Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Hakuna aya kwenye Quran inayokataza.
Hizo ni hekima nje ya Quran.
Hata sisi Biblia haikatazi wakati enzi za Yesu na agano la kale pale hekaluni walikuwa hawajichanganyi.
Upo sahihi mkuu, lakini wenye dini yao wametanguliza Mihemko zaidi bila kupitia kitabu chao.

Sijaona kilicho haribika hapo, zaidi ya sisi kukuza hili jambo.
 
Umeandikiwa na shehe maipopo
Hatunashida na samia na uislamu wake
Tia shida na ccm ni mifumo mibovu
Tatizo siyo CCM, tatizo ni mfumo,

unaweza kuitoa CCM madarakani lakini kikaja chama kingine kutoka kwenye mikono ya CCM.
 
Maafisa usalama wa kike wana kazi gani Sasa.....ina maana Msikitini kuna usalama mdogo ukilinganisha na anapokuwa nje ya Msikiti. Pengine tunaweza kusema hii ni dharau Kwa walinzi wa kike au wanawake wanasemaje!?
Hapa ndipo naipenda jamii forum. Umeuliza swali gumu na fikilishi kama nilivyokuwa nafikilia. Hivi mbona nje kwenye mikutano ya hadhara ndiko kwenye hatari lakini bado anatemebea na mlinzi wa Kike. What exactly happened?
 
Kuna faida gani wa kurecruit watoto wa kike kwenye kazi za usalama?
Kunaweza kuwa kunafaida ila siyo vitengo vyote.. ( Mwanamke ni mwanamke tu hasa kwenye masuala nyeti )
 
kama ni sawa why avae kike-kishoga
 
Kwa upande wangu, naona walio'raise' hili suala is for the sake of curiosity. Ila ulivyojibu, naona wewe ndiye mwenye mihemko kuliko wao. Kama inaruhusiwa mwaume kuingia msikitini, kwa nini ajifunike kama mwanamke au kwa wakati huo anakuwa na hadhi ya kike? Si angevaa tu kama wanaume wengine wanavyovaa wakiingia msikitini au hiyo sehemu aliyopo mwaume akiingia lazima avae kama mwanamke? Naomba kuelimishwa hapa.
 
Kwani hiyo nayo inawauma nini? Au walitarajia ulinzi upungue ili wamteke Mama yetu? Mbona kama vile kuna njama fulani zimejificha nyuma ya Pazia. Wewe kama siyo Mlinzi huwezi kujua kila kitu kinacho husu ulinzi.
 
. Hizo nyumba za ibada zimeazishwa na nani kwani πŸ€”πŸ€” ??

. Wapi huko umeona nyumba ya ibada imejengwa na mungu??


. Mbona liko wazi hili, nchi za wezetu security ipo juu zaidi kuliko huko black continent. Kwa usalama unahaki ya kufanya kila namna kuona Rais anakuwa salama iwe ibadani au sehem nyingine za kazi.
 
✍️✍️✍️✍️✍️. Mwanamke ni mwanamke tu, kuna vitengo vingine hawezi kuhimili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…