Rais Samia kuisimamisha Dunia kutokea Cuba hapo Kesho

Rais Samia kuisimamisha Dunia kutokea Cuba hapo Kesho

Acha wivu wako wa kijinga ha
Wivu gani ndg Mwashambwa? We kuna kitu unakitafuta kwa madam President, lakini naamini na yeye kesha kusoma na kukuelewa nini unataka, ndo maana kaamua kukupotezea.
NB: Pongeza pale panapo staili na shauri pale panapo staili, ni ushauri tu kwako.
 
Unadhani dunia ni basi la mwendokasi au daladala ya mbagala!?
😂🤣

Raisi anatokea matakoni mwa dunia huku, kila jambo msaada mpaka tundu za choo za shule, akasimamishe dunia. 😂🤣
Ujinga unasumbua watu wengi sana.
 
Wivu gani ndg Mwashambwa? We kuna kitu unakitafuta kwa madam President, lakini naamini na yeye kesha kusoma na kukuelewa nini unataka, ndo maana kaamua kukupotezea.
NB: Pongeza pale panapo staili na shauri pale panapo staili, ni ushauri tu kwako.
Siku zote hata mm ukinisifu na ninajua unanisifia ujinga na unafiki lazima nikudharau tu.ndio anavyodharauliwa mwasha mbwa.
 
Siku zote hata mm ukinisifu na ninajua unanisifia ujinga na unafiki lazima nikudharau tu.ndio anavyodharauliwa mwasha mbwa.
Ni kweli kabisa ndg yangu, huyu jamaa alianza kwa kuweka namba za simu , kwa kudhani kuwa kwa vile ninasifia sana hata kwenye mambo ambayo hayastili sifa atapigiwa simu ya uteuzi lakini naona madam president kaamua ku mute
 
zinduna wetu amekwishatoa pongezi kwa Tramp au bado?, nchi kubwa zenye power zinaongozwa na rais mwanamume wa maamuzi 🙂
Hao wanaume wa maamuzi kuelekea 2025 wote wapo kimya baada ya kuishindwa nguvu ya pesa iliyopo katika awamu hii.
 
Hiyo ziara ya Cuba haina tija kwa taifa huwezi ukawasikia marais smart na wazalendo kwa nchi zao kama Kagame au Ruto ameenda kupoteza muda huko!!.
kipindi hiki cha kuelekea masika tunakatiza baracuda triangle kweli? nini hasa kinafuatwa huko?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakapokuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kiswahili .

Ambapo duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kongamano hilo linasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa sana na mamilioni ya watu Duniani Kwote.Lakini pia uwezo wa kiuongozi na maono Makubwa ya Rais Samia yamepelekea kuwa gumzo na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani Kwote.

Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ndiye Rais Mwanamke pekee barani Afrika na mwenye ushawishi mkubwa sana hapa Afrika.Na ambaye inatajwa kuwa kama Afrika ingekuwa ni Nchi Moja basi Mama huyu shupavu,imara,hodari na madhubuti kwelikweli angechaguliwa kuwa Rais Wa Afrika.

Soma Pia: Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024

Usikose kufuatilia kongamano hilo litakalofuatiliwa na Dunia nzima na kuwa live au mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habariView attachment 3145518

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Dunia haisimami,watu wako busy na shughuli zao, hata kujua tu kuwa yupo Cuba hawajui!!
 
Mlioko duniani eti jana dunia ilisimama? Mimi nipo Jupiter.

Imekuwa safari ya mkosi aliyeenda kumsaidia kaangukia pua safari ya Cuba imeahirishwa na kimbunga.
 
Back
Top Bottom