Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Kama ni kweli basi umefanyika upuuzi tu. Kuhakikisha usalama siyo lazima kukaa karibu tu, inawezekana kudhibiti eneo mapema, kukagua wote wanaoingia, kuweka surveillance cameras na wanaume wakakaa nje, huku walinzi na wapambe wa kike wakiwa ndani kama kawaida.
Kukariri taratibu za kizamani ni changamoto.
 
Maafisa usalama wa kike wana kazi gani Sasa.....ina maana Msikitini kuna usalama mdogo ukilinganisha na anapokuwa nje ya Msikiti. Pengine tunaweza kusema hii ni dharau Kwa walinzi wa kike au wanawake wanasemaje!?
. Kwenye ulinzi lazima kuwe na mkubwa wao, yawezekana jana mtu wa aina hiyo hakuwepo...

. Nyumba za ibada ni hatari zaidi kuliko nje, kobazi akiingia na bom dakika sifuri inabaki magofu.
 
Ili kumuokoa huyo bwana asivae hijab na badala yake avae kanzu samia angeswali sehemu ya wababa jΓ maa zangu
 
. Siku zote unavyo mlinda Rais akili iamin hali si shwari(kujisahau hakutakiwi),

. Ikumbukwe pia Rais ni taasisi, kwa hiyo kuingia ndani ya Msikiti ni namna yeye atavyoamua. ( tusiumuze kichwa sana kuhusu hizi dini zilizokuja na mitumbwi)
 
Ungetupia na nukuu aka sura na aya.
 
Hapo kiprofeshno kosa ni kuvaa hiyo hijab, walipaswa waingie kama wanavyotakiwa kuwa kwa kuwa wana sababu ya kufanya ivo......by d way walinzi wa kike si wapo? si ndo wangepaswa kuwa karibu apo bila kuleta taharuki?......rais ni mkubwa sana na ndo namba moja kwa ngazi ya nchi, ina mana hapakuwa na security check in advance? scanning je? mana mpaka hao jamaa kuwa kamaflaje humo ndani manake nii levo ya usalama kuwa chini....anyway
 
Labda upo sahihi.
Swalo ni je? Kwanini hakuvaa kanzu avae dera?
Usije sema kuvaa deara ni Sunna
Dera na kanzu vyote ni vitambaa, Tofauti ni ushonaji tu..

Kwa hiyo mfumo wa kiulinzi jana waliamua kutumia dera zaidi. Ila siku zinazokuja watatumia kanzu
 
Mijadara imekuwa mingi sana kuhusu rais kuingia na PSU mwanamke ambae anaonekana ni ngangari kweli kweli Na yuko serious Na kazi yake....pale hakuna mwanaume wadau acheni kuwapotosha watanzania....
😊😊😊, Nalo ni jibu zuri pia... Yawezekana ni sura ya kazi ile,
 
Machawa wanakuambia mama anakubalika na kupendwa na mamilioni ya watanzania!

Hofu ya nini sasa?

Cc: Lucas Mbwa wa Shamba
Hata nyerere mwenyewe hajawahi kupendwa na malakhi ya watanzania, sembuse yeye.
 
😬😬😬😬😬
 
Mambo mengine kama haya ni kupoteza muda kuyajadili,
Tujadili mambo ya msingi kama Katiba mpya na mambo ya Tume huru ya Uchaguzi !
Mambo ya Usalama wa Rais tuwaachie wana usalama wenyewe maana sisi ni mbumbumbu Mzungu wa reli kwenye fani hiyo πŸ‘
 
Dera na kanzu vyote ni vitambaa, Tofauti ni ushonaji tu..

Kwa hiyo mfumo wa kiulinzi jana waliamua kutumia dera zaidi. Ila siku zinazokuja watatumia kanzu
Na wewe unavaaga dera?
 
Ingekua kwa JPM kelele zingekua nyiingii oohoo anaogopa mpaka analindwa sana. Ukweli usemwe jamaa kaharibu kuvaa ushungi
Huyo mzilikande mmemfanya reference ya kila jambo πŸ˜‚,he is no more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…