Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Ndugu zangu watanzania, mwenzenu ndio naamka, nauliza tu dunia ilishasimama huko? Mweshimiwa sana mwashamba nisaidie, thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kiongozi yeyote wa Cuba anajua Kiswahili acha kuwa kichekesho wa LucasNaamini atahutubia kwa kiswahili.kwa sababu kongamano lenyewe linahusu kukipeleka kiswahili kimataifa zaidi.
Yes, afisa wa Ubalozi wa Cuba alionekana ITV jana akitoa angalizo na ahirisho hilo, kutokana na uwepo wa kimbunga chenye athari ambacho kimeathiri usafiri wa anga.Aise
Ova
Mungu kasema NO. Hakuna jambo kama hilo.Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakapokuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kiswahili .
Ambapo duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kongamano hilo linasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa sana na mamilioni ya watu Duniani Kwote.Lakini pia uwezo wa kiuongozi na maono Makubwa ya Rais Samia yamepelekea kuwa gumzo na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani Kwote.
Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ndiye Rais Mwanamke pekee barani Afrika na mwenye ushawishi mkubwa sana hapa Afrika.Na ambaye inatajwa kuwa kama Afrika ingekuwa ni Nchi Moja basi Mama huyu shupavu,imara,hodari na madhubuti kwelikweli angechaguliwa kuwa Rais Wa Afrika.
Soma Pia: Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024
Usikose kufuatilia kongamano hilo litakalofuatiliwa na Dunia nzima na kuwa live au mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habariView attachment 3145518
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hali ya hewa imezuia safari ya Mheshimiwa RaisNdugu zangu watanzania, mwenzenu ndio naamka, nauliza tu dunia ilishasimama huko? Mweshimiwa sana mwashamba nisaidie, thanks
Acha uchawa wee Mwashambwa. Unakua mshamba sasa. Ukitaka kumtendea Samia haki mpe sifa anazostahili. Anazo sifa zake nzuri tu sio unamlundikia ulaghai. Hii ndio ubaya wa nyie chawa.Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakapokuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kiswahili .
Ambapo duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kongamano hilo linasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa sana na mamilioni ya watu Duniani Kwote.Lakini pia uwezo wa kiuongozi na maono Makubwa ya Rais Samia yamepelekea kuwa gumzo na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani Kwote.
Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ndiye Rais Mwanamke pekee barani Afrika na mwenye ushawishi mkubwa sana hapa Afrika.Na ambaye inatajwa kuwa kama Afrika ingekuwa ni Nchi Moja basi Mama huyu shupavu,imara,hodari na madhubuti kwelikweli angechaguliwa kuwa Rais Wa Afrika.
Soma Pia: Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024
Usikose kufuatilia kongamano hilo litakalofuatiliwa na Dunia nzima na kuwa live au mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habariView attachment 3145518
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Laana hizo mzee unaenda kutoa speech gani ya maana na ww ni mpuuzi tu mbele ya wanaume.Mlioko duniani eti jana dunia ilisimama? Mimi nipo Jupiter.
Imekuwa safari ya mkosi aliyeenda kumsaidia kaangukia pua safari ya Cuba imeahirishwa na kimbunga.
Hakuna kitu hapo.Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakapokuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kiswahili .
Ambapo duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kongamano hilo linasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa sana na mamilioni ya watu Duniani Kwote.Lakini pia uwezo wa kiuongozi na maono Makubwa ya Rais Samia yamepelekea kuwa gumzo na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani Kwote.
Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ndiye Rais Mwanamke pekee barani Afrika na mwenye ushawishi mkubwa sana hapa Afrika.Na ambaye inatajwa kuwa kama Afrika ingekuwa ni Nchi Moja basi Mama huyu shupavu,imara,hodari na madhubuti kwelikweli angechaguliwa kuwa Rais Wa Afrika.
Soma Pia: Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024
Usikose kufuatilia kongamano hilo litakalofuatiliwa na Dunia nzima na kuwa live au mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habariView attachment 3145518
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni lijinga kama wajinga wenzako huko ccm...huko cuba kaingia mitini location inasoma barbados....mungu msamehe huyu lofa na mpumbavuNdugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakapokuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kiswahili .
Ambapo duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kongamano hilo linasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa sana na mamilioni ya watu Duniani Kwote.Lakini pia uwezo wa kiuongozi na maono Makubwa ya Rais Samia yamepelekea kuwa gumzo na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani Kwote.
Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ndiye Rais Mwanamke pekee barani Afrika na mwenye ushawishi mkubwa sana hapa Afrika.Na ambaye inatajwa kuwa kama Afrika ingekuwa ni Nchi Moja basi Mama huyu shupavu,imara,hodari na madhubuti kwelikweli angechaguliwa kuwa Rais Wa Afrika.
Soma Pia: Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024
Usikose kufuatilia kongamano hilo litakalofuatiliwa na Dunia nzima na kuwa live au mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habariView attachment 3145518
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwenye akili timamu hawezi kukuelewa labda zero brain wenzako wa ccm....acha kula ugoro ndio mana hauko timamuNdio maana huelewi kinachoendelea hapa Nchini.kwa taarifa yako kwa sasa Tanzania chini ya Rais Samia ndio chaguo nambari moja la watalii, wawekezaji,wafanyabiashara wakubwa na watu mbalimbali maarufu kama vile wana michezo.kwa sasa kila eneo ukipita ni maendeleo tu na miradi mbalimbali ya maendeleo inaendelea kutekelezwa kwa kasi ya Mwanga.