ni mifumo mibovu
 
Acheni kulazimisha kuingiza madaraka yenu kwenye nyumba za ibada. Kwani ni lazima aswalie huko msikitini wakati mnaona hakuna usalama?

Sio bure wazungu wanatuita manyani. Mnasema anakubalika, lakini anapewa ulinzi kama kaingia madarakani kwa kupindua nchi. Cha ajabu akienda kwenye nchi ambazo Wala Hana hata kura Moja Hana ulinzi wa aina hiyo! Acheni kusaka sifa za kijinga.
 
Dah! Ila Mwamba Mlinzi nimemkubali!
 
Kuna faida gani wa kurecruit watoto wa kike kwenye kazi za usalama?
Swali chokozi jiulize tu pale uwanja wa taifa katika wale makomandoo ushawahi ONA Mwanamke ameshiriki kufanya zile mbwembwe za kubebeshwa magogo ya Mnazi na kulala juu ya Misumali alafu unapigwa na nyundo kifuani kupasua tofali la zege? Km hujawahi kuona basi Jibu unalo

Ushawahi ONA komandoo Mwanamke kwenye zile sherehe za Uhuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…